Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   7    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

113  GEN 5:7  Baada ya kumzaa Enoshi, akaishi miaka 807 na akawazaa wana wengi waume na wake.
131  GEN 5:25  Wakati Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, alimzaa Lameki.
132  GEN 5:26  Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782. Akawazaa wana wengi wa ume na wake.
137  GEN 5:31  Lameki aliishi miaka 777. Kisha akafariki.
288  GEN 11:21  Reu aliishi miaka207 baada ya kumzaa Seregu. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.
666  GEN 25:7  Hizi ndizo zilikuwa siku za miaka ya uhai wake Abraham alizoishi, miaka 175.
676  GEN 25:17  Hii ndiyo ilikuwa miaka ya Ishimaeli, miaka 137: akapumua pumzi yake ya mwisho na akafa, na akakusanywa pamoja na watu wake.
1672  EXO 6:16  Hapa yameorodheshwa majina ya wana wa Lawi, pamoja na uzo wao. Walikuwa ni Gerishoni, Kohathi, na Merari. Lawi aliishi mpaka alipo kuwa na miaka 137.
1676  EXO 6:20  Amramu alimuoa Yokebedi, dada yake baba yake. Alimzalia Aruni na Musa. Amramu aliishi miaka 137 na akafa.
2658  EXO 38:24  Dhahabu yote iliyotumiwa kwa ajili ya kazi katika kazi yote ya mahali patakatifu ikawa jumla ya dhahabu ya toleo la kutikisa, + talanta ishirini na tisa na shekeli 730 kulingana na shekeli+ ya mahali patakatifu.
2659  EXO 38:25  Nayo fedha ya wale walioandikishwa kati ya kusanyiko ilikuwa talanta mia moja na shekeli 1, 775 kulingana na shekeli ya mahali patakatifu,
2662  EXO 38:28  Na kutokana na zile shekeli 1, 775 alifanyiza vibanio vya nguzo na kuvifunika sehemu yake ya juu na kuviunganisha pamoja.
3632  NUM 1:27  walihesabiwa wanume 74, 000 kutoka kabila la Yuda.
3636  NUM 1:31  Walihesabiwa wanume 57, 400 kutoka kabila la Zabuloni.
3663  NUM 2:4  Idadi ya watu wa Yuda ni 74, 600.
3667  NUM 2:8  Idadi ya kikosi chake ni 57, 400.
3685  NUM 2:26  Hesabu ya kikosi hiki ni 62, 700.
3690  NUM 2:31  Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Dani ni 157, 600. Hawa watakuwa wa mwisho kuondoka kambini, wakifuata bango lao.
3715  NUM 3:22  Wanaume wote wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa na kufikia idadi ya 7, 500.
3736  NUM 3:43  Aliwahesabu wazaliwa wote wa kwanza kwa mjina, wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi. Alihesabu wanaume 22, 273.
3739  NUM 3:46  Unikusanyie shekeli tano za wokovu kwa kila hao 273 za hao wazaliwa wa kwanza wa Israeli za hao wanaozidi idadi ya Walawi.
3780  NUM 4:36  Waliwahesabu wanaume 2, 750 kwa kufuata koo zao.
4498  NUM 26:7  Hizi ndizo zilikuwa koo za uzao wa Reubeni, ambzo idadi yao ilikuwa wanaume 43, 730.
4513  NUM 26:22  Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda, idadi yao ilikuwa wanaume 76, 500.
4525  NUM 26:34  Hizi ndizo koo za Manase, idadi yao ilikuwa wanaume 52, 700.
4542  NUM 26:51  Hii ndiyo iliyokuwa jumla kuu ya wanaume wa Israeli: 601, 730.
4698  NUM 31:32  Sasa zile nyara zilizokuwa zimebaki ambazo wanajeshi walikuwa wameteka zilikuwa kondoo 675, 000,
4702  NUM 31:36  Ile hesabu ya nusu iliyokuwa imetunzwa kwa ajili ya wanajeshi ilikuwa kondoo 337, 000. Ile sehemu ya
4703  NUM 31:37  BWANA ya kondoo ilikuwa kondoo 675.
4709  NUM 31:43  ile nusu y a watu ilikuwa kondoo 337, 500,
4718  NUM 31:52  Vitu vyote vya sadaka ya dhahabu ambavyo walimpa BWANA- sadaka toka kwa makamanda wa maelfu na kutoka kwa makepteni wa mamia - vilikuwa na uzito wa shekeli 16, 750.
