Wildebeest analysis examples for:   swh-swh1850   Word?”)    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

26987  JHN 21:20  Hapo Petro akageuka, akamwona yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda, anafuata (Huyu mwanafunzi ndiye yule ambaye wakati wa chakula cha jioni, alikaa karibu sana na Yesu na kumwuliza: “Bwana ni nani atakayekusaliti?”)