|
5457 | Tusamehe watu wako Israeli, Yahwe, ambao umewakomboa, na usiweke hatia juu ya umwagaji damu usio na kosa miongoni mwa watu wako Israeli. ’ Kisha umwagaji damu utasamehewa kwao. | |
5613 | Alaaniwe mwanamume asiyethibitisha maneno ya sheria hii, ili kwamba ayatii. ’ Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’. |