23719 | MAT 15:17 | Ninyi hamuoni kuwa kila kiendacho mdomoni hupitia tumboni na kwenda chooni?. |
24405 | MRK 4:13 | Na akasema kwao, “Je hamuelewi mfano huu? Mtawezaje kuelewa mifano mingine?. |
24422 | MRK 4:30 | Na akasema, “tuufananishe ufalme wa Mungu na kitu gani, au tutumie mfano gani kuuelezea?. |
25486 | LUK 11:12 | Au akimuomba yai atampa nge badala yake?. |
25554 | LUK 12:26 | Ikiwa basi hamuwezi kufanya hicho kitu kidogo kilicho rahisi kwa nini basi kusumbukia hayo mengine?. |
27237 | ACT 7:52 | Ni nabii gani katika manabii ambaye baba zenu hawakumtesa?. Waliwaua manabii wote waliotokea kabla ya ujio wa Mmoja mwenye Haki,'na sasa mmekuwa wasaliti na wauaji wake pia, |