111 | GEN 5:5 | Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa. |
114 | GEN 5:8 | Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa. |
117 | GEN 5:11 | Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa. |
120 | GEN 5:14 | Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa. |
123 | GEN 5:17 | Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa. |
126 | GEN 5:20 | Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa. |
133 | GEN 5:27 | Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa. |
136 | GEN 5:30 | Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. |
235 | GEN 9:29 | Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa. |
286 | GEN 11:19 | Baada ya Pelegi kumzaa Reu, aliishi miaka 209, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
292 | GEN 11:25 | Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
2658 | EXO 38:24 | Jumla ya dhahabu iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa kwa ajili ya kazi ya mahali patakatifu ilikuwa na uzito wa talanta 29 na shekeli 730, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. |
3628 | NUM 1:23 | Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300. |
3672 | NUM 2:13 | Kundi lake lina watu 59,300. |
4852 | NUM 35:5 | Nje ya mji, pima mita 900 upande wa mashariki, upande wa kusini mita 900, upande wa magharibi mita 900, na upande wa kaskazini mita 900, na mji utakuwa katikati. Eneo hili litakuwa lao kwa ajili ya malisho. |
6604 | JDG 4:3 | Kwa kuwa Sisera alikuwa na magari ya chuma yapatayo 900, naye alikuwa amewatesa Waisraeli kwa ukatili kwa muda wa miaka ishirini, Waisraeli wakamlilia Bwana wakaomba msaada. |
10625 | 1CH 9:6 | Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. |
10628 | 1CH 9:9 | Watu kutoka Benyamini kama walivyoorodheshwa katika koo zao jumla yao ni 956. Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao. |
12030 | EZR 1:9 | Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa: masinia ya dhahabu yalikuwa 30 masinia ya fedha yalikuwa 1,000 vyetezo vya fedha vilikuwa 29 |
12040 | EZR 2:8 | wazao wa Zatu 945 |
12048 | EZR 2:16 | wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98 |
12052 | EZR 2:20 | wazao wa Gibari 95 |
12068 | EZR 2:36 | Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973 |
12074 | EZR 2:42 | Mabawabu wa lango la Hekalu: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai 139 |
12090 | EZR 2:58 | Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392 |
12446 | NEH 7:21 | wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98 |
12450 | NEH 7:25 | wazao wa Gibeoni 95 |
12463 | NEH 7:38 | wazao wa Senaa 3,930 |
12464 | NEH 7:39 | Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973 |
12485 | NEH 7:60 | Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392 |
12600 | NEH 11:8 | na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928. |
20603 | EZK 4:5 | Nimekupangia idadi ya siku kama miaka ya dhambi yao. Kwa hiyo kwa siku 390 utabeba dhambi za nyumba ya Israeli. |
20607 | EZK 4:9 | “Chukua ngano na shayiri, maharagwe na dengu, mtama na mawele, uviweke na kuvihifadhi vyote kwenye gudulia la kuhifadhia, na uvitumie kujitengenezea mkate. Utaula mkate huo kwa hizo siku 390 utakazokuwa umelala kwa upande mmoja. |
22161 | DAN 12:11 | “Tangu wakati ule wa kukomeshwa dhabihu ya kila siku na kusimamishwa kwa chukizo la uharibifu, kutakuwako siku 1,290. |