4851  NUM 35:4  Hayo malisho yatakayozunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataanzia kwenye maboma kwa ukubwa wa “mita 457kila upande.
6747  JDG 8:26  Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilikuwa shekeli 1, 700 za dhahabu. Nyara hizi zilikuwa ni pamoja na mapambo ya makoja, vidani, nguo ya rangi ya zambarau waliyovaa na wafalme wa Midiani, na zaidi ya minyororo iliyokuwa karibu na shingo za ngamia zao.
8216  2SA 8:4  Daudi aliteka magari 1, 700 ya farasi na askari ishirini elfu waendao kwa miguu. Daudi akawakata miguu farasi wa magari, lakini akahifadhi wakutosha magari mia moja.
8901  1KI 6:2  Hekalu ambalo mfalme Sulemani alimjengea BWANA lilikuwa na urefu wa mita 27, na upana wa mita 9, na kimo cha mita 13. 5.
8947  1KI 7:10  Msingi ulijengwa kwa mawe makubwa sana na ya thamani yenye urefu wa mita 3. 7 na mengine mita 4. 8.
8960  1KI 7:23  Tena akafanya bahari ya kusubu ya, yenye mita 2. 3 kutoka ukingo hadi ukingo, kimo chake kilikuwa mita 4. 6, mziingo wake ulikuwa mita 13. 7.
10550  1CH 7:11  Wote hawa waikuwa wana wa Yediaeli. Waliorodheshwa katika ukoo orodha ilikuwa 17, 200 viongozi na wanaume wa vita imara kwa kazi ya jeshi.
10632  1CH 9:13  Ndugu zao, ambao walikuwa viongozi katika koo za mababu zao, idadi ya 1, 760. Walikuwa ni wanaume wenye uwezo sana wa kufanya kazi katika nyumba ya Mungu.
10750  1CH 12:26  Kutoka kwa Wasimeoni walikuwa 7, 100 wanaume wa mapambano.
10752  1CH 12:28  Yehoiada alikuwa kiongozi wa uzao wa Aruni, na kwa yeye walikuwa 3, 700.
10944  1CH 21:5  Yoabu akatoa taarifa ya idadi ya jumla ya wanaume wa mapambano kwa Daudi. Kulikuwa ndani ya Israeli wanaume 1, 100, 000 walio beba upanga. Yuda peke yake kulikuwa na wanajeshi 470, 000.
11112  1CH 26:30  Wa uzao wa Hebroni, Hashabia na kaka zake, wanaume wenye uwezo 1, 700, walikuwa wahusika wa kazi ya Yahweh na kazi ya mfalme. Walikuwa upande wa mgharibi mwa Yordani.
11114  1CH 26:32  Yerija alikuwa na ndugu 2, 700, walio kuwa viongozi wenye uwezo katika familia. Daudi aliwafanya waangalizi wa makabila ya Rubeni na Gadi, na nusu kabila la Manase, kwa kila jambo linalo muhusu Mungu, na kwa mambo ya mfalme.
11539  2CH 17:11  Baadhi ya Wafilisti wakamletea Yehoshafati zawadi, fedha kama kodi. Waarabu pia wakamletea makundi, 7, 700 kondoo waume, na mbuzi 7, 770.
11750  2CH 26:13  Chini ya mkono wao kulikuwa na jeshi la watu 307, 500 ambao walifanya vita kwa nguvu ili kumsaidia mfalme idi ya maadui.
