14071 | PSA 11:1 | Ni kwako Yahweh ninapata usalama; ni kwa namna gani utasema na mimi, “Ruka kama ndege hadi mlimani”? |
17033 | PRO 20:9 | Nani anayeweza kusema, “Nimeuweka safi moyo wangu; nipo huru na dhambi zangu”? |
22817 | HAB 1:17 | Kwa sababu hiyo watamaliza nyavu zao za kuvulia na kuendelea kuchicha mataifa, bila kuhisi huruma”? |
24640 | MRK 9:33 | Ndipo walifika Karperinaumu. Wakati akiwa ndani ya nyumba aliwauliza, ''Mlikuwa mnajadili nini njiani”? |
25217 | LUK 6:2 | Lakini baadhi ya Mafarisayo wakasema, “Kwa nini mnafanya kitu ambacho si halali kisheria kukifanya siku ya sabato”? |
26135 | JHN 1:22 | Kisha wakamwambia, “Wewe ni nani, ili kwamba tuwape jibu waliotutuma”? Wajishuhudiaje wewe mwenyewe?” |
26331 | JHN 6:5 | Yesu alipoinua macho yake juu na kuona umati mkubwa unakuja kwake, akamwambia Filipo, “Tutakwenda wapi kununua mikate ili hawa waweze kula”? |
27186 | ACT 7:1 | Kuhani mkuu akasema,”mambo haya ni ya kweli”? |
28067 | ROM 3:8 | Kwa nini tusiseme, kama tulivyosingiziwa na kama wengine wanavyothibitisha kwamba tunasema, “Tufanye uovu, ili mema yaje”? Hukumu juu yao ni ya haki. |
29582 | COL 2:21 | “Msishike, wala kuonja, wala kugusa”? |
30043 | HEB 1:13 | Lakini ni kwa malaika yupi Mungu alisema wakati wowote, “Keti mkono wangu wa kulia mpaka nitakapowafanya adui zako kuwa kiti cha miguu yako”? |