Wildebeest analysis examples for:   swh-swh1850   Word”.    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

27978  ACT 28:11  Baada ya miezi mitatu tulianza tena safari yetu kwa meli moja ya Aleksandria iitwayo “Miungu Pacha”. Meli hiyo ilikuwa imetia nanga kisiwani wakati wote wa baridi.