23364 | MAT 6:13 | Usitutie majaribuni, bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amen].’ |
23790 | MAT 17:21 | Lakini hali kama hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga.]” |
23807 | MAT 18:11 | Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kuokoa kile kilichopotea.] |
24001 | MAT 23:14 | Ole wenu walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Mnakula katika nyumba za wajane, nanyi kwa kujifanya kuwa wema, mnasali sala ndefu. Kwa hiyo hukumu yenu itakuwa kuu zaidi.] |
24233 | MAT 27:35 | Walipokwisha kumsulubisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. [Hili lilifanyika ili litimie lile neno lililonenwa na nabii, “Waligawa nguo zangu miongoni mwao na vazi langu wakalipigia kura.”] |
24548 | MRK 7:16 | Kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia na asikie.]” |
24651 | MRK 9:44 | Mahali ambako funza wake hawafi wala moto wake hauzimiki.] |
24653 | MRK 9:46 | Mahali ambako funza wake hawafi wala moto hauzimiki.] |
24735 | MRK 11:26 | Lakini kama ninyi msiposamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.]” |
24923 | MRK 15:28 | Nayo maandiko yakatimizwa, yale yasemayo, “Alihesabiwa pamoja na watenda dhambi.]” |
24962 | MRK 16:20 | Kisha wanafunzi wake wakatoka, wakahubiri kila mahali, naye Bwana akatenda kazi pamoja nao na kulithibitisha neno lake kwa ishara zilizofuatana nalo.] |
25756 | LUK 17:36 | Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]” |
26021 | LUK 23:17 | Kwa kuwa ilikuwa lazima kuwafungulia mfungwa mmoja wakati wa Sikukuu.] |
26283 | JHN 5:4 | Kwa maana malaika alikuwa akishuka wakati fulani, akayatibua maji. Yule aliyekuwa wa kwanza kuingia ndani baada ya maji kutibuliwa alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao]. |
26461 | JHN 8:11 | Yule mwanamke akajibu, “Hakuna hata mmoja Bwana.” Yesu akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako, kuanzia sasa usitende dhambi tena.”] |
27282 | ACT 8:37 | Filipo akamwambia, “Kama ukiamini kwa moyo wako wote unaweza kubatizwa.” Akajibu, “Naamini kuwa Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu.”] |
27545 | ACT 15:34 | Lakini Sila bado akaendelea kukaa huko.] |
27845 | ACT 24:8 | akiwaamuru washtaki wake waje mbele yako: ili] kwa kumchunguza wewe mwenyewe unaweza kujua kutoka kwake mambo yote tunayomshtaki kwayo.” |
27996 | ACT 28:29 | Naye akiisha kusema maneno haya, Wayahudi wakaondoka wakiwa na hoja nyingi miongoni mwao.] |
28428 | ROM 16:24 | Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amen.] |
30699 | 1JN 5:8 | Pia wako mashahidi watatu duniani]: Roho, Maji na Damu; hawa watatu wanakubaliana katika umoja. |