Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   “    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

3  GEN 1:3  Mungu akasema, na kuwe nuru,” na kulikuwa na nuru.
5  GEN 1:5  Mungu akaiita nuru mchana” na giza akaliita usiku.” Ikawa jioni na asubuhi, siku ya kwanza.
6  GEN 1:6  Mungu akasema, na kuwe na anga kati ya maji, na ligawe maji na maji.”
8  GEN 1:8  Mungu akaita anga mbingu.” Ikawa jioni na asubuhi siku ya pili.
9  GEN 1:9  Mungu akasema, maji yaliyo chini ya mbingu yakusanyike pamoja mahali pamoja, na ardhi kavu ionekane.” Ikawa hivyo.
10  GEN 1:10  Mungu aliita ardhi kavu nchi,” na maji yaliyo kusanyika akayaita bahari.” Akaona kuwa ni vyema.
14  GEN 1:14  Mungu akasema, kuwe na mianga katika anga kutenganisha mchana na usiku. Na ziwe kama ishara, kwa majira, kwa siku na miaka.
20  GEN 1:20  Mungu akasema, maji yajae idadi kubwa ya viumbe hai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.”
22  GEN 1:22  Mungu akavibariki, akisema, zaeni na muongezeke, na mjae majini katika bahari. Ndege waongezeke juu nchi.”
24  GEN 1:24  Mungu akasema, nchi na itoe viumbe hai, kila kiumbe kwa aina yake, mnyama wa kufugwa, vitu vitambaavyo, na wanyama wa nchi, kila kitu kwa jinsi yake.” Ikawa hivyo.
26  GEN 1:26  Mung akasema, na tumfanye mtu katika mfano wetu, wa kufanana na sisi. Wawe na mamlaka juu ya samaki wa bahari, juu ya ndege wa angani, juu ya wanyama wa kufuga, juu ya nchi yote, na juu ya kila kitu kitambaacho kinacho tambaa juu ya nchi.”
28  GEN 1:28  Mungu akawabariki na akawaambia, zaeni na kuongezeka. Jazeni nchi, na muitawale. Muwe na mamlaka juu ya samaki wa baharini, juu ya ndege wa angani, na juu ya kila kiumbe hai kiendacho juu ya nchi,”
29  GEN 1:29  Mungu akasema, tazama, nimewapeni kila mmea uzaao mbegu ambao uko juu ya nchi, na kila mti wenye tunda ambalo lina mbegu ndani yake. Vitakuwa ni chakula kwenu.
47  GEN 2:16  Yahwe Mungu alimuagiza mtu akisema, kutoka kwenye kila mti bustanini waweza kula kwa uhuru.
49  GEN 2:18  Kisha Yahwe Mungu akasema, siyo jambo jema kwamba mtu huyu lazima awe pekeyake. Nitamfanyia msaidizi anaye mfaa.”
54  GEN 2:23  Mwanaume akasema, kwa sasa, huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu. ataitwa 'mwanamke,' kwa sababu ametwaliwa katika mwanaume.
57  GEN 3:1  Sasa nyoka alikuwa mwerevu kuliko myama mwingine yeyote wa kondeni ambaye Yahwe Mungu alikuwa amemuumba. Akamwambia mwanamke, Je ni kweli Mungu amesema, 'Msile matunda kutoka kwenye mti wowote bustanini'?”
58  GEN 3:2  Mwanamke akamwambia nyoka, Twaweza kula tunda kutoka kwenye miti ya bustani,
60  GEN 3:4  Nyoka akamwambia mwanamke, hakika hamtakufa.
65  GEN 3:9  Yahwe Mungu akamuita mwanaume na kumwambia, uko wapi?”
66  GEN 3:10  Mwanaume akasema, nilikusikia bustanini, na nkaogopa, kwa sababu nilikuwa uchi. kwa hiyo nikajificha.”
67  GEN 3:11  Mungu akasema, Ni nani alikwambia kuwa ulikuwa uchi? Je umekula kutoka mti ambao nilikuagiza usile matunda yake?”
