114 | GEN 5:8 | Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa. |
124 | GEN 5:18 | Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki. |
126 | GEN 5:20 | Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa. |
132 | GEN 5:26 | Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. |
134 | GEN 5:28 | Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. |
141 | GEN 6:3 | Ndipo Bwana akasema, “Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye ni wa kufa, siku zake zitakuwa miaka 120.” |
286 | GEN 11:19 | Baada ya Pelegi kumzaa Reu, aliishi miaka 209, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
288 | GEN 11:21 | Baada ya Reu kumzaa Serugi, aliishi miaka 207, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
290 | GEN 11:23 | Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
299 | GEN 11:32 | Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205. |
943 | GEN 32:15 | Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200. |
2406 | EXO 30:23 | “Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 za manemane ya maji, shekeli 250 za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri, |
2658 | EXO 38:24 | Jumla ya dhahabu iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa kwa ajili ya kazi ya mahali patakatifu ilikuwa na uzito wa talanta 29 na shekeli 730, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. |
2663 | EXO 38:29 | Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400. |
3640 | NUM 1:35 | Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200. |
3644 | NUM 1:39 | Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700. |
3680 | NUM 2:21 | Kundi lake lina watu 32,200. |
3685 | NUM 2:26 | Kundi lake lina watu 62,700. |
3727 | NUM 3:34 | Hesabu ya waume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 6,200. |
3732 | NUM 3:39 | Jumla ya hesabu ya Walawi waliohesabiwa na Mose na Aroni kwa amri ya Bwana, kufuatana na koo, pamoja na kila mume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walikuwa 22,000. |
3736 | NUM 3:43 | Jumla ya hesabu ya wazaliwa wa kwanza waume wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walioorodheshwa kwa majina, walikuwa 22,273. |
3739 | NUM 3:46 | Ili kukomboa wazao wa kwanza 273 wa Waisraeli ambao wamezidi hesabu ya Walawi, |
3780 | NUM 4:36 | waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750. |
3784 | NUM 4:40 | waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630. |
3788 | NUM 4:44 | waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 3,200. |
3936 | NUM 7:85 | Kila sahani ya fedha ilikuwa na uzito wa shekeli 130, na kila bakuli la fedha la kunyunyizia lilikuwa na uzito wa shekeli sabini. Masinia yote kumi na mawili yalikuwa na uzito wa shekeli 2,400kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. |
3937 | NUM 7:86 | Sahani kumi na mbili za dhahabu zilizojazwa uvumba zilikuwa na uzito wa shekeli kumi kila moja, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. Kwa jumla, sahani za dhahabu zilikuwa na uzito wa shekeli 120. |
4197 | NUM 16:2 | wakainuka dhidi ya Mose. Pamoja nao walikuwepo wanaume wa Kiisraeli 250, watu waliojulikana, viongozi wa jumuiya waliokuwa wameteuliwa kuwa wakuu wa kusanyiko. |
4212 | NUM 16:17 | Kila mtu atachukua chetezo chake na kuweka uvumba ndani yake, vyetezo 250 kwa jumla, na kukileta mbele za Bwana. Wewe na Aroni mtaleta vyetezo vyenu pia.” |
4230 | NUM 16:35 | Moto ukaja kutoka kwa Bwana, ukawateketeza wale watu 250 waliokuwa wakifukiza uvumba. |
4481 | NUM 25:9 | Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000. |
4501 | NUM 26:10 | Ardhi ilifunua kinywa chake na kuwameza pamoja na Kora, ambaye wafuasi wake walikufa wakati moto ulipowateketeza wanaume 250. Nao walikuwa kama alama ya onyo. |
4505 | NUM 26:14 | Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200. |
4525 | NUM 26:34 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700. |
4528 | NUM 26:37 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa 32,500. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yosefu kwa koo zao. |
4553 | NUM 26:62 | Wanaume wote wa Walawi wa umri wa mwezi mmoja na zaidi walikuwa 23,000. Wao hawakuhesabiwa pamoja na Waisraeli wengine kwa sababu hawakupokea urithi miongoni mwao. |
4671 | NUM 31:5 | Kwa hiyo waliandaliwa wanaume 12,000 kwa vita, wanaume 1,000 kutoka kila kabila, walitolewa kutoka koo za Israeli. |
