Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   4    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

119  GEN 5:13  Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840. Akawazaa wana wengi wa ume na wake.
280  GEN 11:13  Alfaksadi aliishi miaka 403 baada ya kumzaa Shela. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.
282  GEN 11:15  Shela aliishi miaka 403 baada ya kumzaa Eberi. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.
284  GEN 11:17  Eberi aliishi miaka 430 baada ya kumzaa Pelegi. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.
1857  EXO 12:40  Waisraeli waliishi Misri kwa miaka 430.
1858  EXO 12:41  Baada ya miaka 430, siku hiyo hiyo, majeshi yote ya Yahweh yalio jiami waliondoka kutoka nchi ya Misri.
2663  EXO 38:29  Nayo shaba ya toleo la kutikisa ilikuwa talanta sabini na shekeli 2, 400.
3626  NUM 1:21  Waliwahesabu wanaume 46, 000 kutoka ukoo wa Reubeni.
3630  NUM 1:25  Walihesabu wanaume 45, 650 kutoka kabila la Gadi.
3632  NUM 1:27  walihesabiwa wanume 74, 000 kutoka kabila la Yuda.
3634  NUM 1:29  Walihesabiwa wanaume 54, 000 kutoka kabila la Isakari.
3636  NUM 1:31  Walihesabiwa wanume 57, 400 kutoka kabila la Zabuloni.
3638  NUM 1:33  Walihesabiwa wanaume 40, 500 kutoka kabila la Efraimu.
3646  NUM 1:41  Walihesabiwa wanaume 41, 500 kutoka ukoo wa Asheri.
3648  NUM 1:43  Walihesabiwa wanaume 53, 400 kutoka kabila la Naftari
3663  NUM 2:4  Idadi ya watu wa Yuda ni 74, 600.
3665  NUM 2:6  Idadi ya kikosi chake ni wanaume 54, 000.
3667  NUM 2:8  Idadi ya kikosi chake ni 57, 400.
3668  NUM 2:9  Idadi yote ya kambi y a Yuda ni 186, 400. Watakuwa wa kwanza kuondoka.
3670  NUM 2:11  Idadi ya kikosi chake ni 46, 500.
3674  NUM 2:15  Idadi ya kikosi chake ni 45, 650.
3675  NUM 2:16  Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Reubeni, kulingana na kikosi chake, ni 151, 450. Watakuwa wa pili kuondoka.
3678  NUM 2:19  Hesabu ya kikosi hiki ni 40, 500.
3687  NUM 2:28  Hesabu ya Kikosi hiki ni 41, 500.
3689  NUM 2:30  Hesabu ya kikosi hiki ni 53, 400.
3936  NUM 7:85  Zile sahani za fedha kila moja ilikuwa na uzani wa shaekeli 130 na kila bakuli ye fedha ilikuwa na uzani wa shekeli sabini. Vyombo vyote vya fedh vilikuwa na ujumla ya uzani wa shekeli 2, 400, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu.
4244  NUM 17:14  Idadi ya wale waliokuwa wamekufa kwa tauni walikuwa14, 000, nje na wale waliokufa kutokana na swala la Kora.
4498  NUM 26:7  Hizi ndizo zilikuwa koo za uzao wa Reubeni, ambzo idadi yao ilikuwa wanaume 43, 730.
4509  NUM 26:18  Hizi ndizo koo za uzao wa Gadi, idadi yao walikuwa wanaume 40, 500.
4516  NUM 26:25  Hizi ndizo zilikuwa koo za Isakari, Idadi yao ilikuwa wanaume 64, 300.
4532  NUM 26:41  Hizi ndizo koo za uzao wa Benjamini. Idadai yao ilikuwa wanaume 45, 600.
4534  NUM 26:43  Idadi ya koo zote za Washuhamu ilikuwa wanaume 64, 400.
4538  NUM 26:47  Hizi ndizo koo za uzao wa Asheri, idadi yao ilikuwa wanaume 53, 400.
4541  NUM 26:50  Hizi ndizo zilizokuwa koo za uzao wa Naftali, idadi yao walikuwa wanaume 45, 000.
4851  NUM 35:4  Hayo malisho yatakayozunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataanzia kwenye maboma kwa ukubwa wa “mita 457” kila upande.
7058  JDG 20:2  Viongozi wa watu wote, wa kabila zote za Israeli, wakachukua nafasi zao kwenye kusanyiko la watu wa Mungu-watu 400, 000 waendao kwa miguu, ambao walikuwa tayari kupigana na upanga.
7073  JDG 20:17  Watu wa Israeli, bila kuhesabu namba kutoka kwa Benyamini, walikuwa na watu 400, 000 waliokuwa wamejifunza kupigana na upanga. Wote hawa walikuwa watu wa vita.
