Wildebeest analysis examples for: swh-swh1850 Word”.
February 25, 2023 at 01:16
Script wb_pprint_html.py by Ulf Hermjakob
27978
ACT 28:11
Baada ya miezi mitatu tulianza tena safari yetu kwa meli moja ya Aleksandria iitwayo “Miungu
Pacha”.
Meli hiyo ilikuwa imetia nanga kisiwani wakati wote wa baridi.