Wildebeest analysis examples for:   swh-swh1850   Word;”    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

25796  LUK 18:39  Wale watu waliotangulia wakamkemea wakimwambia anyamaze; lakini yeye akazidi kupaza sauti: “Mwana wa Daudi, nihurumie;”
28343  ROM 13:9  Maana, amri hizi: “Usizini; Usiue; Usitamani;” na nyingine zote, zimo katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.”
28831  1CO 15:45  Maana Maandiko yasema: “Mtu wa kwanza, Adamu, alikuwa kiumbe mwenye uhai;” lakini adamu wa mwisho ni Roho awapaye watu uzima.