109 | GEN 5:3 | Wakati Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, akamzaa mwana katika sura yake mwenyewe, kwa mfano wake, na akamuita jina lake Sethi. |
111 | GEN 5:5 | Adamu akaishi miaka 930 kisha akafariki. |
112 | GEN 5:6 | Wakati Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. |
113 | GEN 5:7 | Baada ya kumzaa Enoshi, akaishi miaka 807 na akawazaa wana wengi waume na wake. |
117 | GEN 5:11 | Enoshi aliishi miaka 905 na kisha akafariki. |
119 | GEN 5:13 | Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840. Akawazaa wana wengi wa ume na wake. |
120 | GEN 5:14 | Kenani aliishi miaka 910, na kisha akafariki. |
122 | GEN 5:16 | Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830. Akazaa wana wengi wa ume na wake. |
141 | GEN 6:3 | Yahwe akaema, “ roho yangu haitasalia kwa mwanadamu milele, kwa kuwa wao ni nyama. Wataishi miaka 120.” |
280 | GEN 11:13 | Alfaksadi aliishi miaka 403 baada ya kumzaa Shela. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike. |
282 | GEN 11:15 | Shela aliishi miaka 403 baada ya kumzaa Eberi. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike. |
284 | GEN 11:17 | Eberi aliishi miaka 430 baada ya kumzaa Pelegi. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike. |
286 | GEN 11:19 | Pelegi aliishi miaka 209 baada ya kumza a Reu. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike. |
288 | GEN 11:21 | Reu aliishi miaka207 baada ya kumzaa Seregu. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike. |
299 | GEN 11:32 | Tera akaishi miaka 205 kisha akafa hapao Harani. |
1533 | GEN 50:26 | Hivyo Yusufu akafa, mwenye miaka 110. Wakampaka dawa na akawekwa katika jeneza huko Misri. |
1854 | EXO 12:37 | Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesi kwenda Sakothi. Walikuwa na idadi ya wanaume 600, 000 kwa miguu, kuongezea kwa wanawake na watoto. |
1857 | EXO 12:40 | Waisraeli waliishi Misri kwa miaka 430. |
1858 | EXO 12:41 | Baada ya miaka 430, siku hiyo hiyo, majeshi yote ya Yahweh yalio jiami waliondoka kutoka nchi ya Misri. |
2406 | EXO 30:23 | “Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri 250, na kane shekeli 250 |
2658 | EXO 38:24 | Dhahabu yote iliyotumiwa kwa ajili ya kazi katika kazi yote ya mahali patakatifu ikawa jumla ya dhahabu ya toleo la kutikisa, + talanta ishirini na tisa na shekeli 730 kulingana na shekeli+ ya mahali patakatifu. |
2660 | EXO 38:26 | ile nusu shekeli kwa ajili ya mtu mmoja ilikuwa nusu shekeli kulingana na shekeli ya mahali patakatifu,. Kwa kila mtu aliyekuwa akipita kuingia upande wa wale waliokuwa wameandikishwa kuanzia miaka ishirini na zaidi, jumla ya watu 603, 550. |
2663 | EXO 38:29 | Nayo shaba ya toleo la kutikisa ilikuwa talanta sabini na shekeli 2, 400. |
3626 | NUM 1:21 | Waliwahesabu wanaume 46, 000 kutoka ukoo wa Reubeni. |
3628 | NUM 1:23 | Walihesabu wanaume 59, 300 kutoka kabila la Simeoni. |
3630 | NUM 1:25 | Walihesabu wanaume 45, 650 kutoka kabila la Gadi. |
3632 | NUM 1:27 | walihesabiwa wanume 74, 000 kutoka kabila la Yuda. |
3634 | NUM 1:29 | Walihesabiwa wanaume 54, 000 kutoka kabila la Isakari. |
3636 | NUM 1:31 | Walihesabiwa wanume 57, 400 kutoka kabila la Zabuloni. |
3638 | NUM 1:33 | Walihesabiwa wanaume 40, 500 kutoka kabila la Efraimu. |
3640 | NUM 1:35 | Walihesabiwa wanaume 32, 000 kutoka kabila la Manase. |
3642 | NUM 1:37 | Walihesabiwa wanaume 35, 000 kutoka kabila la Benjamini. |
