|
24564 | Basi, wakamletea bubu-kiziwi, wakamwomba amwekee mikono. | |
24632 | Yesu alipouona umati wa watu unaongezeka upesi mbele yake, alimkemea yule pepo mchafu, “Pepo unayemfanya huyu mtoto kuwa bubu-kiziwi, nakuamuru, mtoke mtoto huyu wala usimwingie tena!” |