Wildebeest analysis examples for:   swh-swhonen   8    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

110  GEN 5:4  Baada ya Sethi kuzaliwa, Adamu aliishi miaka 800, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
113  GEN 5:7  Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
116  GEN 5:10  Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
119  GEN 5:13  Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
122  GEN 5:16  Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
123  GEN 5:17  Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.
125  GEN 5:19  Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
131  GEN 5:25  Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.
132  GEN 5:26  Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
134  GEN 5:28  Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana.
351  GEN 14:14  Abramu alipopata habari kwamba jamaa yake amechukuliwa mateka, akawaita watu 318 wa nyumbani mwake waliokuwa wamefunzwa kupigana vita, wakawafuatilia hadi Dani.
1040  GEN 35:28  Isaki aliishi miaka 180.
3668  NUM 2:9  Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni 186,400. Wao watatangulia kuondoka.
3683  NUM 2:24  Wanaume wote walio katika kambi ya Efraimu kufuatana na makundi yao ni 108,100. Nao watakuwa nafasi ya tatu kuondoka.
3721  NUM 3:28  Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu.
3792  NUM 4:48  walikuwa watu 8,580.
7081  JDG 20:25  Wakati huu, Wabenyamini walipotoka Gibea ili kupigana nao, wakawaua watu Waisraeli 18,000, wote wakiwa wamejifunga panga.
7100  JDG 20:44  Wakaanguka Wabenyamini 18,000 ambao wote ni mashujaa.
8225  2SA 8:13  Naye Daudi akapata sifa baada ya kurudi kutoka kuwaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
8664  2SA 23:8  Haya ndiyo majina ya mashujaa wa Daudi: Yosheb-Bashebethi, Mtahkemoni, alikuwa kiongozi wa wale Watatu; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 800, ambao aliwaua katika pambano moja.
8704  2SA 24:9  Yoabu akatoa hesabu ya wapiganaji kwa mfalme: Katika Israeli kulikuwako watu 800,000 wenye uwezo wa kupigana, na katika Yuda watu 500,000.
8896  1KI 5:29  Solomoni alikuwa na wachukuzi wa mizigo 70,000 na wachonga mawe 80,000 huko vilimani,
8900  1KI 6:1  Katika mwaka wa 480 baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Solomoni katika Israeli, katika mwezi wa Zivu, ambao ndio mwezi wa pili, alianza kujenga Hekalu la Bwana.
9175  1KI 12:21  Ikawa Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akakusanya nyumba yote ya Yuda na kabila la Benyamini, wanaume wapiganaji 180,000, kufanya vita dhidi ya nyumba ya Israeli na kuurudisha tena ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Solomoni.
10100  2KI 19:35  Usiku ule, malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!
10544  1CH 7:5  Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000.
10749  1CH 12:25  watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita.
10755  1CH 12:31  Watu wa Efraimu, mashujaa hodari 20,800, watu waliokuwa maarufu katika koo zao.
10756  1CH 12:32  Watu wa nusu ya kabila la Manase, waliotajwa kwa majina ili waje kumweka Daudi kuwa mfalme, watu 18,000.
10760  1CH 12:36  Watu wa Dani 28,600 waliokuwa tayari kwa vita.
10805  1CH 15:9  Kutoka wazao wa Hebroni, Elieli kiongozi na ndugu zake 80.
10907  1CH 18:12  Abishai mwana wa Seruya akawaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
10991  1CH 23:3  Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa 38,000.
11058  1CH 25:7  Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Bwana. Idadi yao walikuwa 288.
11176  1CH 29:7  Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 na darkoni 10,000 za dhahabu, talanta 10,000 za fedha, talanta 18,000 za shaba na talanta 100,000 za chuma.
11218  2CH 2:1  Solomoni akaandika watu 70,000 kuwa wachukuzi wa mizigo, na watu 80,000 kuwa wachonga mawe vilimani, na watu 3,600 kuwa wasimamizi wao.
11234  2CH 2:17  Akawaweka watu 70,000 miongoni mwao kuwa wachukuzi wa mizigo, na 80,000 kuwa wachonga mawe vilimani, na 3,600 wakiwa wasimamizi juu yao ili wawahimize watu kufanya kazi.
11420  2CH 11:1  Ikawa Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akakusanya nyumba ya Yuda na ya Benyamini, wanaume wapiganaji 180,000, kufanya vita dhidi ya nyumba ya Israeli na kuurudisha tena ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Solomoni.
11461  2CH 13:3  Abiya aliingia vitani na jeshi la watu 400,000 wenye uwezo wa kupigana, naye Yeroboamu akapanga jeshi dhidi ya Abiya akiwa na jeshi la watu 800,000 wenye uwezo.
11488  2CH 14:7  Asa alikuwa na jeshi la watu 300,000 kutoka Yuda, wenye ngao kubwa na mikuki na jeshi la watu 280,000 kutoka Benyamini, wenye ngao ndogo na pinde. Watu hawa wote walikuwa wapiganaji mashujaa.
11543  2CH 17:15  aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita;
11546  2CH 17:18  aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita.
12038  EZR 2:6  wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,812
12048  EZR 2:16  wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98
12055  EZR 2:23  watu wa Anathothi 128
12073  EZR 2:41  Waimbaji: wazao wa Asafu 128
12214  EZR 8:8  wa wazao wa Shefatia, alikuwa Zebadia mwana wa Mikaeli na wanaume 80 pamoja naye;
12215  EZR 8:9  wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume 218 pamoja naye;
12217  EZR 8:11  wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume 28 pamoja naye;
12436  NEH 7:11  wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,818
12438  NEH 7:13  wazao wa Zatu 845
12440  NEH 7:15  wazao wa Binui 648
12441  NEH 7:16  wazao wa Bebai 628
12446  NEH 7:21  wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98
12447  NEH 7:22  wazao wa Hashumu 328
12451  NEH 7:26  watu wa Bethlehemu na Netofa 188
12452  NEH 7:27  watu wa Anathothi 128
12469  NEH 7:44  Waimbaji: wazao wa Asafu 148
12470  NEH 7:45  Mabawabu wa malango: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai 138
12598  NEH 11:6  Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa 468, watu wenye uwezo.
12600  NEH 11:8  na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.
12604  NEH 11:12  pamoja na wenzao waliofanya kazi hekaluni: watu 822. Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amsi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
12606  NEH 11:14  na wenzao waliokuwa wenye uwezo: watu 128. Afisa wao mkuu alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.
12610  NEH 11:18  Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284.
12710  EST 1:4  Kwa siku zote 180 mfalme alionyesha utajiri mwingi wa ufalme wake, fahari na utukufu wa enzi yake.
18458  ISA 37:36  Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!
20374  JER 52:29  katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Nebukadneza, watu 832 kutoka Yerusalemu;
21806  EZK 48:35  “Urefu wote kuzunguka utakuwa dhiraa 18,000. “Nalo jina la mji huo kuanzia wakati huo na kuendelea litakuwa: Bwana yupo hapa.”
25695  LUK 16:6  “Akajibu, ‘Galoni 800za mafuta ya mizeituni.’ “Msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati ya deni lako, ibadilishe upesi, uandike galoni 400.’
25696  LUK 16:7  “Kisha akamuuliza wa pili, ‘Wewe deni lako ni kiasi gani?’ “Akajibu, ‘Vipimo 1,000vya ngano.’ “Yule msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati yako, andika vipimo 800!’