Wildebeest analysis examples for:   swh-swh1850   5    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

30739  3JN 1:14  Natumaini kukuona karibuni na hapo tutazungumza ana kwa ana. (G1-15) Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.