4699 | NUM 31:33 | ngʼombe 72,000, |
4701 | NUM 31:35 | na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa. |
4704 | NUM 31:38 | ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; |
4706 | NUM 31:40 | Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32. |
4801 | NUM 33:39 | Aroni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123. |
5899 | JOS 3:4 | Ndipo mtakapotambua njia mtakayoiendea, kwa kuwa hamjawahi kuipita kabla. Lakini msisogee karibu, bali kuwe na umbali wa dhiraa 2,000 kati yenu na Sanduku.” |
6699 | JDG 7:3 | kwa hiyo sasa tangaza jeshi lote likiwa linasikia, kwamba: Yeyote anayeogopa na kutetemeka, yeye na arudi nyumbani, aondoke katika Mlima Gileadi.’ ” Hivyo watu 22,000 walirudi, wakabaki 10,000. |
6731 | JDG 8:10 | Wakati huu Zeba na Salmuna walikuwa Karkori wakiwa na jeshi lenye watu wapatao 15,000 wale wote waliokuwa wamesalia wa mataifa ya mashariki, kwa kuwa watu wapatao 120,000 wenye panga walikuwa wameuawa. |
6877 | JDG 12:6 | walimwambia, “Sawa, sema ‘Shibolethi.’ ” Iwapo alitamka, “Sibolethi,” kwa sababu hakuweza kutamka hilo neno sawasawa, walimkamata na kumuua hapo kwenye vivuko vya Yordani. Waefraimu 42,000 waliuawa wakati huo. |
7071 | JDG 20:15 | Siku ile Wabenyamini wakakusanya watu 26,000 kutoka miji yao, waliojifunga panga, mbali na hao 700 waliochaguliwa miongoni mwa hao waliokaa Gibea. |
7077 | JDG 20:21 | Wabenyamini wakatoka Gibea na kuwaua watu 22,000 wa Israeli siku ile. |
7091 | JDG 20:35 | Bwana akawashinda Wabenyamini mbele ya Waisraeli na siku ile Waisraeli wakawaua Wabenyamini watu waume 25,100, wote wakiwa wenye kujifunga silaha za vita. |
7101 | JDG 20:45 | Walipogeuka na kukimbia kuelekea nyikani hata kufikia mwamba wa Rimoni, Waisraeli wakawaua watu 5,000 wakiwa njiani. Wakawafuata kwa kasi mpaka Gidomu huko wakawaua watu wengine 2,000. |
7102 | JDG 20:46 | Siku ile wakawaua Wabenyamini 25,000 waliokuwa mashujaa wa vita. |
7114 | JDG 21:10 | Ndipo mkutano wakatuma askari 12,000 na wakawaamuru kwenda Yabeshi-Gileadi na kuwaua wale wote waishio huko, walikuwepo wake na watoto. |
7489 | 1SA 13:2 | Sauli alichagua watu 3,000 kutoka Israeli; miongoni mwa hao watu 2,000 walikuwa pamoja naye huko Mikmashi na katika nchi ya vilima ya Betheli, nao watu 1,000 walikuwa pamoja na Yonathani huko Gibea ya Benyamini. Watu waliosalia aliwarudisha nyumbani mwao. |
7566 | 1SA 15:4 | Ndipo Sauli akawaita watu na kuwapanga huko Telaimu, askari wa miguu 200,000 pamoja na watu 10,000 kutoka Yuda. |
7991 | 1SA 30:10 | kwa kuwa watu 200 walikuwa wamechoka sana kuweza kuvuka hilo bonde. Lakini Daudi pamoja na watu 400 wakaendelea kufuatia. |
8002 | 1SA 30:21 | Kisha Daudi akafika kwa wale watu 200 waliokuwa wamechoka sana kumfuata na ambao waliachwa nyuma kwenye Bonde la Besori. Wakatoka kwenda kumlaki Daudi na wale watu aliokuwa nao. Daudi na watu wake walipowakaribia, akawasalimu. |
8216 | 2SA 8:4 | Daudi akateka magari yake ya vita 1,000, askari wapanda farasi 7,000 na askari 20,000 watembeao kwa miguu. Daudi akawakata wale farasi wote wakokotao magari mishipa ya miguu, isipokuwa farasi 100 hakuwakata. |
8217 | 2SA 8:5 | Waaramu wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadezeri mfalme wa Soba, Daudi akawashambulia na kuwaua 22,000 miongoni mwao. |
8249 | 2SA 10:6 | Waamoni walipotambua kuwa wamekuwa machukizo kwa Daudi, wakaajiri askari wa miguu 20,000 Waaramu kutoka Beth-Rehobu na Soba, pia mfalme wa Maaka pamoja na watu 1,000, na vilevile watu 12,000 kutoka Tobu. |
8873 | 1KI 5:6 | Solomoni alikuwa na mabanda 4,000 ya magari ya vita, na farasi 12,000. |
8892 | 1KI 5:25 | naye Solomoni akampa Hiramu kori 20,000 za ngano kama chakula kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, pamoja na mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa bathi 20,000. Solomoni aliendelea kumfanyia Hiramu hivyo mwaka baada ya mwaka. |
8957 | 1KI 7:20 | Juu ya mataji ya zile nguzo mbili, juu ya ile sehemu yenye umbo kama bakuli, karibu na ule wavu, kulikuwa na yale makomamanga 200 katika safu kuzunguka pande zote. |
8963 | 1KI 7:26 | Ilikuwa na unene wa nyanda nne na ukingo wake ulifanana na ukingo wa kikombe, kama ua la yungiyungi iliyochanua. Iliweza kuchukua bathi 2,000. |
