Wildebeest analysis examples for:   swh-swh1850   Word!,    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

25272  LUK 7:8  Mimi pia ni mtu niliye chini ya mamlaka, na ninao askari chini yangu. Namwambia mmoja, Nenda!, naye huenda; namwambia mwingine, Njoo! naye huja; na nikimwambia mtumishi wangu, Fanya hiki!, hufanya.”