Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   Word'Word'Word    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

8666  2SA 23:10  Elieza akasimama na kuwapiga Wafilisti mpaka mkono wake ukachoka, mpaka mkono wake ukang'ang'ania mpini wa upanga wake. Siku hiyo Yahwe akatoa ushindi mkuu. Jeshi likarejea kwa ajili ya kuteka tu nyara za waliouawa na Elieza.
13599  JOB 31:7  Kama hatua zangu zimegeuka kutoka katika njia sahihi, kama moyo wangu umetembea kwa kufuata macho yangu, na kama doa lolote la uchafu limeng'ang'ania katika mikono yangu,