113 | GEN 5:7 | Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. |
131 | GEN 5:25 | Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki. |
132 | GEN 5:26 | Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. |
137 | GEN 5:31 | Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa. |
288 | GEN 11:21 | Baada ya Reu kumzaa Serugi, aliishi miaka 207, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
666 | GEN 25:7 | Kwa jumla, Abrahamu aliishi miaka 175. |
676 | GEN 25:17 | Kwa jumla Ishmaeli aliishi miaka 137. Akapumua pumzi ya mwisho, akafa, naye akakusanywa pamoja na watu wake. |
1449 | GEN 47:28 | Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147. |
1672 | EXO 6:16 | Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. |
1676 | EXO 6:20 | Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. |
2658 | EXO 38:24 | Jumla ya dhahabu iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa kwa ajili ya kazi ya mahali patakatifu ilikuwa na uzito wa talanta 29 na shekeli 730, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. |
2659 | EXO 38:25 | Fedha iliyopatikana kutokana na jumuiya ya watu waliohesabiwa ilikuwa yenye uzito wa talanta mia moja na shekeli 1,775, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. |
2662 | EXO 38:28 | Akatumia zile shekeli hizo 1,775 kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo na kutengeneza vitanzi vyake. |
2663 | EXO 38:29 | Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400. |
3632 | NUM 1:27 | Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600. |
3636 | NUM 1:31 | Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400. |
3644 | NUM 1:39 | Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700. |
3663 | NUM 2:4 | Kundi lake lina watu 74,600. |
3667 | NUM 2:8 | Kundi lake lina watu 57,400. |
3685 | NUM 2:26 | Kundi lake lina watu 62,700. |
3690 | NUM 2:31 | Wanaume wote walio katika kambi ya Dani ni 157,600. Wao watakuwa wa mwisho kuondoka chini ya alama yao. |
3715 | NUM 3:22 | Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500. |
3736 | NUM 3:43 | Jumla ya hesabu ya wazaliwa wa kwanza waume wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walioorodheshwa kwa majina, walikuwa 22,273. |
3739 | NUM 3:46 | Ili kukomboa wazao wa kwanza 273 wa Waisraeli ambao wamezidi hesabu ya Walawi, |
3780 | NUM 4:36 | waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750. |
4244 | NUM 17:14 | Lakini walikufa watu 14,700 kutokana na tauni hiyo, licha ya wale waliokuwa wamekufa kwa sababu ya Kora. |
4498 | NUM 26:7 | Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa 43,730. |
4513 | NUM 26:22 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500. |
4525 | NUM 26:34 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700. |
4542 | NUM 26:51 | Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730. |
4698 | NUM 31:32 | Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000, |
4699 | NUM 31:33 | ngʼombe 72,000, |
4702 | NUM 31:36 | Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500 |
4703 | NUM 31:37 | ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675; |
4704 | NUM 31:38 | ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; |
4709 | NUM 31:43 | nusu iliyokuwa ya jumuiya, ilikuwa kondoo 337,500, |
4718 | NUM 31:52 | Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Mose na kuhani Eleazari walimletea Bwana kama zawadi ilikuwa shekeli 16,750 |
