Wildebeest analysis examples for:   swh-swh1850   “Word?    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

26648  JHN 11:56  Basi, wakawa wanamtafuta Yesu; nao walipokusanyika pamoja Hekaluni wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”
26668  JHN 12:19  Basi, Mafarisayo wakaambiana, “Mnaona? Hatuwezi kufanya chochote! Tazameni, ulimwengu wote unamfuata.”