Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   “Word”.    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

24574  MRK 8:5  Akawauliza, “mna vipande vingapi vya mikate?” Wakasema, “Saba”.
24650  MRK 9:43  Kama mkono wako ukikukosesha ukate. Ni heri kuingia katika uzima bila mkono kuliko kuingia kwenye hukumu ukiwa na mikono yote. Katika moto “usiozimika”.
25277  LUK 7:13  Alipomwona, Bwana akamsogelea kwa huruma kubwa sana juu yake na akamwambia, “Usilie”.