6176 | JOS 13:20 | Beth-Peori, materemko ya Pisga na Beth-Yeshimothi: |
8855 | 1KI 4:8 | Majina yao ni haya: Ben-Huri: katika nchi ya vilima ya Efraimu; |
8856 | 1KI 4:9 | Ben-Dekeri: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Bethhanani; |
8857 | 1KI 4:10 | Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); |
8858 | 1KI 4:11 | Ben-Abinadabu: katika Nafoth-Dori (alimwoa Tafathi binti Solomoni); |
8860 | 1KI 4:13 | Ben-Geberi: katika Ramoth-Gileadi (makao ya Yairi mwana wa Manase katika Gileadi ilikuwa miji yake, pamoja na wilaya ya Argobu katika Bashani na miji yake mikubwa sitini yenye kuzungukwa na kuta zenye makomeo ya shaba); |
9413 | 1KI 20:2 | Akawatuma wajumbe katika mji kwa Ahabu mfalme wa Israeli, kusema, “Hivi ndivyo asemavyo Ben-Hadadi: |
9416 | 1KI 20:5 | Wale wajumbe wakaja tena na kusema, “Hivi ndivyo asemavyo Ben-Hadadi: ‘Nimetuma kutaka fedha yako na dhahabu, wake zako na watoto wako. |
12287 | EZR 10:30 | Kutoka wazao wa Pahath-Moabu: Adna, Kelali, Benaya, Maaseya, Matania, Bezaleli, Binui na Manase. |