9051 | 1KI 8:63 | Solomoni akatoa dhabihu sadaka za amani kwa Bwana: ngʼombe 22,000, pamoja na kondoo na mbuzi 120,000. Hivyo ndivyo mfalme na Waisraeli wote walivyoweka wakfu Hekalu la Bwana. |
9068 | 1KI 9:14 | Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120 za dhahabu. |
9082 | 1KI 9:28 | Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420 za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni. |
9092 | 1KI 10:10 | Naye akampa mfalme talanta 120 za dhahabu, kiasi kikubwa sana cha vikolezi na vito vya thamani. Haikuwahi kamwe kuletwa tena vikolezi vingi hivyo kuletwa kama vile malkia wa Sheba alivyompa Mfalme Solomoni. |
9098 | 1KI 10:16 | Mfalme Solomoni akatengeneza ngao kubwa 200 kwa dhahabu iliyofuliwa; kila ngao ilikuwa na dhahabu yenye uzito wa shekeli 600 |
9108 | 1KI 10:26 | Solomoni akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu. |
9426 | 1KI 20:15 | Kwa hiyo Ahabu akawaita maafisa vijana majemadari wa majimbo, wanaume 232. Kisha akawakusanya Waisraeli wote waliobaki, jumla yao 7,000. |
9441 | 1KI 20:30 | Waliobaki wakatorokea katika mji wa Afeki, mahali ambapo watu 27,000 waliangukiwa na ukuta. Naye Ben-Hadadi akakimbilia mjini na kujificha kwenye chumba cha ndani. |
10453 | 1CH 5:21 | Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000. Pia wakateka watu 100,000, |
10541 | 1CH 7:2 | Wana wa Tola walikuwa: Uzi, Refaya, Yerieli, Yahmai, Ibsamu na Shemueli waliokuwa viongozi wa jamaa zao. Wakati wa utawala wa Mfalme Daudi, wazao wa Tola walioorodheshwa kama wapiganaji katika ukoo wao walikuwa watu 22,600. |
10546 | 1CH 7:7 | Wana wa Bela walikuwa: Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri; walikuwa viongozi wa jamaa zao; wote ni watano. Watu wapiganaji walioorodheshwa katika ukoo wao walikuwa 22,034. |
10548 | 1CH 7:9 | Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji 20,200. |
10550 | 1CH 7:11 | Hawa wana wote wa Yediaeli walikuwa viongozi wa jamaa zao. Kulikuwako wanaume wapiganaji 17,200 waliokuwa tayari kwenda vitani. |
10579 | 1CH 7:40 | Hawa wote ndio waliokuwa wazao wa Asheri, viongozi wa jamaa zao, watu bora, mashujaa walio hodari na viongozi maarufu. Idadi ya watu waliokuwa tayari kwa vita, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, walikuwa 26,000. |
10641 | 1CH 9:22 | Jumla ya waliochaguliwa kuwa mabawabu katika sakafu za kupuria nafaka walikuwa watu 212. Waliandikishwa kwa koo zao kwenye vijiji vyao. Mabawabu hawa waliwekwa katika nafasi zao za kuaminiwa na Daudi pamoja na mwonaji Samweli. |
10755 | 1CH 12:31 | Watu wa Efraimu, mashujaa hodari 20,800, watu waliokuwa maarufu katika koo zao. |
10757 | 1CH 12:33 | Watu wa Isakari, waliofahamu majira na kujua kile ambacho Israeli inapasa kufanya, walikuwa viongozi 200, pamoja na jamaa zao wote chini ya uongozi wao. |
10760 | 1CH 12:36 | Watu wa Dani 28,600 waliokuwa tayari kwa vita. |
10762 | 1CH 12:38 | Na pia watu kutoka mashariki ya Yordani, watu wa Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakiwa na kila aina ya silaha, watu 120,000. |
10801 | 1CH 15:5 | Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120, |
10802 | 1CH 15:6 | Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake 220. |
10804 | 1CH 15:8 | Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200. |
10806 | 1CH 15:10 | Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112. |
10899 | 1CH 18:4 | Daudi akateka magari ya vita 1,000 miongoni mwa magari yake, waendesha hayo magari ya kukokotwa na farasi 7,000 na askari wa miguu 20,000. Daudi akakata mishipa ya miguu ya nyuma ya farasi wote wakokotao magari, ila akabakiza 100. |
10900 | 1CH 18:5 | Waaramu wa Dameski, walipokuja kumsaidia Hadadezeri mfalme wa Soba, Daudi akawashambulia na kuwaua 22,000 miongoni mwao. |
10919 | 1CH 19:7 | Wakakodisha magari ya vita 32,000 yakiwa na waendeshaji wake, pamoja na mfalme wa Maaka na vikosi vyake, wakaja na kupiga kambi karibu na Medeba. Waamoni nao wakakusanyika toka miji yao, wakatoka ili kupigana vita. |
10992 | 1CH 23:4 | Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi, |
11058 | 1CH 25:7 | Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Bwana. Idadi yao walikuwa 288. |
11060 | 1CH 25:9 | Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, wanawe na jamaa zake, 12 Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12 |