68  GEN 3:12  Mwanaume akasema, Mwanamke uliyenipa kuwa na mimi, alinipatia tunda kutoka kwenye mti, na nikala.”
69  GEN 3:13  Yahwe Mungu akamwambia mwanamke, Nini hiki ulichofanya?” mwanamke akasema, nyoka alinidanganya, na nikala.”
70  GEN 3:14  Yahwe Mungu akamwambia nyoka, kwa sababu umefanya jambo hili, umelaaniwa wewe mwenyewe miongoni mwa wanyama wote wa kufugwa na wanyama wote wa mwituni. Itakuwa kwa tumbo lako utakwenda, na mavumbi utakula kwa siku zote za maisha yako.
73  GEN 3:17  Kwa Adam akasema, kwa sababu umesikiliza sauti ya mke wako, na umekula kutoka katika mti, ambao nilikuagiza, nikisema, usile matunda yake', ardhi imelaaniwa kwa sababu yako; kupitia kazi yenye maumivu utakula matunda ya ardhi kwa siku zote za maisha yako.
78  GEN 3:22  Yahwe Mungu akasema, sasa mtu huyu amekuwa kama mmoja wetu, ajuaye mema na mabaya. Kwa hiyo sasa hataruhusiwa kugusa kwa mkono wake, na kuchukua tunda la mti wa uzima, na kula akaishi tena milele.”
81  GEN 4:1  Mwanume akalala na Hawa mke wake. Akabeba mimba na akamzaa Kaini. Akasema, nimezaa mwanaume kwa msaada wa Yahwe.”
86  GEN 4:6  Yahwe akamwambia Kaini, kwa nini umekasirika na kwa nini uso wako umekunjamana?
88  GEN 4:8  Kaini akamwambia Habili ndugu yake. Hata wakati walipokuwa shambani, Kaini aliinuka dhidi ya Habili ndugu yake na akamuua. (Katika tafsiri za kale zinasema, Kaini alimwambia Habili ndugu yake, twende mashambani.” Na wakati walipokuwa shambani, Kaini alimuinukia Habili ndugu yake na kumuua).
89  GEN 4:9  Kisha Yahwe akamuuliza Kaini, Ndugu yako Habili yuko wapi?” Akasema, sijui. Je mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”
90  GEN 4:10  Yahwe akasema, umefanya nini? damu ya ndugu yako inaniita mimi kutokea ardhini.
93  GEN 4:13  Kaini akamwambia Yahwe, Adhabu yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu wa kustahimili.
95  GEN 4:15  Yahwe akamwambia, ikiwa mtuyeyote atamuua Kaini, kisasi kitakuwa juu yake mara saba.” Kisha Yahwe akaweka alama juu ya Kaini, ili kwamba kama mtu awayeyote akimuona, mtu huyo asimshambulie.
105  GEN 4:25  Adam akamjua mke wake tena, na akazaa mtoto mwanaume. Akamuita jina lake Sethi na akasema, Mungu amenipatia mtoto mwingine wa kiume kwa nafasi ya Habili, kwa kuwa Kaini alimuuwa.”
135  GEN 5:29  Akamuita jina lake Nuhu, akisema, Huyu ndiye atatupatia pumziko kutoka katika kazi yetu na kutoka katika kazi ya taabu ya mikono yetu, ambayo lazima tuifanye kwa sababu ya ardhi ambayo Yahwe ameilaani.”
141  GEN 6:3  Yahwe akaema, roho yangu haitasalia kwa mwanadamu milele, kwa kuwa wao ni nyama. Wataishi miaka 120.”
145  GEN 6:7  Kwa hiyo Yahwe akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu ambaye nimemuumba katika uso wa nchi; mwanadamu na wanyama wakubwa, na vitambaavyo na ndege wa angani, kwa kuwa nimehuzunika kuwa nimeviumba.”
151  GEN 6:13  Mungu akamwambia Nuhu, Nimeona kuwa sasa niwakati wa mwisho kwa wote wenye mwili, kwa kuwa inchi imejaa ghasia kutokana na wao. Hakika, nitawaharibu wao pamoja na nchi.