3644 | NUM 1:39 | Walihesabiwa wanaume 62, 000 kutoka kabila la Dani. |
3646 | NUM 1:41 | Walihesabiwa wanaume 41, 500 kutoka ukoo wa Asheri. |
3648 | NUM 1:43 | Walihesabiwa wanaume 53, 400 kutoka kabila la Naftari |
3651 | NUM 1:46 | Walihesabu wanaume 603, 550. |
3663 | NUM 2:4 | Idadi ya watu wa Yuda ni 74, 600. |
3665 | NUM 2:6 | Idadi ya kikosi chake ni wanaume 54, 000. |
3667 | NUM 2:8 | Idadi ya kikosi chake ni 57, 400. |
3668 | NUM 2:9 | Idadi yote ya kambi y a Yuda ni 186, 400. Watakuwa wa kwanza kuondoka. |
3670 | NUM 2:11 | Idadi ya kikosi chake ni 46, 500. |
3672 | NUM 2:13 | Waliohesabiwa kwenye kikosi chake ni 59, 300. |
3674 | NUM 2:15 | Idadi ya kikosi chake ni 45, 650. |
3675 | NUM 2:16 | Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Reubeni, kulingana na kikosi chake, ni 151, 450. Watakuwa wa pili kuondoka. |
3678 | NUM 2:19 | Hesabu ya kikosi hiki ni 40, 500. |
3680 | NUM 2:21 | Hesabu ya kikosi hiki ni 32, 200. |
3682 | NUM 2:23 | Hesabu ya kikosi hiki ni 35, 000 |
3683 | NUM 2:24 | Wote waliohesabiwa katika kambi ya Efraimu ni 108, 100. Watakuwa wa tatu kuondoka. |
3685 | NUM 2:26 | Hesabu ya kikosi hiki ni 62, 700. |
3687 | NUM 2:28 | Hesabu ya Kikosi hiki ni 41, 500. |
3689 | NUM 2:30 | Hesabu ya kikosi hiki ni 53, 400. |
3690 | NUM 2:31 | Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Dani ni 157, 600. Hawa watakuwa wa mwisho kuondoka kambini, wakifuata bango lao. |
3691 | NUM 2:32 | Hawa ndio Waisraeli, waliohesabiwa kufuata familia zao. Wote waliohesabiwa kwenye kambi zao, kwa kufuata vikosi vyao ni 603, 550. |
3715 | NUM 3:22 | Wanaume wote wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa na kufikia idadi ya 7, 500. |
3721 | NUM 3:28 | Wanaume 8, 600 wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa ili kulinda vitu vya BWANA. |
3727 | NUM 3:34 | Wanaume 6, 200 wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi walihesabiwa. |
3780 | NUM 4:36 | Waliwahesabu wanaume 2, 750 kwa kufuata koo zao. |
3784 | NUM 4:40 | Wanaume wote waliohesabiwa kufuata koo na familia za mababu zao walikuwa 2, 630. |
3788 | NUM 4:44 | Wanaume wote waliohesabiwa kupitia koo za familia za mababu zao walikuwa 3. 200. |
3792 | NUM 4:48 | Waliwahesabu wanaume 8, 580. |
3864 | NUM 7:13 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli moja ya fedha ambayo uzito wake ni shekeli sabini, kwa kipimo cha mahali patakatifu. Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3870 | NUM 7:19 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha ya uzito wa shekeli130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa sheli sabini, kwa kipimo cha mahali patakatifu. Viyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kwa sadaka ya unga. |
3876 | NUM 7:25 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha lenye uzito wa shekeli sabini kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. vyombo vyote hivi vilikuwa vimeja unga mwembemba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3882 | NUM 7:31 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo hivi vyote vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3888 | NUM 7:37 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shaekali 130 na bakuli mojala fedha lenye uzani wa shekeli sabini kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3894 | NUM 7:43 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli la shaba lenye uzani wa shekeli sabini, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo hivi vyote vilikuwa vimejaa unga mwembemba uliochanganywa na mafuta kwa ajili ya sadaka ya unga. |
