2660 | EXO 38:26 | ile nusu shekeli kwa ajili ya mtu mmoja ilikuwa nusu shekeli kulingana na shekeli ya mahali patakatifu,. Kwa kila mtu aliyekuwa akipita kuingia upande wa wale waliokuwa wameandikishwa kuanzia miaka ishirini na zaidi, jumla ya watu 603, 550. |
4389 | NUM 22:13 | Balaamu akaamka asubuhi na kuwaambia wale viongozi wa Balaki,. “Rudini nchini kwenu kwa sababu BWANA amenikataza kuambatana nanyi.” |
6880 | JDG 12:9 | Alikuwa na wana thelathini. Aliwapeleka binti thelathini katika ndoa, naye akaleta binti thelathini kutoka nje kwa ajili ya wanawe,. Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka saba. |
18004 | ISA 14:6 | inayowapeleka watu kwenye laana na mapigo yasiyopimika, wanoongoza taifa kwa hasira,. |
18836 | ISA 57:1 | Wenye waki watatoweka, lakini hakuna mtu atakayelitia maanani, na watu wa agano la kuaminika wamekusanyika mbali, lakini hakuna mtu anayefahamu kuwa wenye haki wamekusanyika mbali na maovu,. |
19746 | JER 30:10 | Kwa hiyo wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope—hili ni tangazo la Yahwe—na usikate tamaa, Israeli. Maana ona, niko karibu kukurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya utumwa,. Yakobo atarudi na kuwa katika amani; ataokolewa, na hapatakuwa na hofu zaidi. |