161  GEN 7:1  Yahwe akamwambia Nuhu, Njoo, wewe na nyumba yako wote, katika safina, kwa kuwa nimeona kuwa wewe ni mwenye haki mbele yangu katika kizazi hiki.
200  GEN 8:16  Toka nje ya safina, wewe, mke wako, wanao wa kiume, na wake wa wanao pamoja nawe.
205  GEN 8:21  Yahwe akanusa harufu nzuri ya kuridhisha na akasema moyoni mwake, Sita laani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, ingawa nia za mioyo yao ni mbaya tokea utoto. Wala sita haribu kilakitu chenye uhai, kama nilivyo fanya.
207  GEN 9:1  Kisha Mungu akambariki Nuhu na wanawe, na kuwaambia, Zaeni, mkaongezeke, na muijaze nchi.
215  GEN 9:9  Kwa ajili yangu, sikiliza! Ninakwenda kulithibitisha agano langu pamoja nawe na uzao wenu baada yenu,
218  GEN 9:12  Mungu akasema, na hii ndiyo ishara ya agano ambalo ninafanya kati yangu na ninyi pamoja na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, kwa vizazi vyote vya baadaye:
223  GEN 9:17  Kisha Mungu akamwambia Nuhu, Hii ni ishara ya agano ambalo nimelithibitisha kati yangu na wenye mwili wote ambao wako juu ya nchi.”
231  GEN 9:25  Hivyo akasema, Alaaniwe Kanaani. Na awe mtumishi kwa watumishi wa ndugu zake.”
244  GEN 10:9  Alikuwa mwindaji mkuu mbele ya Yahwe. Hii ndiyo sababu hunenwa, Kama Nimrod mwindaji mkuu mbele za Yahwe.”
270  GEN 11:3  Wakasemezana, Haya njoni, tufanye matofari na tuyachome kikamilifu.” Walikuwa na matofari badala ya mawe na lami kama chokaa.
271  GEN 11:4  Wakasema, njoni, na tujenge mji sisi wenyewe na mnara ambao kilele chake kitafika angani, na tujifanyie jina. Kama hatutafanya, basi tutatawanyika katika uso wa nchi yote.”
273  GEN 11:6  Yahwe akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja na lugha moja, na wameanza kufanya hivi! Hivikaribuni halitashindikana jambo watakalo kusudia kulifanya.
300  GEN 12:1  Kisha Yahwe akamwambia Abram, Nenda utoke katika nchi yako, na toka kwa ndugu zako, na kwa jamaa za baba yako, uende katika nchi nitakayo kuonesha.
306  GEN 12:7  Yahwe akamtokea Abram, na kusema, Nitawapa uzao wako nchi hii.” Kwa hiyo Abram akamjengea madhabahu, Yahwe ambaye alimtokea.
310  GEN 12:11  Wakati alipokaribia kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, tazama, najua kuwa wewe ni mwanamke mzuri.
317  GEN 12:18  Farao akamwita Abram na kusema, Nini hiki ambacho umenifanyia? Kwa nini hukuniambia kuwa alikuwa mke wako?
327  GEN 13:8  Kwa hiyo Abram akamwambia Lutu, Pasiwe na ugomvi kati yako na mimi, na kati ya wachunga wanyama wako na wachunga wanyama wangu; licha ya hayo sisi ni familia.
333  GEN 13:14  Yahwe akamwambia Abram baada ya Lutu kuondoka kwake, Angalia kuanzia mahali ulipo simama hadi kaskazini, kusini, mashariki, na magharibi.
356  GEN 14:19  Alimbariki akisema, Abarikiwea Abram na Mungu aliye juu sana, muumba wa mbingu na nchi.
358  GEN 14:21  Mfalme wa Sodama akamwambia Abram, Nipatie watu, na ujichukulie wewe mwenyewe mali.”
359  GEN 14:22  Abram akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua juu mkono wangu kwa Yahwe, Mungu aliye juu sana, muumbaji wa mbingu na nchi,
362  GEN 15:1  Baada ya mabo haya neno la Yahwe likamjia Abram katika maono, likisema, Usiogope, Abram! mimi ni ngao yako na thawabu yako kubwa sana.”
