Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   'Word:    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

11607  2CH 20:15  Yahazieli akasema, “Sikilizeni, Yuda wote na ninyi wakaaji wa Yerusalemu, na Mfalme Yehoshafati. Hivi ndivyo Yahwe asemavyao kwenu, 'Msiogope: msivunjike moyo kwa sababu ya hili jeshsi kubwa, kwa maana vita siyo yenu, bali ni ya Mungu.