Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   (Word;    February 25, 2023 at 01:16    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

24891  MRK 14:68  Lakini alikataa, akisema, “Sijui wala sielewi kuhusu kile unachosema!” Kisha alitoka akaenda nje uani. (Zingatia; Mstari huu, “Na jogoo akawika” haumo kwenye nakala za kale).