Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   9    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

111  GEN 5:5  Adamu akaishi miaka 930 kisha akafariki.
114  GEN 5:8  Sethi akaishi miaka 912 kisha akafariki.
117  GEN 5:11  Enoshi aliishi miaka 905 na kisha akafariki.
120  GEN 5:14  Kenani aliishi miaka 910, na kisha akafariki.
123  GEN 5:17  Mahalaleli aliishi miaka 895 na kisha akafariki.
126  GEN 5:20  Yaredi aliishi miaka 962 na kisha akafariki.
133  GEN 5:27  Methusela aliishi miaka 969. Kisha akafariki.
136  GEN 5:30  Lameki aliishi miaka 595 baada ya kumzaa baba wa Nuhu. Akazaa wanawengi wa ume na wake.
286  GEN 11:19  Pelegi aliishi miaka 209 baada ya kumza a Reu. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.
292  GEN 11:25  Nahori aliishi mika 119 baada ya kumzaa Tera. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.
3628  NUM 1:23  Walihesabu wanaume 59, 300 kutoka kabila la Simeoni.
3672  NUM 2:13  Waliohesabiwa kwenye kikosi chake ni 59, 300.
7696  1SA 18:18  Daudi akamwambia Sauli, “Mimi ni nani, na maisha yangu yana nini, au hata maisha ya familia ya baba yangu katika Israeli, kiasi cha kuwa mkwe wa mfalme?” 1 Samweli 18-19-19
8901  1KI 6:2  Hekalu ambalo mfalme Sulemani alimjengea BWANA lilikuwa na urefu wa mita 27, na upana wa mita 9, na kimo cha mita 13. 5.
8902  1KI 6:3  Na ukumbi uliokuwa mbele ya hekalu ulikuwa na urefu wa mita 9 na upana wa mita 4. 5 sawa na upana wa sehemu kuu ya hekalu.
8915  1KI 6:16  Alijenga mita 9 ndani ya hekalu kwa mbao za miberoshi kutoka sakafuni hadi juu. Hiki ni chumba cha ndani, cha patakatifu sana.
8919  1KI 6:20  Kile chumba cha ndani kilikuwa na upana wa mita 9, na kimo cha mita 9. Sulemani alizifunika kuta kwa dhabahu na madhabahu aliifunika kwa mbao za mierezi.
10625  1CH 9:6  Kati ya uzao wa Zera alikuwa Yeuli. Uzao wao ulikuwa na namba 690.
10628  1CH 9:9  Ndugu zao waliandika kwenye orodha ya namba 956 ya vizazi vyao. Wanaume wote hawa walikuwa viongozi wa koo za mababu zao.
12040  EZR 2:8  Wana wa Zatu: 945.
12068  EZR 2:36  Wana wa Yedaya kuhani wa nyumba ya Yoshua: 973.
12074  EZR 2:42  Walinzi: wana wa Shalumu, Ateri na, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai: 139 jumla.
12446  NEH 7:21  Wana wa Ateri, wa Hezekia, 98.
12450  NEH 7:25  Wana wa Gibeoni, 95.
12463  NEH 7:38  Watu wa Senaa, 3, 930.
12464  NEH 7:39  makuhani Wana wa Yedaya (wa nyumba ya Yeshua), 973.
12485  NEH 7:60  Watumishi wote wa hekalu, na wana wa watumishi wa Sulemani, walikuwa 392.
12600  NEH 11:8  Na baada yake, Gabai na Salai, watu 928.
20603  EZK 4:5  Mimi mwenyewe nakuagiza kwako siku moja kuwakilisha kila mwaka wa adhabu yao: siku 390! Katika njia hii, utachukua dhambi ya nyumba ya Israeli.
20607  EZK 4:9  Chukua ngano kwa ajili yako, shayiri, dengu, mtama, kusemethi; viweke kwenye chombo kimoja na tengeneza mkate kwa ajili yako kulingana na hesabu ya siku ambazo utakazo lala katika ya upande wako. Kwa siku 390 utaula.
22161  DAN 12:11  Katika muda ule ambapo sadaka ya kawaida ya kuteketezwa itakapokuwa imeondolewa na chukizo la uharibifu liliosababisha ukiwa limesimamishwa, kutakuwa na siku zipatazo 1, 290.
24951  MRK 16:9  (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Mapema katika siku ya kwanza ya juma, baada ya kufufuka, alimtokea kwanza Mariamu Magdalena, ambaye kutoka kwake alimtoa mapepo saba.
24954  MRK 16:12  (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Baada ya hayo, akajitokeza katika namna tofauti kwa watu wengine wawili, wakati walipokuwa wakitembea kutoka katika nchi.
24956  MRK 16:14  (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Yesu baadaye akajitokeza kwa wale kumi na mmoja walipokuwa wameegama katika meza, na akawakemea kwa kutokuamini kwao na ugumu wa mioyo, kwa sababu hawakuwaamini wale waliomwona baada ya kufufuka kutoka kwa wafu.
24959  MRK 16:17  (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Ishara hizi zitaambatana na wote waaminio. Kwa jina langu watatoa pepo. Watasema kwa lugha mpya.