Wildebeest analysis examples for:   swh-swhonen   0    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

109  GEN 5:3  Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, alikuwa na mwana aliyekuwa na sura yake, mwenye kufanana naye. Akamwita Sethi.
110  GEN 5:4  Baada ya Sethi kuzaliwa, Adamu aliishi miaka 800, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
111  GEN 5:5  Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa.
112  GEN 5:6  Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.
113  GEN 5:7  Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
117  GEN 5:11  Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.
119  GEN 5:13  Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
120  GEN 5:14  Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.
122  GEN 5:16  Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
125  GEN 5:19  Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
128  GEN 5:22  Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
138  GEN 5:32  Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
141  GEN 6:3  Ndipo Bwana akasema, “Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye ni wa kufa, siku zake zitakuwa miaka 120.”
153  GEN 6:15  Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa 300, upana wake dhiraa hamsini na kimo chake dhiraa thelathini.
166  GEN 7:6  Noa alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia.
171  GEN 7:11  Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Noa, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.
184  GEN 7:24  Maji yakaifunika dunia kwa siku 150.
187  GEN 8:3  Maji yakaendelea kupungua taratibu katika nchi. Kunako mwisho wa siku ya 150, maji yalikuwa yamepungua,
197  GEN 8:13  Katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza ya mwaka 601, wa kuishi kwake Noa, maji yalikuwa yamekauka duniani. Kisha Noa akafungua mlango wa safina akaona ya kuwa uso wa ardhi ulikuwa umekauka.
234  GEN 9:28  Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350.
235  GEN 9:29  Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.
277  GEN 11:10  Hivi ndivyo vizazi vya Shemu. Miaka miwili baada ya gharika, Shemu alipokuwa na miaka 100, akamzaa Arfaksadi.
278  GEN 11:11  Baada ya kumzaa Arfaksadi, Shemu aliishi miaka 500, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
280  GEN 11:13  Baada ya Arfaksadi kumzaa Shela, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
282  GEN 11:15  Shela baada ya kumzaa Eberi, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
284  GEN 11:17  Baada ya Eberi kumzaa Pelegi, aliishi miaka 430, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
286  GEN 11:19  Baada ya Pelegi kumzaa Reu, aliishi miaka 209, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
288  GEN 11:21  Baada ya Reu kumzaa Serugi, aliishi miaka 207, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
290  GEN 11:23  Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
299  GEN 11:32  Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205.
519  GEN 21:5  Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa.
587  GEN 23:15  “Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha, lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.”
588  GEN 23:16  Abrahamu akakubali masharti ya Efroni, akampimia ile fedha aliyotaja masikioni mwa Wahiti: Shekeli 400 za fedha kulingana na viwango vya uzito vilivyokuwa vikitumika wakati huo na wafanyabiashara.
935  GEN 32:7  Wajumbe waliporudi kwa Yakobo, wakamwambia, “Tulikwenda kuonana na ndugu yako Esau, naye sasa anakuja kukulaki akifuatana na wanaume 400.”
943  GEN 32:15  Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200.
962  GEN 33:1  Yakobo akainua macho akamwona Esau akija na watu wake 400, kwa hiyo akawagawanya watoto kati ya Lea, Raheli na wale watumishi wake wawili wa kike.
1040  GEN 35:28  Isaki aliishi miaka 180.
1381  GEN 45:22  Kila mmoja mavazi mapya, lakini Benyamini akampa shekeli 300 za fedha, na jozi tano za nguo.
1430  GEN 47:9  Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.”
1529  GEN 50:22  Yosefu akakaa katika nchi ya Misri, yeye pamoja na jamaa yote ya baba yake. Akaishi miaka 110,
1533  GEN 50:26  Kwa hiyo Yosefu akafa akiwa na umri wa miaka 110. Baada ya kumtia dawa ili asioze, akawekwa kwenye jeneza huko Misri.
1854  EXO 12:37  Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi. Walikuwepo wanaume wapatao 600,000 waendao kwa miguu bila kuhesabu wanawake na watoto.
