Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   Word-Word-Word    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

21451  EZK 36:23  Kwa kuwa nitalifanya jina langu kuu kuwa takatifu, mlilolitukana miongoni mwa mataifa-katikati ya mataifa, mmelitukana. Kisha mataifa watajua kwamba mimi ni Yahwe-hivi ndivyo asemavyo Bwana Yahwe-asemavyo-wakati mtakapoona kwamba mimi ni mtakatifu.