Wildebeest analysis examples for:   swh-swhonen   5    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

112  GEN 5:6  Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.
116  GEN 5:10  Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
117  GEN 5:11  Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.
123  GEN 5:17  Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.
129  GEN 5:23  Enoki aliishi jumla ya miaka 365.
136  GEN 5:30  Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
138  GEN 5:32  Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
184  GEN 7:24  Maji yakaifunika dunia kwa siku 150.
187  GEN 8:3  Maji yakaendelea kupungua taratibu katika nchi. Kunako mwisho wa siku ya 150, maji yalikuwa yamepungua,
234  GEN 9:28  Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350.
235  GEN 9:29  Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.
278  GEN 11:11  Baada ya kumzaa Arfaksadi, Shemu aliishi miaka 500, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
299  GEN 11:32  Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205.
666  GEN 25:7  Kwa jumla, Abrahamu aliishi miaka 175.
2406  EXO 30:23  “Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 za manemane ya maji, shekeli 250 za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
2407  EXO 30:24  shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini ya mafuta ya zeituni.
2659  EXO 38:25  Fedha iliyopatikana kutokana na jumuiya ya watu waliohesabiwa ilikuwa yenye uzito wa talanta mia moja na shekeli 1,775, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu.
2660  EXO 38:26  Kila mtu alitoa beka moja, ambayo ni sawa na nusu shekeli ya fedha, kwa kazi ya mahali patakatifu, kutoka kwa kila mtu aliyekuwa amehesabiwa mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi, ambao jumla yao walikuwa wanaume 603,550.
2662  EXO 38:28  Akatumia zile shekeli hizo 1,775 kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo na kutengeneza vitanzi vyake.
3626  NUM 1:21  Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500.
3628  NUM 1:23  Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300.
3630  NUM 1:25  Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu 45,650.
3634  NUM 1:29  Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400.
3636  NUM 1:31  Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400.
3638  NUM 1:33  Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500.
3642  NUM 1:37  Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400.
3646  NUM 1:41  Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500.
3648  NUM 1:43  Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400.
3651  NUM 1:46  Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550.
3665  NUM 2:6  Kundi lake lina watu 54,400.
3667  NUM 2:8  Kundi lake lina watu 57,400.
3670  NUM 2:11  Kundi lake lina watu 46,500.
3672  NUM 2:13  Kundi lake lina watu 59,300.
3674  NUM 2:15  Kundi lake lina watu 45,650.
3675  NUM 2:16  Wanaume wote walio katika kambi ya Reubeni, kufuatana na makundi yao, ni 151,450. Nao watakuwa nafasi ya pili kuondoka.
3678  NUM 2:19  Kundi lake lina watu 40,500.
3682  NUM 2:23  Kundi lake lina watu 35,400.
3687  NUM 2:28  Kundi lake lina watu 41,500.
3689  NUM 2:30  Kundi lake lina watu 53,400.
3690  NUM 2:31  Wanaume wote walio katika kambi ya Dani ni 157,600. Wao watakuwa wa mwisho kuondoka chini ya alama yao.
3691  NUM 2:32  Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote walio kambini kwa makundi yao ni watu 603,550.
3715  NUM 3:22  Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500.
3743  NUM 3:50  Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli 1,365 kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu.
3780  NUM 4:36  waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750.
3792  NUM 4:48  walikuwa watu 8,580.
4197  NUM 16:2  wakainuka dhidi ya Mose. Pamoja nao walikuwepo wanaume wa Kiisraeli 250, watu waliojulikana, viongozi wa jumuiya waliokuwa wameteuliwa kuwa wakuu wa kusanyiko.
4212  NUM 16:17  Kila mtu atachukua chetezo chake na kuweka uvumba ndani yake, vyetezo 250 kwa jumla, na kukileta mbele za Bwana. Wewe na Aroni mtaleta vyetezo vyenu pia.”
4230  NUM 16:35  Moto ukaja kutoka kwa Bwana, ukawateketeza wale watu 250 waliokuwa wakifukiza uvumba.
4501  NUM 26:10  Ardhi ilifunua kinywa chake na kuwameza pamoja na Kora, ambaye wafuasi wake walikufa wakati moto ulipowateketeza wanaume 250. Nao walikuwa kama alama ya onyo.
4509  NUM 26:18  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500.
4513  NUM 26:22  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500.
4518  NUM 26:27  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500.
4525  NUM 26:34  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
4528  NUM 26:37  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa 32,500. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yosefu kwa koo zao.
4532  NUM 26:41  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600.
4538  NUM 26:47  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa 53,400.
4541  NUM 26:50  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400.
4698  NUM 31:32  Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000,
4702  NUM 31:36  Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500
4703  NUM 31:37  ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675;
4705  NUM 31:39  punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61;
4709  NUM 31:43  nusu iliyokuwa ya jumuiya, ilikuwa kondoo 337,500,
4711  NUM 31:45  punda 30,500,
4718  NUM 31:52  Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Mose na kuhani Eleazari walimletea Bwana kama zawadi ilikuwa shekeli 16,750
4851  NUM 35:4  “Maeneo ya malisho kuzunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataenea mita 450 kutoka kwenye ukuta wa miji.
