Wildebeest analysis examples for:   swh-swh1850   (Word,    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

28262  ROM 10:6  Lakini, kuhusu kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa njia ya imani, yasemwa hivi: “Usiseme moyoni mwako: Nani atapanda mpaka mbinguni? (yaani, kumleta Kristo chini);
28263  ROM 10:7  wala usiseme: Nani atashuka mpaka Kuzimu (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa wafu).”
28447  1CO 1:16  (Samahani, nilibatiza pia jamaa ya Stefana; lakini zaidi ya hawa, sidhani kama nilimbatiza mtu mwingine yeyote.)