|
4703 | ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675; | |
4704 | ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; | |
4705 | punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61; | |
13942 | Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne. |