23535 | MAT 11:7 | Pindi watu hawa walipoondoka, Yesu alianza kusema na umati juu ya Yohana, “Ni nini mlikwenda kuona katika jangwa __tete likitikiswa na upepo? |
23536 | MAT 11:8 | Lakini nini mlikwenda kuona__mtu aliyevaa mavazi mololo? Hakika, wale wavaao mavazi mololo hukaa katika nyumba za wafalme. |
23705 | MAT 15:3 | Yesu akawajibu na kuwaambia, “Nanyi__kwa nini mnaihalifu sheria ya Bwana kwa ajili ya mapokeo yenu? |
23712 | MAT 15:10 | Ndipo akawaita makutano na kuwaambia,” Sikilizeni na mfahamu__ |
25550 | LUK 12:22 | Yesu akawaambia wanafunzi wake, Kwa hiyo nawaambia msihofu juu ya maisha yenu__ya kuwa mtakula nini au juu ya miili yenu __ya kuwa mtavaa nini |
25561 | LUK 12:33 | Uzeni mali zenu na mkawape maskini, mjifanyie mifuko isiyoishiwa__hazina ya mbinguni isiyokoma, sehemu ambapo wezi hawatakaribia wala nondo haitaweza kuharibu. |
27220 | ACT 7:35 | Huyu Musa ambaye waliyemkataa, wakati waliposema, 'nani kakufanya kuwa mtawala na mwamuzi wetu?'_ alikuwa ndiye ambaye Mungu alimtuma awe mtawala na mkombozi. Mungu alimtuma kwa mkono wa malaika ambaye alimtokea Musa kichakani. |