1857  EXO 12:40  Waisraeli walikuwa wameishi Misri kwa muda wa miaka 430.
1858  EXO 12:41  Ilikuwa ni siku ya mwisho ya hiyo miaka 430, vikosi vyote vya Bwana vilipokuwa vimeondoka Misri.
2406  EXO 30:23  “Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 za manemane ya maji, shekeli 250 za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
2407  EXO 30:24  shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini ya mafuta ya zeituni.
2467  EXO 32:28  Walawi wakafanya kama Mose alivyoamuru, siku ile wakafa watu wapatao 3,000.
2658  EXO 38:24  Jumla ya dhahabu iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa kwa ajili ya kazi ya mahali patakatifu ilikuwa na uzito wa talanta 29 na shekeli 730, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu.
2660  EXO 38:26  Kila mtu alitoa beka moja, ambayo ni sawa na nusu shekeli ya fedha, kwa kazi ya mahali patakatifu, kutoka kwa kila mtu aliyekuwa amehesabiwa mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi, ambao jumla yao walikuwa wanaume 603,550.
2661  EXO 38:27  Talanta hizo 100 za fedha zilitumika kusubu vile vitako mia moja kwa ajili ya mahali patakatifu na pazia: vitako mia moja kwa talanta mia, yaani, talanta moja kwa kila kitako.
2663  EXO 38:29  Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400.
3626  NUM 1:21  Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500.
3628  NUM 1:23  Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300.
3630  NUM 1:25  Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu 45,650.
3632  NUM 1:27  Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600.
3634  NUM 1:29  Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400.
3636  NUM 1:31  Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400.
3638  NUM 1:33  Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500.
3640  NUM 1:35  Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200.
3642  NUM 1:37  Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400.
3644  NUM 1:39  Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700.
3646  NUM 1:41  Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500.
3648  NUM 1:43  Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400.
3651  NUM 1:46  Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550.
3663  NUM 2:4  Kundi lake lina watu 74,600.
3665  NUM 2:6  Kundi lake lina watu 54,400.
3667  NUM 2:8  Kundi lake lina watu 57,400.
3668  NUM 2:9  Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni 186,400. Wao watatangulia kuondoka.
3670  NUM 2:11  Kundi lake lina watu 46,500.
3672  NUM 2:13  Kundi lake lina watu 59,300.
3674  NUM 2:15  Kundi lake lina watu 45,650.
3675  NUM 2:16  Wanaume wote walio katika kambi ya Reubeni, kufuatana na makundi yao, ni 151,450. Nao watakuwa nafasi ya pili kuondoka.
3678  NUM 2:19  Kundi lake lina watu 40,500.
3680  NUM 2:21  Kundi lake lina watu 32,200.
3682  NUM 2:23  Kundi lake lina watu 35,400.
3683  NUM 2:24  Wanaume wote walio katika kambi ya Efraimu kufuatana na makundi yao ni 108,100. Nao watakuwa nafasi ya tatu kuondoka.
3685  NUM 2:26  Kundi lake lina watu 62,700.
3687  NUM 2:28  Kundi lake lina watu 41,500.
3689  NUM 2:30  Kundi lake lina watu 53,400.
3690  NUM 2:31  Wanaume wote walio katika kambi ya Dani ni 157,600. Wao watakuwa wa mwisho kuondoka chini ya alama yao.
3691  NUM 2:32  Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote walio kambini kwa makundi yao ni watu 603,550.
3715  NUM 3:22  Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500.
3721  NUM 3:28  Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu.
3727  NUM 3:34  Hesabu ya waume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 6,200.
3732  NUM 3:39  Jumla ya hesabu ya Walawi waliohesabiwa na Mose na Aroni kwa amri ya Bwana, kufuatana na koo, pamoja na kila mume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walikuwa 22,000.
3780  NUM 4:36  waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750.
3784  NUM 4:40  waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630.
3788  NUM 4:44  waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 3,200.
3792  NUM 4:48  walikuwa watu 8,580.
3864  NUM 7:13  Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
3870  NUM 7:19  Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;