7439 | 1SA 10:19 | Lakini leo mmemkataa Mungu wenu, awaokoaye kutoka kwenye majanga na mahangaiko; na mmemwambia, ' Tuwekee mfalme juu yetu,; Sasa jihudhurisheni wenyewe mbele za BWANA kwa kabila na jamaa zenu.” |
18530 | ISA 41:9 | wewe ambaye ninakurudisha kutoka miisho ya nchi, na ambaye niliyekuita kutoka sehemu ya mbali, na kwako niliyekuambia, 'Wewe ni mtumishi wangu,; 'Nimekuchagua wewe na sijakukataa. |
18626 | ISA 44:23 | Imba, enyi mbingu, maana Yahwe ameyafanya haya; piga kelele enyi mkaao katika nchi. Pazeni sauti enyi mlima milima, enyi misitu yenye miti ndani yake, ewe mlima, ewe msitu wenye kila aina ya mti ndani yak,; Maana Yahwe amemkomboa Yakobo, na nitakuonyesha utukufu wake katika Israeli. |