363  GEN 15:2  Abram akasema, Bwana Yahwe, utanipatia nini, kwa kuwa naenda bila mtoto, na mrithi wa nyumba yangu ni Eliezeri wa Dameski?”
364  GEN 15:3  Abram akasema, Kwakuwa hujanipatia uzao, tazama, mwangalizi wa nyumba yangu ndiye mrithi wangu.”
365  GEN 15:4  Kisha, tazama, neno la Yahwe likaja kwake, kusema, Mtu huyu hatakuwa mrithi wako; isipokuwa atakaye toka katika mwili wako ndiye atakuwa mrithi wako.”
369  GEN 15:8  Akasema, Bwana Yahwe, nitajua je kuwa nitairithi?”
370  GEN 15:9  Kisha akamwambia, Nipatie ndama wa umri wa miaka mitatu, mbuzi mke wa umri wa miaka mitatu, na kondoo mume wa umri wa miaka mitatu, na njiwa na mwana njiwa.”
374  GEN 15:13  Kisha Yahwe akamwambia Abram, Ujuwe kwa hakika kwamba uzao wako watakuwa wageni katika nchi ambayo si ya kwao, na watatumikishwa na kuteswa kwa miaka mia nne.
379  GEN 15:18  Siku hiyo Yahwe akafanya agano na Abram, akisema, Ninatoa nchi hii kwa uzao wako, kutoka mto wa Misri hadi kwenye mto mkuu, Frati -
384  GEN 16:2  Kwa hiyo Sarai akamwambia Abram, Tazama, Yahwe hajanifanya mimi kuwa na watoto. Nenda na ulale na mtumishi wangu. Ili kwamba niweze kupata watoto kupitia yeye.” Abram akasikiliza sauti ya Sarai.
387  GEN 16:5  Kisha Sarai akamwambia Abram, Jambo hili baya kwangu ni kwa sababu yako. Nilimtoa mtumishi wangu wa kike katika kumbatio lako. Na alipoona kuwa amebeba mimba, nilidharaulika machoni pake. Na sasa acha Yahwe aamuwe kati yangu na wewe.”
388  GEN 16:6  Lakini Abram akamwambia Sarai, Tazama, hapa, mtumishi wako yuko katika uwezo wako, fanya unachofikiri ni kizuri sana kwake.” Kwa hiyo Sarai akakabiliana naye kwa ukatili, na akatoroka.
391  GEN 16:9  Malaika wa Yahwe akamwambia, Rudi kwa bibi yako, na unyenyekee chini ya mamlaka yake.”
392  GEN 16:10  Kisha Malaika wa Yahwe akamwambia, Nitazidisha uzao wako maradufu, kiasi kwamba watakuwa wengi wasioweza kuhesabika.”
393  GEN 16:11  Malaika wa Yahwe pia akamwambia, Tazama, wewe unamimba, na utazaa mtoto kiume, na utamwita jina lake Ishmaeli, kwasabab Yahwe amesikia mateso yako.
395  GEN 16:13  Kisha akamwita jina hili Yahwe aliye zungumza naye, Wewe ni Mungu unionaye mimi,” kwa kuwa alisema, je ninaendelea kweli kuona, hata baada ya kuwa ameniona?”
399  GEN 17:1  Wakati Abram alipokuwa na umri wa miaka tisini na tisa, Yahwe alimtokea Abram na akamwambia, Mimi ni Mungu wa uwezo. Uende mbele yangu, na uwe mkamilifu.
402  GEN 17:4  Mimi, tazama, agano langu liko nawe. Utakuwa baba wa mataifa mengi.
407  GEN 17:9  Kisha Mungu akamwambia Abraham, nawe lazima ulishike agano langu, wewe pamoja na uzao wako baada yako kwa vizazi vyao.
413  GEN 17:15  Mungu akamwambia Abraham, kwa habari ya Sarai mkeo, usimuite tena Sarai. Badala yake jina lake litakuwa Sara.
