Wildebeest analysis examples for:   swh-swhonen   Word-Word”    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

11594  2CH 20:2  Watu fulani wakaja wakamwambia Yehoshafati, “Jeshi kubwa linakuja dhidi yako kutoka Edomu tokea ngʼambo ile nyingine ya Bahari. Tayari liko Hasason-Tamari” (yaani En-Gedi).