12035  EZR 2:3  Waporoshi: 2, 172
12036  EZR 2:4  Wana wa Shefatia: 372
12037  EZR 2:5  Wana wa Ara: 775.
12041  EZR 2:9  Wana wa Zakai: 760.
12065  EZR 2:33  Wanaume wa Lodi, na Hadidi, na Ono: 725.
12068  EZR 2:36  Wana wa Yedaya kuhani wa nyumba ya Yoshua: 973.
12070  EZR 2:38  Wana wa Pashuri: 1, 247.
12071  EZR 2:39  Wana wa Harimu: 1, 017.
12097  EZR 2:65  ukiondoa watumishi na wasaidizi (wao walikuwa 7, 337) waimbaji Hekaluni wanaume na wanawake (mia mbili)
12098  EZR 2:66  Farasi wao: 736, Nyumbu wao: 245.
12099  EZR 2:67  Ngamia wao: 435. Punda wao: 6, 720.
12433  NEH 7:8  Wana wa Paroshi, 2, 172.
12434  NEH 7:9  Wana wa Shefatia, 372.
12439  NEH 7:14  Wana wa Zatu, 845. Wana wa Zakai, 760.
12443  NEH 7:18  Wana wa Adonikamu, 667.
12444  NEH 7:19  Wana wa Bigwai, 2, 067.
12454  NEH 7:29  Watu wa Kiriath Yearimu, Kefira, na Beerothi, 743.
12462  NEH 7:37  Watu wa Lodi, Hadidi, na Ono, 721.
12464  NEH 7:39  makuhani Wana wa Yedaya (wa nyumba ya Yeshua), 973.
12466  NEH 7:41  Wana wa Pashuri, 1, 247.
12467  NEH 7:42  Wana wa Harimu, 1, 017.
12468  NEH 7:43  Walawi, wana wa Yeshua, wa Kadmieli, wa Binui, wa Hodavia, 74.
12492  NEH 7:67  isipokuwa watumishi wao wa kiume na watumishi wao wa kike, ambao walikuwa 7, 337. Walikuwa na wanaume na wanawake wa kuimba 245.
12493  NEH 7:68  Farasi zao zilikuwa 736 kwa idadi, nyumbu zao, 245, ngamia zao, 435, na punda zao, 6, 720.
12611  NEH 11:19  Walinzi wa malango Akubu, Talmoni, na washirika wao, ambao waliolinda milango, wanaume 172.
12707  EST 1:1  Katika siku za utawala wa Ahasuero (huyu ni Ahasuero aliyetawala toka India hadi Ethiopa, zaidi ya majimbo 127),
12830  EST 8:9  Kisha waandishi wa mfalme wakakusanyika kwa wakati huo huo katika mwezi wa tatu, ambao ni mwezi wa Sivani, siku ya ishirini ya mwezi wa tatu. Mbiu iliandikwa yote ambayo Modekai aliyaamuru kwa Wayahudi watendewe na wenyeji wa kila jimbo. Mbiu iliandikwa kwa maakida magavana na wakuu wa majimbo yote yaliyokuwa toka India hadi Ethiopia, majimbo 127 kila jimbo iliandikwa kuwa maandishi yake, na kila watu kwa lugha yao, na kwa Wayahudi kwa maandishi na lugha yao.
12868  EST 9:30  Barua zilipelekwa katika majimbo 127 ya mfalme Ahusiero, zikiwatakia Wayahudi wote amani na kweli.
20375  JER 52:30  Katika mwaka wa ishirini na tatu wa Nebukadneza, Nebuzaradani, jemedari wa walinzi wa mfalme, aliwahamisha Wayudea 745. Jumla ya watu walioamishwa walikuwa 4, 600.
26450  JHN 7:53  (Zingatia: Baadhi ya maneno ya Yohana 7: 53 - 8: 11 hayamo katika nakala bora za kale). Kisha kila mtu alienda nyumbani kwake.
26451  JHN 8:1  (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Yesu alienda mlima wa Mizeituni.
26454  JHN 8:4  (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Ndipo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, mwanamke huyu amekamatwa katika uzinzi, katika kitendo kabisa.
26457  JHN 8:7  (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Walipoendelea kumwuliza, alisimama na kuwaambia, “Yeye asiyekuwa na dhambi miongoni mwenu, awe wa kwanza kumponda mawe.”
26459  JHN 8:9  (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Waliposikia hayo, waliondoka mmoja baada ya mwingine, kuanzia aliye mzee. Mwishowe Yesu aliachwa peke yake, pamoja na mwanamke aliyekuwa katikati yao.
27960  ACT 27:37  Tulikuwa watu 276 ndani ya meli.