6731  JDG 8:10  Wakati huu Zeba na Salmuna walikuwa Karkori wakiwa na jeshi lenye watu wapatao 15,000 wale wote waliokuwa wamesalia wa mataifa ya mashariki, kwa kuwa watu wapatao 120,000 wenye panga walikuwa wameuawa.
7091  JDG 20:35  Bwana akawashinda Wabenyamini mbele ya Waisraeli na siku ile Waisraeli wakawaua Wabenyamini watu waume 25,100, wote wakiwa wenye kujifunga silaha za vita.
7101  JDG 20:45  Walipogeuka na kukimbia kuelekea nyikani hata kufikia mwamba wa Rimoni, Waisraeli wakawaua watu 5,000 wakiwa njiani. Wakawafuata kwa kasi mpaka Gidomu huko wakawaua watu wengine 2,000.
7102  JDG 20:46  Siku ile wakawaua Wabenyamini 25,000 waliokuwa mashujaa wa vita.
8704  2SA 24:9  Yoabu akatoa hesabu ya wapiganaji kwa mfalme: Katika Israeli kulikuwako watu 800,000 wenye uwezo wa kupigana, na katika Yuda watu 500,000.
8879  1KI 5:12  Akanena mithali 3,000 na nyimbo zake zilikuwa 1,005.
9077  1KI 9:23  Pia walikuwa maafisa wakuu wasimamizi wa miradi ya Solomoni: maafisa 550 waliwasimamia watu waliofanya kazi.
9111  1KI 10:29  Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha na farasi kwa shekeli 150. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
10100  2KI 19:35  Usiku ule, malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!
10453  1CH 5:21  Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000. Pia wakateka watu 100,000,
10619  1CH 8:40  Wana wa Ulamu walikuwa mashujaa hodari walioweza kutumia upinde. Alikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla yao 150. Hawa wote ndio walikuwa wazao wa Benyamini.
10628  1CH 9:9  Watu kutoka Benyamini kama walivyoorodheshwa katika koo zao jumla yao ni 956. Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao.
10758  1CH 12:34  Watu wa Zabuloni, askari wenye uzoefu mkubwa walioandaliwa tayari kwa vita wakiwa na silaha za kila aina, ili kumsaidia Daudi kwa uaminifu thabiti, walikuwa 50,000.
11176  1CH 29:7  Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 na darkoni 10,000 za dhahabu, talanta 10,000 za fedha, talanta 18,000 za shaba na talanta 100,000 za chuma.
11216  2CH 1:17  Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha, na farasi kwa shekeli 150. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
11233  2CH 2:16  Ndipo Solomoni akaamuru ifanyike hesabu ya wageni wote waliokuwa katika Israeli, baada ya ile hesabu iliyofanywa na Daudi; wakapatikana watu 153,600.
11361  2CH 8:10  Pia walikuwa maafisa wakuu wa Mfalme Solomoni, yaani, maafisa wakaguzi 250 waliosimamia watu.
11369  2CH 8:18  Naye Hiramu alimpelekea meli zilizoongozwa na maafisa wake mwenyewe, watu waliokuwa na ujuzi wa baharini. Hawa watu pamoja na wale wa Solomoni wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri, wakaleta kutoka huko talanta 450 za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni.
11475  2CH 13:17  Abiya na watu wake wakawachinja kwa machinjo makuu, hata wakawepo majeruhi 500,000 miongoni mwa watu wenye uwezo wa Israeli.
11750  2CH 26:13  Chini ya uongozi wao kulikuwa na jeshi la askari 307,500 watu waliofundishwa kwa ajili ya vita, jeshi lenye nguvu la kumsaidia mfalme dhidi ya adui zake.
11980  2CH 35:9  Konania na nduguze wawili, Shemaya na Nethaneli, pamoja na Hashabia, Yeieli na Yozabadi waliokuwa viongozi wa Walawi, nao pia wakawapa Walawi wana-kondoo na wana-mbuzi 5,000 na mafahali 500, kwa ajili ya sadaka za Pasaka.
12032  EZR 1:11  Kwa ujumla, kulikuwa na vyombo 5,400 vya dhahabu na vya fedha. Sheshbaza akavileta hivi vyote wakati watu walipotoka uhamishoni Babeli kwenda Yerusalemu.
12037  EZR 2:5  wazao wa Ara 775
12039  EZR 2:7  wazao wa Elamu 1,254
12040  EZR 2:8  wazao wa Zatu 945
12046  EZR 2:14  wazao wa Bigwai 2,056
12047  EZR 2:15  wazao wa Adini 454
12052  EZR 2:20  wazao wa Gibari 95
12054  EZR 2:22  watu wa Netofa 56