124 | GEN 5:18 | Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki. |
126 | GEN 5:20 | Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa. |
129 | GEN 5:23 | Enoki aliishi jumla ya miaka 365. |
133 | GEN 5:27 | Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa. |
166 | GEN 7:6 | Noa alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia. |
171 | GEN 7:11 | Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Noa, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa. |
197 | GEN 8:13 | Katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza ya mwaka 601, wa kuishi kwake Noa, maji yalikuwa yamekauka duniani. Kisha Noa akafungua mlango wa safina akaona ya kuwa uso wa ardhi ulikuwa umekauka. |
1854 | EXO 12:37 | Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi. Walikuwepo wanaume wapatao 600,000 waendao kwa miguu bila kuhesabu wanawake na watoto. |
2660 | EXO 38:26 | Kila mtu alitoa beka moja, ambayo ni sawa na nusu shekeli ya fedha, kwa kazi ya mahali patakatifu, kutoka kwa kila mtu aliyekuwa amehesabiwa mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi, ambao jumla yao walikuwa wanaume 603,550. |
3626 | NUM 1:21 | Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500. |
3630 | NUM 1:25 | Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu 45,650. |
3632 | NUM 1:27 | Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600. |
3644 | NUM 1:39 | Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700. |
3651 | NUM 1:46 | Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550. |
3663 | NUM 2:4 | Kundi lake lina watu 74,600. |
3668 | NUM 2:9 | Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni 186,400. Wao watatangulia kuondoka. |
3670 | NUM 2:11 | Kundi lake lina watu 46,500. |
3674 | NUM 2:15 | Kundi lake lina watu 45,650. |
3685 | NUM 2:26 | Kundi lake lina watu 62,700. |
3690 | NUM 2:31 | Wanaume wote walio katika kambi ya Dani ni 157,600. Wao watakuwa wa mwisho kuondoka chini ya alama yao. |
3691 | NUM 2:32 | Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote walio kambini kwa makundi yao ni watu 603,550. |
3721 | NUM 3:28 | Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu. |
3727 | NUM 3:34 | Hesabu ya waume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 6,200. |
3743 | NUM 3:50 | Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli 1,365 kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu. |
3784 | NUM 4:40 | waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630. |
4046 | NUM 11:21 | Lakini Mose alisema, “Mimi niko hapa miongoni mwa watu 600,000 wanaotembea kwa miguu, nawe umesema, ‘Nitawapa nyama ya kula kwa mwezi mzima!’ |
4513 | NUM 26:22 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500. |
4516 | NUM 26:25 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Isakari; wale waliohesabiwa walikuwa 64,300. |
4518 | NUM 26:27 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500. |
4532 | NUM 26:41 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600. |
4534 | NUM 26:43 | Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400. |
4542 | NUM 26:51 | Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730. |
4698 | NUM 31:32 | Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000, |
4700 | NUM 31:34 | punda 61,000, |
4703 | NUM 31:37 | ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675; |
4704 | NUM 31:38 | ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; |
4705 | NUM 31:39 | punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61; |
4706 | NUM 31:40 | Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32. |
4710 | NUM 31:44 | ngʼombe 36,000, |
4712 | NUM 31:46 | na wanadamu 16,000. |
