4520 | NUM 26:29 | Wazao wa Manase: kutoka kwa Makiri, ukoo wa Wamakiri (Makiri alikuwa baba wa Gileadi); kutoka kwa Gileadi, ukoo wa Wagileadi. |
6159 | JOS 13:3 | kutoka Mto Shihori ulioko mashariki mwa Misri, kuelekea kaskazini kwenye eneo la Ekroni, ambayo yote ilihesabika kama ya Wakanaani (maeneo yale matano ya watawala wa Kifilisti, ambayo ni Gaza, Ashdodi, Ashkeloni, Gathi na Ekroni: ndiyo nchi ya Waavi); |
6240 | JOS 15:36 | Shaaraimu, Adithaimu na Gedera (au Gederothaimu); yote ni miji kumi na minne, pamoja na vijiji vyake. |
8857 | 1KI 4:10 | Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); |
8858 | 1KI 4:11 | Ben-Abinadabu: katika Nafoth-Dori (alimwoa Tafathi binti Solomoni); |
8860 | 1KI 4:13 | Ben-Geberi: katika Ramoth-Gileadi (makao ya Yairi mwana wa Manase katika Gileadi ilikuwa miji yake, pamoja na wilaya ya Argobu katika Bashani na miji yake mikubwa sitini yenye kuzungukwa na kuta zenye makomeo ya shaba); |
8862 | 1KI 4:15 | Ahimaasi: katika Naftali (alikuwa amemwoa Basemathi binti Solomoni); |
8979 | 1KI 7:42 | makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); |
8986 | 1KI 7:49 | vinara vya taa vya dhahabu safi (vitano upande wa kuume na vitano upande wa kushoto, mbele ya Patakatifu pa Patakatifu); kazi ya maua ya dhahabu na taa na makoleo; |
11264 | 2CH 4:13 | yale makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); |
11272 | 2CH 4:21 | maua ya dhahabu yaliyofanyizwa, taa na makoleo (vilikuwa vya dhahabu bora kabisa); |
18273 | ISA 29:10 | Bwana amewaleteeni usingizi mzito: Ameziba macho yenu (ninyi manabii); amefunika vichwa vyenu (ninyi waonaji). |
19623 | JER 25:20 | pia wageni wote walioko huko; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni na watu walioachwa huko Ashdodi); |
24373 | MRK 3:16 | Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro); |
24374 | MRK 3:17 | Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye (ambao aliwaita Boanerge, maana yake Wana wa Ngurumo); |