6747 | JDG 8:26 | Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilifikia shekeli 1,700, bila kuhesabu mapambo mengine, pete za masikio na mavazi ya zambarau yaliyovaliwa na wafalme wa Midiani, au mikufu iliyokuwa kwenye shingo za ngamia zao. |
7071 | JDG 20:15 | Siku ile Wabenyamini wakakusanya watu 26,000 kutoka miji yao, waliojifunga panga, mbali na hao 700 waliochaguliwa miongoni mwa hao waliokaa Gibea. |
7072 | JDG 20:16 | Miongoni mwa hao askari wote kulikuwa na watu 700 bora waliochaguliwa watumiao mkono wa kushoto, kila mmoja wao aliweza kutupa jiwe kwa kombeo na kulenga unywele mmoja bila kukosa. |
8216 | 2SA 8:4 | Daudi akateka magari yake ya vita 1,000, askari wapanda farasi 7,000 na askari 20,000 watembeao kwa miguu. Daudi akawakata wale farasi wote wakokotao magari mishipa ya miguu, isipokuwa farasi 100 hakuwakata. |
8710 | 2SA 24:15 | Basi Bwana akatuma tauni katika Israeli kuanzia asubuhi mpaka mwisho wa muda ulioamriwa, wakafa watu 70,000 kuanzia Dani hadi Beer-Sheba. |
8896 | 1KI 5:29 | Solomoni alikuwa na wachukuzi wa mizigo 70,000 na wachonga mawe 80,000 huko vilimani, |
9114 | 1KI 11:3 | Alikuwa na wake 700 mabinti wa uzao wa kifalme, na masuria 300, nao wake zake wakampotosha. |
9426 | 1KI 20:15 | Kwa hiyo Ahabu akawaita maafisa vijana majemadari wa majimbo, wanaume 232. Kisha akawakusanya Waisraeli wote waliobaki, jumla yao 7,000. |
9441 | 1KI 20:30 | Waliobaki wakatorokea katika mji wa Afeki, mahali ambapo watu 27,000 waliangukiwa na ukuta. Naye Ben-Hadadi akakimbilia mjini na kujificha kwenye chumba cha ndani. |
9606 | 2KI 3:26 | Mfalme wa Moabu alipoona kuwa vita vimekuwa vikali dhidi yake, akachukua watu 700 wenye panga ili kuingia kwa mfalme wa Edomu, lakini wakashindwa. |
10450 | 1CH 5:18 | Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walikuwa na watu mashujaa 44,760 waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya vita: watu wenye nguvu, hodari wa kutumia ngao na upanga, mashujaa wa kutumia upinde, waliokuwa tayari kwa ajili ya kazi hiyo. |
10544 | 1CH 7:5 | Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000. |
10550 | 1CH 7:11 | Hawa wana wote wa Yediaeli walikuwa viongozi wa jamaa zao. Kulikuwako wanaume wapiganaji 17,200 waliokuwa tayari kwenda vitani. |
10632 | 1CH 9:13 | Makuhani waliokuwa viongozi wa jamaa zao walikuwa 1,760. Walikuwa watu wenye uwezo, waliowajibika kuhudumu katika nyumba ya Mungu. |
10750 | 1CH 12:26 | Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100. |
10752 | 1CH 12:28 | pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Aroni, aliyekuwa pamoja na watu 3,700, |
10759 | 1CH 12:35 | Watu wa Naftali, maafisa 1,000, pamoja na watu 37,000 waliochukua ngao na mikuki. |
10899 | 1CH 18:4 | Daudi akateka magari ya vita 1,000 miongoni mwa magari yake, waendesha hayo magari ya kukokotwa na farasi 7,000 na askari wa miguu 20,000. Daudi akakata mishipa ya miguu ya nyuma ya farasi wote wakokotao magari, ila akabakiza 100. |
10930 | 1CH 19:18 | Lakini Waaramu wakakimbia mbele ya Israeli, naye Daudi akawaua waendesha magari 7,000 na askari wao wa miguu 40,000. Pia akamuua Shofaki, jemadari wa jeshi lao. |
10944 | 1CH 21:5 | Yoabu akampa Daudi jumla ya idadi ya watu wanaoweza kupigana. Katika Israeli kulikuwa na watu 1,100,000 ambao wangeweza kutumia upanga na katika Yuda watu 470,000. |
10953 | 1CH 21:14 | Basi Bwana akatuma tauni katika Israeli, watu 70,000 wa Israeli wakafa. |
