Wildebeest analysis examples for:   swh-swhonen   Number.    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

129  GEN 5:23  Enoki aliishi jumla ya miaka 365.
184  GEN 7:24  Maji yakaifunika dunia kwa siku 150.
234  GEN 9:28  Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350.
299  GEN 11:32  Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205.
666  GEN 25:7  Kwa jumla, Abrahamu aliishi miaka 175.
676  GEN 25:17  Kwa jumla Ishmaeli aliishi miaka 137. Akapumua pumzi ya mwisho, akafa, naye akakusanywa pamoja na watu wake.
943  GEN 32:15  Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200.
1040  GEN 35:28  Isaki aliishi miaka 180.
1430  GEN 47:9  Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.”
1449  GEN 47:28  Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147.
1533  GEN 50:26  Kwa hiyo Yosefu akafa akiwa na umri wa miaka 110. Baada ya kumtia dawa ili asioze, akawekwa kwenye jeneza huko Misri.
1672  EXO 6:16  Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137.
1674  EXO 6:18  Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.
1676  EXO 6:20  Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137.
1857  EXO 12:40  Waisraeli walikuwa wameishi Misri kwa muda wa miaka 430.
3937  NUM 7:86  Sahani kumi na mbili za dhahabu zilizojazwa uvumba zilikuwa na uzito wa shekeli kumi kila moja, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. Kwa jumla, sahani za dhahabu zilikuwa na uzito wa shekeli 120.
4501  NUM 26:10  Ardhi ilifunua kinywa chake na kuwameza pamoja na Kora, ambaye wafuasi wake walikufa wakati moto ulipowateketeza wanaume 250. Nao walikuwa kama alama ya onyo.
4706  NUM 31:40  Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32.
4801  NUM 33:39  Aroni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123.
6555  JDG 2:8  Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa akiwa na umri wa miaka 110.
7502  1SA 13:15  Kisha Samweli akaondoka Gilgali, akapanda Gibea ya Benyamini, naye Sauli akawahesabu watu aliokuwa nao. Jumla yao walikuwa watu 600.
9111  1KI 10:29  Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha na farasi kwa shekeli 150. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
9426  1KI 20:15  Kwa hiyo Ahabu akawaita maafisa vijana majemadari wa majimbo, wanaume 232. Kisha akawakusanya Waisraeli wote waliobaki, jumla yao 7,000.
9913  2KI 14:13  Yehoashi mfalme wa Israeli akamteka Amazia mfalme wa Yuda, mwana wa Yoashi, mwana wa Ahazia, huko Beth-Shemeshi. Kisha Yehoashi akaenda Yerusalemu na kuubomoa ukuta wa Yerusalemu kuanzia Lango la Efraimu hadi Lango la Pembeni, sehemu yenye urefu wa kama dhiraa 400.
10619  1CH 8:40  Wana wa Ulamu walikuwa mashujaa hodari walioweza kutumia upinde. Alikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla yao 150. Hawa wote ndio walikuwa wazao wa Benyamini.
10625  1CH 9:6  Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690.
10628  1CH 9:9  Watu kutoka Benyamini kama walivyoorodheshwa katika koo zao jumla yao ni 956. Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao.
10641  1CH 9:22  Jumla ya waliochaguliwa kuwa mabawabu katika sakafu za kupuria nafaka walikuwa watu 212. Waliandikishwa kwa koo zao kwenye vijiji vyao. Mabawabu hawa waliwekwa katika nafasi zao za kuaminiwa na Daudi pamoja na mwonaji Samweli.
10802  1CH 15:6  Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake 220.
10803  1CH 15:7  Kutoka wazao wa Gershoni, Yoeli kiongozi na ndugu zake 130.
10804  1CH 15:8  Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200.
10805  1CH 15:9  Kutoka wazao wa Hebroni, Elieli kiongozi na ndugu zake 80.
10806  1CH 15:10  Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.
10899  1CH 18:4  Daudi akateka magari ya vita 1,000 miongoni mwa magari yake, waendesha hayo magari ya kukokotwa na farasi 7,000 na askari wa miguu 20,000. Daudi akakata mishipa ya miguu ya nyuma ya farasi wote wakokotao magari, ila akabakiza 100.
11058  1CH 25:7  Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Bwana. Idadi yao walikuwa 288.
11082  1CH 25:31  ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, 12.
11216  2CH 1:17  Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha, na farasi kwa shekeli 150. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
11697  2CH 24:15  Basi Yehoyada alikuwa mzee aliyeshiba siku wakati alipofariki. Alikufa akiwa na umri wa miaka 130.
11732  2CH 25:23  Yehoashi mfalme wa Israeli akamteka Amazia mfalme wa Yuda, mwana wa Yoashi, mwana wa Ahazia, huko Beth-Shemeshi. Kisha Yehoashi akamleta Yerusalemu na kuubomoa ukuta wa Yerusalemu kuanzia lango la Efraimu hadi Lango la Pembeni, sehemu yenye urefu wa kama dhiraa 400.
11828  2CH 29:32  Idadi ya sadaka za kuteketezwa zilizoletwa na kusanyiko zilikuwa mafahali sabini, kondoo dume 100 na wana-kondoo dume 200. Wote hawa walikuwa kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa kwa Bwana.
11979  2CH 35:8  Pia maafisa wake, wakatoa kwa hiari yao wakawapa watu, makuhani na Walawi. Hilkia, Zekaria na Yehieli, waliokuwa maafisa wakuu wa Hekalu la Mungu, wakawapa makuhani sadaka za Pasaka wana-kondoo na wana-mbuzi 2,600 na mafahali 300.
12097  EZR 2:65  tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200.
12492  NEH 7:67  tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245.
12600  NEH 11:8  na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.
12604  NEH 11:12  pamoja na wenzao waliofanya kazi hekaluni: watu 822. Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amsi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
12605  NEH 11:13  na wenzao, waliokuwa viongozi wa jamaa: watu 242. Amashisai mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri,
12606  NEH 11:14  na wenzao waliokuwa wenye uwezo: watu 128. Afisa wao mkuu alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.
12610  NEH 11:18  Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284.
12611  NEH 11:19  Mabawabu: Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: watu 172.
12844  EST 9:6  Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume 500.
26978  JHN 21:11  Simoni Petro akapanda kwenye mashua na kuukokota ule wavu pwani. Ulikuwa umejaa samaki wakubwa 153. Ingawa samaki walikuwa wengi kiasi hicho, ule wavu haukuchanika.
27451  ACT 13:20  Haya yote yalichukua kama muda wa miaka 450. “Baada ya haya, Mungu akawapa waamuzi mpaka wakati wa nabii Samweli.
27960  ACT 27:37  Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.
30995  REV 13:18  Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na ufahamu na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni 666.
31015  REV 14:20  Lile shinikizo likakanyagwa nje ya mji, nayo damu ikatiririka kama mafuriko kutoka hilo shinikizo kufikia kimo cha hatamu za farasi, kwa umbali wa maili 200.