416  GEN 17:18  Abraham akamwambia Mungu, Lau Ishmaeli angeweza kuishi kabla yako!”
428  GEN 18:3  Akasema, Bwana, kama nimepata upendelea machoni pako, nakuomba usinipite na kuniacha mtumishi wako.
430  GEN 18:5  Nami acha nilete chakula kidogo, ili kwamba mjiburudishe wenyewe. Ndipo baadae mwaweza kwenda zenu, kwa kuwa mmekuja kwa mtumishi wenu.” Nao wakasema, Fanya kama ulivyo sema.”
431  GEN 18:6  Kisha Abraham akaenda upesi hemani kwa Sara, na akasema, Harakisha, chukua vipimo vitatu vya unga safi, uukande, na fanya mkate.”
434  GEN 18:9  Wakamwambia, Mke wako Sara yuko wapi?” akajibu. pale hemani.”
435  GEN 18:10  akasema, Hakika nitarejea kwako majira ya machipuko, na tazama Sara mkeo atakuwa na mtoto wa kiume.” Sara alikuwa akisikiliza mlangoni pa hema iliyokuwa nyuma yake.
437  GEN 18:12  Kwa hiyo Sara akajicheka mwenyewe, akijisemesha mwenyewe, baada ya kuwa nimechakaa na bwana wangu ni mzee, je ni tapata furaha hii?”
438  GEN 18:13  Yahwe akamwambia Abraham, Kwa nini Sara amecheka na kusema, Je ni kweli nitazaa mtoto, nikiwa mzee'?
440  GEN 18:15  Kisha Sara akakataa na kusema, sikucheka,” kwa kuwa aliogopa. Yahwe akasema, hapana ulicheka.”
445  GEN 18:20  Kisha Yahwe akasema, Kwa sababu kilio cha Sodoma na Gomora ni kikuu, na kwa kuwa dhambi yao ni kubwa,
448  GEN 18:23  Kisha Abraham alikaribia na kusema, Je utawafutilia mbali watakatifu pamoja na waovu?
451  GEN 18:26  Yahwe akasema, Katika Sodoma nikipata watakatifu hamsini kwenye mji, nita uacha mji wote kwa ajili ya hao.”
452  GEN 18:27  Abraham akajibu na kusema, Tazama, Nimeshika kusema na Bwana wangu, hata kama mimi ni mavumbi na majivu!
453  GEN 18:28  Itakuwaje ikiwa kuna watano pungufu katika idadi ya hao watakatifu hamsini? Je utaangamiza mji wote kwa upungufu wa hao watano?” Akasema, Sitaangamiza, ikiwa nitapata watu arobaini na watano pale.”
454  GEN 18:29  Akaongea naye tena, na kusema, Itakuwaje ikiwa arobaini watapatikana pale?” Akajibu, Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini.”
456  GEN 18:31  Akasema, Tazama, Nimeshika kusema na Bwana wangu! Pengine ishirini watapatikana pale.” Akajibu, Sitaharibu kwa ajili ya hao ishirini.”
457  GEN 18:32  Akasema, Tafadhali usikasirike, Bwana, na nitasema jambo hili kwa mara ya mwisho. Huenda kumi wakaonekana kule.” Na akasema, sitaangamiza kwa ajili ya hao kumi.”
460  GEN 19:2  Akasema, Tafadhari Bwana zangu, nawasihi mgeuke mwende kwenye nyumba ya mtumishi wenu, mlale pale usiku na muoshe miguu yenu. Kisha muamke asubuhi na mapema muondoke.” Nao wakasema, Hapana, usiku tutalala mjini.”
463  GEN 19:5  Wakamwita Lutu, na kumwambia, Wale wanaume walioingia kwako usiku wakowapi? watoe hapa nje waje kwetu, ili tuweze kulala nao.”
465  GEN 19:7  Akasema, Nawasihi, ndugu zangu, msitende uovu.
467  GEN 19:9  Wakasema, Ondoka hapa!” Wakasema pia, huyu alikuja kukaa hapa kama mgeni, na sasa amekuwa mwamuzi! Sasa tutakushugulilia vibaya wewe kuliko wao.” Wakamsonga sana huyo mtu, huyo Lutu, na wakakaribia kuvunja mlango.