Wildebeest analysis examples for:   swh-swh1850   Word”;    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

30133  HEB 7:2  naye Abrahamu akampa sehemu ya kumi ya vitu vyote alivyokuwa navyo. (Maana ya kwanza ya jina hili Melkisedeki ni “Mfalme wa Uadilifu”; na, kwa vile yeye alikuwa mfalme wa Salemu, jina lake pia lina maana ya “Mfalme wa Amani.”)