11112 | 1CH 26:30 | Kutoka kwa wana wa Hebroni: Hashabia na jamaa zake, watu 1,700 wenye uwezo, waliwajibika katika Israeli magharibi ya Yordani kwa ajili ya kazi zote za Bwana na utumishi wa mfalme. |
11114 | 1CH 26:32 | Yeria alikuwa na jamaa ya watu 2,700 waliokuwa watu wenye uwezo na viongozi wa jamaa, naye Mfalme Daudi akawaweka kuangalia Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila Manase kuhusu kila jambo lililomhusu Mungu na shughuli za mfalme. |
11173 | 1CH 29:4 | talanta 3,000 za dhahabu (dhahabu ya Ofiri) na talanta 7,000 za fedha safi iliyosafishwa, kwa ajili ya kufunika kuta za Hekalu, |
11218 | 2CH 2:1 | Solomoni akaandika watu 70,000 kuwa wachukuzi wa mizigo, na watu 80,000 kuwa wachonga mawe vilimani, na watu 3,600 kuwa wasimamizi wao. |
11234 | 2CH 2:17 | Akawaweka watu 70,000 miongoni mwao kuwa wachukuzi wa mizigo, na 80,000 kuwa wachonga mawe vilimani, na 3,600 wakiwa wasimamizi juu yao ili wawahimize watu kufanya kazi. |
11506 | 2CH 15:11 | Wakati huo wakamtolea Bwana dhabihu za ngʼombe 700, kondoo na mbuzi 7,000 kutoka zile nyara walizoteka. |
11539 | 2CH 17:11 | Baadhi ya Wafilisti wakamletea Yehoshafati zawadi na fedha kama ushuru, nao Waarabu wakamletea mifugo: kondoo dume 7,700 na mbuzi 7,700. |
11750 | 2CH 26:13 | Chini ya uongozi wao kulikuwa na jeshi la askari 307,500 watu waliofundishwa kwa ajili ya vita, jeshi lenye nguvu la kumsaidia mfalme dhidi ya adui zake. |
11856 | 2CH 30:24 | Hezekia, mfalme wa Yuda akatoa mafahali 1,000, kondoo na mbuzi 7,000 kwa ajili ya kusanyiko, nao maafisa wakatoa mafahali 1,000 pamoja na kondoo na mbuzi 10,000. Idadi kubwa ya makuhani wakajiweka wakfu. |
12035 | EZR 2:3 | wazao wa Paroshi 2,172 |
12036 | EZR 2:4 | wazao wa Shefatia 372 |
12037 | EZR 2:5 | wazao wa Ara 775 |
12041 | EZR 2:9 | wazao wa Zakai 760 |
12057 | EZR 2:25 | wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743 |
12065 | EZR 2:33 | wazao wa Lodi, Hadidi na Ono 725 |
12068 | EZR 2:36 | Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973 |
12070 | EZR 2:38 | wazao wa Pashuri 1,247 |
12071 | EZR 2:39 | wazao wa Harimu 1,017 |
12072 | EZR 2:40 | Walawi: wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia) 74 |
12097 | EZR 2:65 | tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. |
12098 | EZR 2:66 | Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, |
12099 | EZR 2:67 | ngamia 435 na punda 6,720. |
12213 | EZR 8:7 | wa wazao wa Elamu, alikuwa Yeshaya mwana wa Athalia, na wanaume 70 pamoja naye; |
12220 | EZR 8:14 | wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume 70 pamoja nao. |
12433 | NEH 7:8 | wazao wa Paroshi 2,172 |
12434 | NEH 7:9 | wazao wa Shefatia 372 |
12439 | NEH 7:14 | wazao wa Zakai 760 |
12443 | NEH 7:18 | wazao wa Adonikamu 667 |
12444 | NEH 7:19 | wazao wa Bigwai 2,067 |
12454 | NEH 7:29 | watu wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743 |
12462 | NEH 7:37 | wazao wa Lodi, Hadidi na Ono 721 |
12464 | NEH 7:39 | Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973 |
12466 | NEH 7:41 | wazao wa Pashuri 1,247 |
12467 | NEH 7:42 | wazao wa Harimu 1,017 |
12468 | NEH 7:43 | Walawi: wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia) 74 |
12492 | NEH 7:67 | tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245. |
12493 | NEH 7:68 | Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245 ngamia 435 na punda 6,720. |