Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   ’    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

2347  EXO 29:10  Kisha utamleta huyo ngombe mbele ya hema ya kukutania; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo ngombe.
2348  EXO 29:11  Kisha utamchinja huyo ngombe mbele ya Yahweh pa hema ya kukutania. BWANA,
2349  EXO 29:12  Kisha twaa baadhi ya damu ya ngombe, uitie katika pembe za madhabahu kwa kidole chako; na kuimimina damu yote chini ya madhabahu.
2351  EXO 29:14  Lakini nyama yake huyo ngombe, na ngozi yake, na mavi yake, utayachoma kwa moto nje ya marago; ni sadaka kwa ajili ya dhambi.
2373  EXO 29:36  Kila siku utamtoa ngombe wa sadaka ya dhambi kwa ajili ya upatanisho; nawe utaisafisha hiyo madhabahu, hapo utakapofanya upatanisho kwa ajili ya hiyo madhabahu; nawe utaitia mafuta, ili kuitakasa.
2695  EXO 39:30  Mwishowe wakafanya lile bamba linalongaa, ishara takatifu ya wakfu, kutokana na dhahabu safi na kuandika juu yake maandishi kwa mchongo wa muhuri: “Utakatifu kwa Yahweh. ”
5457  DEU 21:8  Tusamehe watu wako Israeli, Yahwe, ambao umewakomboa, na usiweke hatia juu ya umwagaji damu usio na kosa miongoni mwa watu wako Israeli. Kisha umwagaji damu utasamehewa kwao.
5469  DEU 21:20  Wanapaswa kuwaambia wazee wa mji, “Huyu mwanetu ni mkaidi na muasi; hataki kusikia sauti zetu; ni mwasherati na pia ni mlevi.
5473  DEU 22:1  Hautakiwi kumtazama ngombe au kondoo wa Muisraeli mwenzako akikosea njia na ukajificha kwao; hakika unapaswa kuwarejesha kwake.
5476  DEU 22:4  Haupaswi kumwona punda wa Muisraeli mwenzako au ngombe wake kaanguka chini barabarani na kujificha dhidi yao; hakika unapaswa kumsaidia kumwinua tena.
5482  DEU 22:10  Haupaswi kulimia ngombe na punda kwa pamoja.
5602  DEU 27:15  “Alaaniwe mwanamume atakayechonga sanamu au kinyago, chukizo kwa Yahwe, kazi ya mikono ya fundi, ambayo ataifanya sirini”. Kisha watu wote wanapaswa kujibu na kusema, ‘Amina.
5605  DEU 27:18  Alaaniwe mwanamume asababishae kipofu kutoka nje ya barabara. Kisha watu wote waseme, ‘Amina.
5606  DEU 27:19  Alaaniwe mwanamume atumiaye nguvu kupokonya haki inayomstahili mgeni, yatima, au mjane. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina.
5607  DEU 27:20  Alaaniwe mwanamume atakayelala na mke wa baba yake, kwa sababu atakuwa amechukua haki za baba yake. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina.
5608  DEU 27:21  Alaaniwe mwanamume atakayelala na aina yoyote ya mnyama. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina.
5609  DEU 27:22  Alaaniwe mwanamume atakayelala na dada yake, binti wa baba yake, au binti wa mama yake. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina.
5610  DEU 27:23  Alaaniwe mwanamume atakayelala na mama mkwe. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina.
5611  DEU 27:24  Alaaniwe mwanamume atakayemuua jirani yake kwa siri. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina.
5612  DEU 27:25  Alaaniwe mwanamume apokeaye rushwa kumuua mtu asiye na hatia. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina.
5613  DEU 27:26  Alaaniwe mwanamume asiyethibitisha maneno ya sheria hii, ili kwamba ayatii. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina.
5617  DEU 28:4  Matunda ya mwili wako yatabarikiwa, na matunda ya ardhi yako, na matunda ya wanyama wako, ongezeko la ngombe wako, na wachanga wa mifugo wako.
5624  DEU 28:11  Yahwe atakufanya kuwa na mafanikio sana katika matunda ya mwili wako, katika matunda ya ngombe zako, katika matunda ya ardhi yako, katika nchi aliyoapa kwa mababu zako kuwapatia.
5631  DEU 28:18  Litalaaniwa tunda la mwili wako, tunda la ardhi yako, ongezeko la ngombe wako, na wachanga wa mifugo.
5634  DEU 28:21  Yahwe atafanya pigo likunganganie mpaka kukuangamiza kutoka katika nchi utakayoenda kumiliki.
5644  DEU 28:31  Ngombe wako atachinjwa mbele ya macho yako, lakini hautakula nyama yake; punda wako atachukuliwa kwa nguvu mbele yako na hatarejeshwa kwako. Kondoo wako watapewa maadui zako, na hautakuwa na mtu wa kukusaidia.
5664  DEU 28:51  Watakula wachanga wa ngombe wako na matunda ya ardhi yako hadi utakapoangamizwa. Hawatawaachia nafaka, divai mpya, au mafuta, wachanga wa ngombe au mifugo yako, hadi watakaposababisha kutoweka kwako.
5673  DEU 28:60  Ataleta juu yako mara nyingine magonjwa yote ya Misri ambayo ulikuwa unayaogopa; yatakungangania.
5676  DEU 28:63  Kama vile hapo awali Yawhe alivyofurahia juu yako na kutenda mema, na kuwazidisha, basi atafurahia juu yako kwa kufanya upotee na kwa kukuangamiza. Utangolewa katika nchi utakayoenda kuimiliki.
5679  DEU 28:66  Maisha yako yataninginia kwa mashaka mbele yako; utaogopa kila usiku na mchana na hutakuwa na uhakika kabisa maishani mwako.
5709  DEU 29:27  Yahwe amewangoa kutoka nchini kwao kwa hasira, kwa ghadhanu, na kwa ghadhabu kali, na kuwatupa katika nchi nyingine, leo.
5723  DEU 30:13  Wala haipo ngambo ya bahari, ili usije ukasema, “Nani atakwenda ngambo ya pili ya bahari kwa ajili yetu na kutuletea kwetu na kutufanya tuisikie, ili tuweze kuifanya? ”.
5730  DEU 30:20  Fanya hivi ili umpende Yahwe Mungu wako, kutii sauti yake, na kungangania kwake. Kwa maana yeye ni uzima wako na urefu wa siku zako; fanya hivi ili kwamba uweze kuishi katika nchi ambayo Yahwe aliapa kwa mababu zako, kwa Abrahamu, kwa Isaka, na kwa Yakobo, kuwapatia.
5801  DEU 32:41  Nitakapongoa panga langu lingaaro, na mkono wangu utakapoanza kuleta haki, nitalipiza kisasi juu ya maadui zangu, na kuwalipa wale wote wanichukiao.
5829  DEU 33:17  Mzawa wa kwanza wa ngombe, katika utukufu wake, na pembe zake ni pembe za ngombe mwitu. Kwa hawa atawasukuma watu, wote, hadi mwisho wa ulimwengu. Hawa ni maelfu makumi ya Efraimu; hawa ni maelfu wa Manase.