3900 | NUM 7:49 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli la fedha lenye uzani wa shekeli sabini, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo hivi vyote ilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3906 | NUM 7:55 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3912 | NUM 7:61 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja yafedha yenye uzani wa sheli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzito wa shekeli sabini, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3918 | NUM 7:67 | Alitoa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shaekeli 130 na bakuli moja lenye uzani wa shekeli sabini, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3924 | NUM 7:73 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabani, kwa kipimo cha shekeli ya mahali patakatifu. Vyombo vyote hivi ilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3930 | NUM 7:79 | Sadaka yake ailikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shaekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba ulichanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3936 | NUM 7:85 | Zile sahani za fedha kila moja ilikuwa na uzani wa shaekeli 130 na kila bakuli ye fedha ilikuwa na uzani wa shekeli sabini. Vyombo vyote vya fedh vilikuwa na ujumla ya uzani wa shekeli 2, 400, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. |
3937 | NUM 7:86 | Vile vijiko vya dhahabu vilivyokuwa vimejaa ubani, vilikuwa na uzani wa shekeli kumi kila kimoja. Vijiko vyote vya dhahabu vilikuwa na uzani wa shekeli 120. |
4046 | NUM 11:21 | Kisha Musa akasema, “Mimi nina watu 600, 000, na wewe umesema, “Nitawapa nyama mle kwa mwezi mmoja,' |
4230 | NUM 16:35 | Kisha moto ukashuka toka kwa BWANA na kuwaangamiza wale wanaume 250 waliokuwa wametoa ubani. |
4244 | NUM 17:14 | Idadi ya wale waliokuwa wamekufa kwa tauni walikuwa14, 000, nje na wale waliokufa kutokana na swala la Kora. |
4498 | NUM 26:7 | Hizi ndizo zilikuwa koo za uzao wa Reubeni, ambzo idadi yao ilikuwa wanaume 43, 730. |
4501 | NUM 26:10 | Pale ambapo dunia ilifungua kinywa na kuwameza pamoja na Kora wakati ambapo wafuasi wa Kora walikufa. Wakati ule, moto uliteketeza wanaume 250, amboa wlikuwa ishara ya onyo. |
4505 | NUM 26:14 | Hizi ndizo koo za uzao wa Simeoni, idadi yao ilikuwa wanaume 22, 200. |
4509 | NUM 26:18 | Hizi ndizo koo za uzao wa Gadi, idadi yao walikuwa wanaume 40, 500. |
4513 | NUM 26:22 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda, idadi yao ilikuwa wanaume 76, 500. |
4516 | NUM 26:25 | Hizi ndizo zilikuwa koo za Isakari, Idadi yao ilikuwa wanaume 64, 300. |
4518 | NUM 26:27 | Hizi ndizo zilikuwa koo za Zabuloni, idadi y ao ilikuwa wanaume 60, 500. |
4525 | NUM 26:34 | Hizi ndizo koo za Manase, idadi yao ilikuwa wanaume 52, 700. |
4528 | NUM 26:37 | Hizi ndizo koo za uzao wa Efraimu, idadi yao ilikuwa wanaume 32, 500. Huu ndio uzao wa Yusufu, uliohesabiwa toka kila koo zao. |
4532 | NUM 26:41 | Hizi ndizo koo za uzao wa Benjamini. Idadai yao ilikuwa wanaume 45, 600. |
4534 | NUM 26:43 | Idadi ya koo zote za Washuhamu ilikuwa wanaume 64, 400. |
4538 | NUM 26:47 | Hizi ndizo koo za uzao wa Asheri, idadi yao ilikuwa wanaume 53, 400. |