Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   [    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

7488  1SA 13:1  Sauli alikwa na umri wa miaka [thelathini] alipoanza kutawala; alipokuwa ametawala Israeli kwa miaka [arobaini],
9135  1KI 11:24  Rezoni alijikusanyia wanaume naye akawa mkuu wa jeshi dogo, Daudi ali[owapiga wanaume wa Soba. Wale wanume Rezoni walienda Dameski kuishi huko, na Rezoni aliitawala Dameski.
24041  MAT 24:15  Kwa hiyo, mtakapoona chukizo la uharibifu, lililosemwa na nabii Danieli limesimama mahali patakatifu [asomaye na afahamu],
27545  ACT 15:34  [ Lakini ilionekana vyema Sila kubaki huko ]