23807 | MAT 18:11 | Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kuokoa kile kilichopotea.] |
24001 | MAT 23:14 | Ole wenu walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Mnakula katika nyumba za wajane, nanyi kwa kujifanya kuwa wema, mnasali sala ndefu. Kwa hiyo hukumu yenu itakuwa kuu zaidi.] |
24651 | MRK 9:44 | Mahali ambako funza wake hawafi wala moto wake hauzimiki.] |
24653 | MRK 9:46 | Mahali ambako funza wake hawafi wala moto hauzimiki.] |
24962 | MRK 16:20 | Kisha wanafunzi wake wakatoka, wakahubiri kila mahali, naye Bwana akatenda kazi pamoja nao na kulithibitisha neno lake kwa ishara zilizofuatana nalo.] |
26021 | LUK 23:17 | Kwa kuwa ilikuwa lazima kuwafungulia mfungwa mmoja wakati wa Sikukuu.] |
27545 | ACT 15:34 | Lakini Sila bado akaendelea kukaa huko.] |
27996 | ACT 28:29 | Naye akiisha kusema maneno haya, Wayahudi wakaondoka wakiwa na hoja nyingi miongoni mwao.] |
28428 | ROM 16:24 | Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amen.] |