885 | GEN 31:11 | Malaika wa Mungu akaniambia katika ndoto, 'Yakobo.' Nikasema, 'Mimi hapa.' |
11567 | 2CH 18:20 | Kisha roho ikaja moja kwa maja na kusimama mbele ya Yahwe na kusema, 'Nitamrubuni.' Yahwe akamwambia, 'Kivipi?' |
19174 | JER 6:16 | BWANA asema hivi, `Simama kwenye njia panda utazame; uliza nzile njia za zamani, 'Je, hii tabia njema iko wapi?' Kisha endelea nayo na tafuta mahali pa kupumzika. Lakini watu wanasema, 'Hatutaenda.' |
19175 | JER 6:17 | Niliweka walinzi juu yenu ili wasikilize tarumbeta. Lakini walisema, 'Hatutasikiliza.' |
19544 | JER 22:21 | Nilinena nawe wakati ulioko salama, lakini ukasema, 'Sitasikia.' Hii ilikuwa desturi yako tangu ujana wako, kwani hukusikiliza sauti yangu. |
23330 | MAT 5:27 | Mmesikia imenenwa kuwa, 'Usizini.' |
24993 | LUK 1:31 | Na tazama, utabeba mimba katika tumbo lako na utazaa mwana. Nawe utamwita jina lake 'Yesu.' |
26034 | LUK 23:30 | Ndipo watakapo anza kuiambia milima, 'Tuangukieni,' na vilima, 'Mtufunike.' |