7289  1SA 3:11  BWANA akasema na Samweli, “Tazama, Niko tayari kufanya jambo katika Israeli ambalo masikio ya kila mmoja akisikia atashtuka. -14
8900  1KI 6:1  Kwa hiyo Sulemani akaanza kulijenga hekalu. Hii ilikuwa mwaka wa 480 baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Sulemani huko Israeli, katika mwezi wa Ziv, ambao ndio mwezi wa pili.
8902  1KI 6:3  Na ukumbi uliokuwa mbele ya hekalu ulikuwa na urefu wa mita 9 na upana wa mita 4. 5 sawa na upana wa sehemu kuu ya hekalu.
8922  1KI 6:23  Sulemani akatengeneza makerubi mawili kwa mbao za mizeituni, kila moja lilikuwa na kimo cha mita 4. 5 kwa ajili ya chumba cha ndani.
8923  1KI 6:24  Bawa moja la kerubi wa kwanza lilikuwa na urefu wa mita 2. 3. Kwa hiyo kutoka ncha ya bawa moja hadi ncha ya bawa lingine kulikuwa na umbali wa mita 4. 5. Yule
8924  1KI 6:25  kerubi mwingine naye alikuwa na bawa lenye kipimo cha mita 4. 5 Makerubi hawa walikuwa wanafanana kwa umbo na kwa vipimo.
8925  1KI 6:26  Kimo cha kerubi mmoja kilikuwa mita 4. 5 na yule wa pili alikuwa hivyo hivyo.
8939  1KI 7:2  Aliijenga ikulu iliyoitwa mwitu wa Lebanoni. Urefu wake ulikuwa mita 46, na upanawake ulikuwa mita 23, na kimo chake kilikuwa mita 14. Nayo ilikuwa na safu nne ya nguzo za mierezi na mithili ya mwerezi juu ya nguzo.
8943  1KI 7:6  Akatengeneza baraza lenye uerfu wa mita 23 na upana wa mita 14. Mbele yake kulikuwa na ukumbi ulioezekwa.
8947  1KI 7:10  Msingi ulijengwa kwa mawe makubwa sana na ya thamani yenye urefu wa mita 3. 7 na mengine mita 4. 8.
8960  1KI 7:23  Tena akafanya bahari ya kusubu ya, yenye mita 2. 3 kutoka ukingo hadi ukingo, kimo chake kilikuwa mita 4. 6, mziingo wake ulikuwa mita 13. 7.
9082  1KI 9:28  Walikwenda kwa Ofri pamoja na watumishi wa Sulemani. Kutoka huko walileta takribani tani 14. 5 za dhahabu kwa Sulemani.
9092  1KI 10:10  Basi Malikia alimpatia mfalme zaidi ya kilo 4500 za dhahabu na kiasi kikubwa cha mawe ya thamani. Hapakuwahi kutokea kiasi kikubwa cha viungo kama hiki ambacho Malkia wa Sheba alitoa kwa mfalme Sulemani kuwahi kutolewa tena.
9108  1KI 10:26  Sulemani alikusanya pamoja magari n a wapanda farasi. Alikuwa na magari 1, 400 na wapanda farasi elfu kumi na mbili ambao alikuwa amewaweka kwenye miji ya magari pamoja naye Yerusalemu.
9363  1KI 18:19  Kwa hiyo sasa, Tuma neno na unikusanyie Israeli yote katika mlima Kameli, pamoja na manabii 450 wa Baali na wale manabii 400 wa Ashera wanaokula kwenye meza ya Yezebeli.”
9366  1KI 18:22  Kisha Eliya akawaambia wale watu, “Mimi, pekee yangu, ndiye niliyebaki kuwa nabii wa BWANA, lakini manabii wa Baali wako 450.
10546  1CH 7:7  Wana watano wa Bela walikuwa Ezibono, Uzi, Uzieli, Yerimoti, na Iri. Walikua ni wanajeshi na waanzilishi wa koo. Watu wao walikuwa na idadi ya wanaume wa vita 22, 034, kwa mujibu wa orodha zilizomilikiwa na koo za mababu zao.
10751  1CH 12:27  Kutoka kwa Walawi kulikuwa na wanaume wa mapambano 4, 600.
10944  1CH 21:5  Yoabu akatoa taarifa ya idadi ya jumla ya wanaume wa mapambano kwa Daudi. Kulikuwa ndani ya Israeli wanaume 1, 100, 000 walio beba upanga. Yuda peke yake kulikuwa na wanajeshi 470, 000.
11213  2CH 1:14  Selemani akakusanya magari na wanaume waendesha farasi, naye alikuwa na magari 1, 400 na waendesha farasi kumi na mbili elfu ambao aliwaweka katika miji ya magari, pamoja naye, mfalme katika Yerusalemu.
11369  2CH 8:18  Hiramu akatuma meli zake kupitia watumishi wake ambao walikuwa wana maji wenye uzoefu. Wakasafiri na Selemani na watumishi wa Semani hadi Ofiri. Wakachukua kutoka huko talanta 450 za dhahabu ambazo walimletea Selemani.