4718 | NUM 31:52 | Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Mose na kuhani Eleazari walimletea Bwana kama zawadi ilikuwa shekeli 16,750 |
6601 | JDG 3:31 | Baada ya Ehudi akaja Shamgari mwana wa Anathi, aliyewapiga Wafilisti 600 kwa fimbo iliyochongoka ya kuongozea ngʼombe. Naye pia akawaokoa Waisraeli. |
6614 | JDG 4:13 | Sisera akakusanya pamoja magari yake yote 600 ya chuma na watu wote waliokuwa pamoja naye, kuanzia Haroshethi-Hagoyimu mpaka Mto wa Kishoni. |
7006 | JDG 18:11 | Ndipo watu 600 toka ukoo wa Wadani, waliojifunga silaha za vita, wakaondoka Sora na Eshtaoli. |
7011 | JDG 18:16 | Wale Wadani 600, waliovaa silaha za vita, wakasimama penye ingilio la lango. |
7012 | JDG 18:17 | Wale watu watano waliokwenda kupeleleza nchi wakaingia ndani na kuchukua ile sanamu ya kuchonga, ile naivera, na zile sanamu nyingine ndogo za nyumbani pamoja na ile sanamu ya kusubu, wakati yule kuhani akiwa amesimama pale penye ingilio la lango pamoja na wale watu 600 waliokuwa wamejifunga silaha za vita. |
7071 | JDG 20:15 | Siku ile Wabenyamini wakakusanya watu 26,000 kutoka miji yao, waliojifunga panga, mbali na hao 700 waliochaguliwa miongoni mwa hao waliokaa Gibea. |
7103 | JDG 20:47 | Lakini watu 600 wakakimbia kuelekea nyikani katika mwamba wa Rimoni, na kukaa huko muda wa miezi minne. |
7492 | 1SA 13:5 | Wafilisti wakakusanyika ili kupigana na Israeli, wakiwa na magari ya vita 3,000, waendesha magari ya vita 6,000 na askari wa miguu wengi kama mchanga wa ufuoni mwa bahari. Walipanda na kupiga kambi huko Mikmashi, mashariki ya Beth-Aveni. |
7502 | 1SA 13:15 | Kisha Samweli akaondoka Gilgali, akapanda Gibea ya Benyamini, naye Sauli akawahesabu watu aliokuwa nao. Jumla yao walikuwa watu 600. |
7512 | 1SA 14:2 | Sauli alikuwa akikaa kwenye viunga vya Gibea chini ya mkomamanga huko Migroni. Alikuwa pamoja na watu kama 600, |
7826 | 1SA 23:13 | Basi Daudi na watu wake, wapatao 600, wakaondoka Keila wakawa wanakwenda sehemu moja hadi nyingine. Sauli alipoambiwa Daudi ametoroka kutoka Keila, hakwenda huko. |
7990 | 1SA 30:9 | Daudi pamoja na watu wake 600 wakafika kwenye Bonde la Besori, mahali ambapo wengine waliachwa nyuma, |
8083 | 2SA 2:31 | Lakini watu wa Daudi walikuwa wamewaua watu wa kabila la Benyamini 360 waliokuwa pamoja na Abneri. |
9096 | 1KI 10:14 | Uzito wa dhahabu ambayo Solomoni alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666, |
9098 | 1KI 10:16 | Mfalme Solomoni akatengeneza ngao kubwa 200 kwa dhahabu iliyofuliwa; kila ngao ilikuwa na dhahabu yenye uzito wa shekeli 600 |
9111 | 1KI 10:29 | Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha na farasi kwa shekeli 150. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu. |
9656 | 2KI 5:5 | Mfalme wa Aramu akamjibu, “Hakika, nenda. Nitatuma barua kwa mfalme wa Israeli.” Kwa hiyo Naamani akaondoka, akiwa amechukua talanta kumi za fedha, shekeli 6,000 za dhahabu, na mivao kumi ya mavazi. |
10450 | 1CH 5:18 | Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walikuwa na watu mashujaa 44,760 waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya vita: watu wenye nguvu, hodari wa kutumia ngao na upanga, mashujaa wa kutumia upinde, waliokuwa tayari kwa ajili ya kazi hiyo. |
10541 | 1CH 7:2 | Wana wa Tola walikuwa: Uzi, Refaya, Yerieli, Yahmai, Ibsamu na Shemueli waliokuwa viongozi wa jamaa zao. Wakati wa utawala wa Mfalme Daudi, wazao wa Tola walioorodheshwa kama wapiganaji katika ukoo wao walikuwa watu 22,600. |
10543 | 1CH 7:4 | Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu hodari wa vita wapatao 36,000, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi. |
10579 | 1CH 7:40 | Hawa wote ndio waliokuwa wazao wa Asheri, viongozi wa jamaa zao, watu bora, mashujaa walio hodari na viongozi maarufu. Idadi ya watu waliokuwa tayari kwa vita, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, walikuwa 26,000. |
