119 | GEN 5:13 | Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. |
280 | GEN 11:13 | Baada ya Arfaksadi kumzaa Shela, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
282 | GEN 11:15 | Shela baada ya kumzaa Eberi, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
284 | GEN 11:17 | Baada ya Eberi kumzaa Pelegi, aliishi miaka 430, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. |
587 | GEN 23:15 | “Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha, lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.” |
588 | GEN 23:16 | Abrahamu akakubali masharti ya Efroni, akampimia ile fedha aliyotaja masikioni mwa Wahiti: Shekeli 400 za fedha kulingana na viwango vya uzito vilivyokuwa vikitumika wakati huo na wafanyabiashara. |
935 | GEN 32:7 | Wajumbe waliporudi kwa Yakobo, wakamwambia, “Tulikwenda kuonana na ndugu yako Esau, naye sasa anakuja kukulaki akifuatana na wanaume 400.” |
962 | GEN 33:1 | Yakobo akainua macho akamwona Esau akija na watu wake 400, kwa hiyo akawagawanya watoto kati ya Lea, Raheli na wale watumishi wake wawili wa kike. |
1449 | GEN 47:28 | Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147. |
1857 | EXO 12:40 | Waisraeli walikuwa wameishi Misri kwa muda wa miaka 430. |
1858 | EXO 12:41 | Ilikuwa ni siku ya mwisho ya hiyo miaka 430, vikosi vyote vya Bwana vilipokuwa vimeondoka Misri. |
2663 | EXO 38:29 | Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400. |
3626 | NUM 1:21 | Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500. |
3630 | NUM 1:25 | Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu 45,650. |
3632 | NUM 1:27 | Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600. |
3634 | NUM 1:29 | Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400. |
3636 | NUM 1:31 | Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400. |
3638 | NUM 1:33 | Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500. |
3642 | NUM 1:37 | Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400. |
3646 | NUM 1:41 | Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500. |
3648 | NUM 1:43 | Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400. |
3663 | NUM 2:4 | Kundi lake lina watu 74,600. |
3665 | NUM 2:6 | Kundi lake lina watu 54,400. |
3667 | NUM 2:8 | Kundi lake lina watu 57,400. |
3668 | NUM 2:9 | Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni 186,400. Wao watatangulia kuondoka. |
3670 | NUM 2:11 | Kundi lake lina watu 46,500. |
3674 | NUM 2:15 | Kundi lake lina watu 45,650. |
3675 | NUM 2:16 | Wanaume wote walio katika kambi ya Reubeni, kufuatana na makundi yao, ni 151,450. Nao watakuwa nafasi ya pili kuondoka. |
3678 | NUM 2:19 | Kundi lake lina watu 40,500. |
3682 | NUM 2:23 | Kundi lake lina watu 35,400. |
3687 | NUM 2:28 | Kundi lake lina watu 41,500. |
3689 | NUM 2:30 | Kundi lake lina watu 53,400. |
3936 | NUM 7:85 | Kila sahani ya fedha ilikuwa na uzito wa shekeli 130, na kila bakuli la fedha la kunyunyizia lilikuwa na uzito wa shekeli sabini. Masinia yote kumi na mawili yalikuwa na uzito wa shekeli 2,400kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. |
4244 | NUM 17:14 | Lakini walikufa watu 14,700 kutokana na tauni hiyo, licha ya wale waliokuwa wamekufa kwa sababu ya Kora. |
4481 | NUM 25:9 | Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000. |
4498 | NUM 26:7 | Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa 43,730. |
4509 | NUM 26:18 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500. |
4516 | NUM 26:25 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Isakari; wale waliohesabiwa walikuwa 64,300. |
4532 | NUM 26:41 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600. |
4534 | NUM 26:43 | Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400. |
4538 | NUM 26:47 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa 53,400. |
4541 | NUM 26:50 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400. |
4851 | NUM 35:4 | “Maeneo ya malisho kuzunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataenea mita 450 kutoka kwenye ukuta wa miji. |