11461  2CH 13:3  Abiya akaingia vitani na jeshi la askari, wenye nguvu, hodari, 400, 00 wanaume waliochaguliwa. Yeroboamu akapanga mistari ya vita dhidi yake yenye 800, 00 wanaume askari waliochaguliwa, wenye nguvu, hodari.
12031  EZR 1:10  mabakuli thelathini ya dhahabu, mabakuli madogo ya fedha 410, na vitu elfu moja vya kuongezea.
12032  EZR 1:11  Kulikuwa na vitu 5, 400 vya fedha na dhahabu. Sheshbaza akavileta vyote wakati wa uhamisho kutoka Babeli kwenda Yerusalem.
12039  EZR 2:7  Wana wa Eliamu: 1, 254.
12040  EZR 2:8  Wana wa Zatu: 945.
12042  EZR 2:10  Wana wa Binui: 642.
12047  EZR 2:15  Wana wa Adini: 454.
12063  EZR 2:31  Wanaume wengine wa Elamu: 1, 254.
12066  EZR 2:34  Wanaume wa Yeriko: 345.
12070  EZR 2:38  Wana wa Pashuri: 1, 247.
12096  EZR 2:64  Jumla ya kundi 42, 360,
12098  EZR 2:66  Farasi wao: 736, Nyumbu wao: 245.
12099  EZR 2:67  Ngamia wao: 435. Punda wao: 6, 720.
12438  NEH 7:13  Wana wa Elamu, 1, 254.
12439  NEH 7:14  Wana wa Zatu, 845. Wana wa Zakai, 760.
12440  NEH 7:15  Wana wa Binnui, 648.
12448  NEH 7:23  Wana wa Besai, 324.
12453  NEH 7:28  Watu wa Beth Azmaweth, 42.
12454  NEH 7:29  Watu wa Kiriath Yearimu, Kefira, na Beerothi, 743.
12459  NEH 7:34  Watu wa Elamu wa pili, 1, 254.
12461  NEH 7:36  Watu wa Yeriko, 345.
12466  NEH 7:41  Wana wa Pashuri, 1, 247.
12468  NEH 7:43  Walawi, wana wa Yeshua, wa Kadmieli, wa Binui, wa Hodavia, 74.
12469  NEH 7:44  Waimbaji wana wa Asafu; 148.
12487  NEH 7:62  wana wa Delaya, wana wa Tobia, na wana wa Nekoda, 642.
12491  NEH 7:66  Kusanyiko lote lilikuwa 42, 360,
12492  NEH 7:67  isipokuwa watumishi wao wa kiume na watumishi wao wa kike, ambao walikuwa 7, 337. Walikuwa na wanaume na wanawake wa kuimba 245.
12493  NEH 7:68  Farasi zao zilikuwa 736 kwa idadi, nyumbu zao, 245, ngamia zao, 435, na punda zao, 6, 720.
12598  NEH 11:6  Wana wote wa Peresi waliokaa Yerusalemu walikuwa 468. Walikuwa masujaa.
12605  NEH 11:13  Nao walikuwa washirika wake waliokuwa wakuu wa jamaa, wanaume 242, na Maasai mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri;
12610  NEH 11:18  Katika mji wote mtakatifu walikuwa Walawi 284.
13942  JOB 42:16  Baada ya haya, Ayubu aliishi miaka 140; aliwaona wana wake na wana wa wanawe, hata kizazi cha nne.
20375  JER 52:30  Katika mwaka wa ishirini na tatu wa Nebukadneza, Nebuzaradani, jemedari wa walinzi wa mfalme, aliwahamisha Wayudea 745. Jumla ya watu walioamishwa walikuwa 4, 600.
21787  EZK 48:16  Hivi ndivyo vitakuwa vipimo vya mji: upande wa kaskazini utakuwa ridhaa 4, 500 urefu; upande wa kusini utakuwa ridhaa 4, 500 urefu; upande wa magharibi utakuwa ridhaa 4, 500 urefu; na magharibi itakuwa ridhaa 4, 500 urefu.
21801  EZK 48:30  Hawa ndio watakaoishi kutoka kwenye nchi: upande wa kaskazini, ambapo patapimwa ridhaa 4, 500 kwa urefu,
21803  EZK 48:32  Kwa upande wa mashariki, ambapo patapimwa ridhaa 4, 500 kwa urefu, kutakuwa na malango matatu: lango moja kwa ajili ya Yusufu, lango moja kwa ajili ya Benjamini, na lango moja kwa ajili ya Dani.
21804  EZK 48:33  Kwa upande wa mashariki, kutakuwa na kipimo cha ridhaa 4, 500 urefu, kutakuwa na malango matatu: lango moja kwa ajili ya Simioni, lango moja kwa ajili ya Isakari, na moja kwa ajili ya Zebuloni.