10625 | 1CH 9:6 | Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. |
10628 | 1CH 9:9 | Watu kutoka Benyamini kama walivyoorodheshwa katika koo zao jumla yao ni 956. Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao. |
10632 | 1CH 9:13 | Makuhani waliokuwa viongozi wa jamaa zao walikuwa 1,760. Walikuwa watu wenye uwezo, waliowajibika kuhudumu katika nyumba ya Mungu. |
10749 | 1CH 12:25 | watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita. |
10751 | 1CH 12:27 | Watu wa Lawi walikuwa 4,600, |
10760 | 1CH 12:36 | Watu wa Dani 28,600 waliokuwa tayari kwa vita. |
10964 | 1CH 21:25 | Basi Daudi akamlipa Arauna shekeli za dhahabu 600 kwa ajili ya ule uwanja. |
10992 | 1CH 23:4 | Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi, |
11216 | 2CH 1:17 | Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha, na farasi kwa shekeli 150. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu. |
11218 | 2CH 2:1 | Solomoni akaandika watu 70,000 kuwa wachukuzi wa mizigo, na watu 80,000 kuwa wachonga mawe vilimani, na watu 3,600 kuwa wasimamizi wao. |
11233 | 2CH 2:16 | Ndipo Solomoni akaamuru ifanyike hesabu ya wageni wote waliokuwa katika Israeli, baada ya ile hesabu iliyofanywa na Daudi; wakapatikana watu 153,600. |
11234 | 2CH 2:17 | Akawaweka watu 70,000 miongoni mwao kuwa wachukuzi wa mizigo, na 80,000 kuwa wachonga mawe vilimani, na 3,600 wakiwa wasimamizi juu yao ili wawahimize watu kufanya kazi. |
11382 | 2CH 9:13 | Uzito wa dhahabu ambayo Solomoni alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666, |
11384 | 2CH 9:15 | Mfalme Solomoni akatengeneza ngao kubwa 200 kwa dhahabu iliyofuliwa. Kila ngao ilikuwa na dhahabu yenye uzito wa shekeli 600 |
11445 | 2CH 12:3 | Akiwa na magari ya vita 1,200 na wapanda farasi 60,000 na idadi isiyohesabika ya majeshi ya Walibia, Wasukii na Wakushi yaliyokuja pamoja naye kutoka Misri. |
11749 | 2CH 26:12 | Idadi yote ya viongozi wa jamaa waliowaongoza hawa wapiganaji walikuwa 2,600. |
11829 | 2CH 29:33 | Wanyama waliowekwa wakfu kwa sadaka ya kuteketezwa walikuwa mafahali 600, pamoja na kondoo na mbuzi 3,000. |
11979 | 2CH 35:8 | Pia maafisa wake, wakatoa kwa hiari yao wakawapa watu, makuhani na Walawi. Hilkia, Zekaria na Yehieli, waliokuwa maafisa wakuu wa Hekalu la Mungu, wakawapa makuhani sadaka za Pasaka wana-kondoo na wana-mbuzi 2,600 na mafahali 300. |
12041 | EZR 2:9 | wazao wa Zakai 760 |
12042 | EZR 2:10 | wazao wa Bani 642 |
12043 | EZR 2:11 | wazao wa Bebai 623 |
12045 | EZR 2:13 | wazao wa Adonikamu 666 |
12046 | EZR 2:14 | wazao wa Bigwai 2,056 |
12054 | EZR 2:22 | watu wa Netofa 56 |
12058 | EZR 2:26 | wazao wa Rama na Geba 621 |
12062 | EZR 2:30 | wazao wa Magbishi 156 |
12067 | EZR 2:35 | wazao wa Senaa 3,630 |
12092 | EZR 2:60 | wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda 652 |
12096 | EZR 2:64 | Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; |
12098 | EZR 2:66 | Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, |
12099 | EZR 2:67 | ngamia 435 na punda 6,720. |
12101 | EZR 2:69 | Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000 za dhahabu, mane 5,000 za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo. |
12216 | EZR 8:10 | wa wazao wa Bani, alikuwa Shelomithi mwana wa Yosifia na wanaume 160 pamoja naye; |
12219 | EZR 8:13 | wa wazao wa Adonikamu, hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume 60 pamoja nao; |
12232 | EZR 8:26 | Niliwapimia talanta 650 za fedha, vifaa vingine vya fedha vya uzito wa talanta mia moja, talanta mia moja za dhahabu, |
12435 | NEH 7:10 | wazao wa Ara 652 |
12439 | NEH 7:14 | wazao wa Zakai 760 |
12440 | NEH 7:15 | wazao wa Binui 648 |