5925 | JOS 4:13 | Kiasi cha watu 40,000 waliojiandaa kwa vita walivuka mbele za Bwana hadi nchi tambarare za Yeriko kwa ajili ya vita. |
6633 | JDG 5:8 | Walipochagua miungu migeni, vita vilikuja katika malango ya mji, hapakuonekana ngao wala mkuki miongoni mwa mashujaa 40,000 katika Israeli. |
6877 | JDG 12:6 | walimwambia, “Sawa, sema ‘Shibolethi.’ ” Iwapo alitamka, “Sibolethi,” kwa sababu hakuweza kutamka hilo neno sawasawa, walimkamata na kumuua hapo kwenye vivuko vya Yordani. Waefraimu 42,000 waliuawa wakati huo. |
7058 | JDG 20:2 | Viongozi wote wa kabila za Israeli wakakaa kwenye nafasi zao katika kusanyiko la watu wa Mungu, askari 400,000 waendao kwa miguu wenye panga. |
7073 | JDG 20:17 | Nao watu wa Israeli, mbali na hao wa Benyamini, wakakusanya watu waume 400,000, wenye kutumia panga, wote hao walikuwa mashujaa. |
7301 | 1SA 4:2 | Wafilisti wakapanga safu za majeshi yao kupambana na Israeli, wakati vita vilipoenea, Israeli wakashindwa na Wafilisti, ambao waliwaua askari wa Israeli wapatao 4,000 kwenye uwanja wa vita. |
7792 | 1SA 22:2 | Wale wote waliokuwa katika dhiki au waliokuwa na madeni au wale ambao hawakuridhika wakamkusanyikia Daudi, naye akawa kiongozi wao. Watu wapatao 400 walikuwa pamoja naye. |
7991 | 1SA 30:10 | kwa kuwa watu 200 walikuwa wamechoka sana kuweza kuvuka hilo bonde. Lakini Daudi pamoja na watu 400 wakaendelea kufuatia. |
7998 | 1SA 30:17 | Daudi akapigana nao kuanzia machweo ya jua hadi kesho yake jioni, na hakuna yeyote miongoni mwao aliyetoroka, isipokuwa vijana wanaume 400 waliopanda ngamia na kutoroka. |
8261 | 2SA 10:18 | Lakini Waaramu wakakimbia mbele ya Israeli, naye Daudi akawaua waendesha magari mia saba na askari wao wa miguu 40,000. Vilevile alimpiga Shobaki jemadari wa jeshi lao, naye akafa huko. |
8873 | 1KI 5:6 | Solomoni alikuwa na mabanda 4,000 ya magari ya vita, na farasi 12,000. |
8900 | 1KI 6:1 | Katika mwaka wa 480 baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Solomoni katika Israeli, katika mwezi wa Zivu, ambao ndio mwezi wa pili, alianza kujenga Hekalu la Bwana. |
8979 | 1KI 7:42 | makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); |
9082 | 1KI 9:28 | Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420 za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni. |
9108 | 1KI 10:26 | Solomoni akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu. |
9913 | 2KI 14:13 | Yehoashi mfalme wa Israeli akamteka Amazia mfalme wa Yuda, mwana wa Yoashi, mwana wa Ahazia, huko Beth-Shemeshi. Kisha Yehoashi akaenda Yerusalemu na kuubomoa ukuta wa Yerusalemu kuanzia Lango la Efraimu hadi Lango la Pembeni, sehemu yenye urefu wa kama dhiraa 400. |
10450 | 1CH 5:18 | Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walikuwa na watu mashujaa 44,760 waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya vita: watu wenye nguvu, hodari wa kutumia ngao na upanga, mashujaa wa kutumia upinde, waliokuwa tayari kwa ajili ya kazi hiyo. |
10546 | 1CH 7:7 | Wana wa Bela walikuwa: Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri; walikuwa viongozi wa jamaa zao; wote ni watano. Watu wapiganaji walioorodheshwa katika ukoo wao walikuwa 22,034. |
10751 | 1CH 12:27 | Watu wa Lawi walikuwa 4,600, |
10761 | 1CH 12:37 | Watu wa Asheri, askari 40,000 wenye uzoefu mkubwa waliondaliwa kwa ajili ya vita. |
10930 | 1CH 19:18 | Lakini Waaramu wakakimbia mbele ya Israeli, naye Daudi akawaua waendesha magari 7,000 na askari wao wa miguu 40,000. Pia akamuua Shofaki, jemadari wa jeshi lao. |
10944 | 1CH 21:5 | Yoabu akampa Daudi jumla ya idadi ya watu wanaoweza kupigana. Katika Israeli kulikuwa na watu 1,100,000 ambao wangeweza kutumia upanga na katika Yuda watu 470,000. |
10992 | 1CH 23:4 | Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi, |
10993 | 1CH 23:5 | na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu Bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.” |
