54 | GEN 2:23 | Mwanaume akasema, “kwa sasa, huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu. ataitwa 'mwanamke,' kwa sababu ametwaliwa katika mwanaume. |
18630 | ISA 44:27 | awezae kusema kwa bahari kubwa, 'Kauka,' na yanakauka mda huo.' |
21969 | DAN 5:26 | Maana yake ni: 'Mene,' 'Mungu ameuhesabu ufalme wako na ameukomesha.' |
23997 | MAT 23:10 | Wala msije kuitwa 'walimu,' kwa kuwa mnaye Mwalimu mmoja tu, yaani Kristo. |
25724 | LUK 17:4 | Kama akikukosea mara saba kwa siku moja na mara saba kwa siku moja akaja kwako akisema, 'ninatubu,' msamehe!” |
26034 | LUK 23:30 | Ndipo watakapo anza kuiambia milima, 'Tuangukieni,' na vilima, 'Mtufunike.' |
26151 | JHN 1:38 | Tena Yesu aligeuka na kuwaona wanafunzi wale wakimfuata, na akawambia, “Mnataka nini?” Wakajibu, “Rabbi, (maana yake 'mwalimu,' unaishi wapi?” |
26505 | JHN 8:55 | Ninyi hamjamjua yeye, lakini mimi namjua yeye. Ikiwa nitasema, 'simjui,' nitakuwa kama nyinyi, muongo. Hata hivyo, ninamjua na maneno yake nimeyashika. |
26550 | JHN 9:41 | Yesu akawaambia, “Kama mngelikuwa vipofu, msingelikuwa na dhambi. Hata hivyo, sasa mnasema, 'Tunaona,' dhambi yenu inakaa.” |
26586 | JHN 10:36 | mnasema juu ya yule ambaye Baba alimtoa na kumtuma katika ulimwengu, 'Unakufuru,' kwa sababu nilisema, 'mimi ni Mwana wa Mungu'? |