11115 | 1CH 27:1 | Hii ndiyo orodha ya Waisraeli: viongozi wa jamaa, majemadari wa maelfu, majemadari wa mamia na maafisa wao, waliomtumikia mfalme kwa lolote lililohusu vikosi vya jeshi vilivyokuwa zamu mwezi baada ya mwezi katika mwaka mzima. Kila kikosi kimoja kilikuwa na watu 24,000. |
11116 | 1CH 27:2 | Msimamizi wa kikosi cha kwanza kwa mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu mwana wa Zabdieli. Kulikuwa na watu 24,000 katika kikosi chake. |
11118 | 1CH 27:4 | Msimamizi wa kikosi kwa mwezi wa pili alikuwa Dodai Mwahohi. Miklothi ndiye alikuwa kiongozi wa kikosi chake. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11119 | 1CH 27:5 | Jemadari wa kikosi cha tatu kwa mwezi wa tatu alikuwa Benaya mwana wa kuhani Yehoyada. Ndiye alikuwa mkuu wa kikosi chake kilichokuwa na watu 24,000. |
11121 | 1CH 27:7 | Jemadari wa nne kwa mwezi wa nne alikuwa Asaheli nduguye Yoabu, mwanawe Zebadia ndiye aliingia mahali pake kwenye uongozi. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11122 | 1CH 27:8 | Jemadari wa kikosi cha tano kwa mwezi wa tano alikuwa Shamhuthi Mwizrahi. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11123 | 1CH 27:9 | Jemadari wa kikosi cha sita kwa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi Mtekoa. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11124 | 1CH 27:10 | Jemadari wa kikosi cha saba kwa mwezi wa saba alikuwa Helesi Mpeloni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11125 | 1CH 27:11 | Jemadari wa nane kwa mwezi wa nane, alikuwa Sibekai Mhushathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11126 | 1CH 27:12 | Jemadari wa tisa kwa mwezi wa tisa alikuwa Abiezeri Mwanathothi wa Wabenyamini. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11127 | 1CH 27:13 | Jemadari wa kumi kwa mwezi wa kumi alikuwa Maharai Mnetofathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11128 | 1CH 27:14 | Jemadari wa kumi na moja kwa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya Mpirathoni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11129 | 1CH 27:15 | Jemadari wa kumi na mbili kwa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heldai Mnetofathi kutoka jamaa ya Othnieli. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. |
11213 | 2CH 1:14 | Solomoni akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu. |
11264 | 2CH 4:13 | yale makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); |
11369 | 2CH 8:18 | Naye Hiramu alimpelekea meli zilizoongozwa na maafisa wake mwenyewe, watu waliokuwa na ujuzi wa baharini. Hawa watu pamoja na wale wa Solomoni wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri, wakaleta kutoka huko talanta 450 za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni. |
11394 | 2CH 9:25 | Solomoni alikuwa na mabanda 4,000 kwa ajili ya farasi na magari ya vita, farasi 12,000 ambao aliwaweka katika miji ya magari ya vita na katika Yerusalemu pamoja naye. |
11461 | 2CH 13:3 | Abiya aliingia vitani na jeshi la watu 400,000 wenye uwezo wa kupigana, naye Yeroboamu akapanga jeshi dhidi ya Abiya akiwa na jeshi la watu 800,000 wenye uwezo. |
11732 | 2CH 25:23 | Yehoashi mfalme wa Israeli akamteka Amazia mfalme wa Yuda, mwana wa Yoashi, mwana wa Ahazia, huko Beth-Shemeshi. Kisha Yehoashi akamleta Yerusalemu na kuubomoa ukuta wa Yerusalemu kuanzia lango la Efraimu hadi Lango la Pembeni, sehemu yenye urefu wa kama dhiraa 400. |
12031 | EZR 1:10 | mabakuli ya dhahabu yalikuwa 30 mabakuli ya fedha yanayofanana yalikuwa 410 vifaa vingine vilikuwa 1,000. |
12032 | EZR 1:11 | Kwa ujumla, kulikuwa na vyombo 5,400 vya dhahabu na vya fedha. Sheshbaza akavileta hivi vyote wakati watu walipotoka uhamishoni Babeli kwenda Yerusalemu. |
12039 | EZR 2:7 | wazao wa Elamu 1,254 |
12040 | EZR 2:8 | wazao wa Zatu 945 |
12042 | EZR 2:10 | wazao wa Bani 642 |
12047 | EZR 2:15 | wazao wa Adini 454 |
12056 | EZR 2:24 | watu wa Azmawethi 42 |
12057 | EZR 2:25 | wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743 |
12063 | EZR 2:31 | wazao wa Elamu ile ingine 1,254 |
12066 | EZR 2:34 | wazao wa Yeriko 345 |