112 | GEN 5:6 | Wakati Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. |
116 | GEN 5:10 | Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815. Akazaa wana wengi wa ume na wake. |
117 | GEN 5:11 | Enoshi aliishi miaka 905 na kisha akafariki. |
123 | GEN 5:17 | Mahalaleli aliishi miaka 895 na kisha akafariki. |
129 | GEN 5:23 | Henoko aliishi miaka 365. |
136 | GEN 5:30 | Lameki aliishi miaka 595 baada ya kumzaa baba wa Nuhu. Akazaa wanawengi wa ume na wake. |
299 | GEN 11:32 | Tera akaishi miaka 205 kisha akafa hapao Harani. |
666 | GEN 25:7 | Hizi ndizo zilikuwa siku za miaka ya uhai wake Abraham alizoishi, miaka 175. |
2406 | EXO 30:23 | “Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri 250, na kane shekeli 250 |
2659 | EXO 38:25 | Nayo fedha ya wale walioandikishwa kati ya kusanyiko ilikuwa talanta mia moja na shekeli 1, 775 kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, |
2660 | EXO 38:26 | ile nusu shekeli kwa ajili ya mtu mmoja ilikuwa nusu shekeli kulingana na shekeli ya mahali patakatifu,. Kwa kila mtu aliyekuwa akipita kuingia upande wa wale waliokuwa wameandikishwa kuanzia miaka ishirini na zaidi, jumla ya watu 603, 550. |
2662 | EXO 38:28 | Na kutokana na zile shekeli 1, 775 alifanyiza vibanio vya nguzo na kuvifunika sehemu yake ya juu na kuviunganisha pamoja. |
3628 | NUM 1:23 | Walihesabu wanaume 59, 300 kutoka kabila la Simeoni. |
3630 | NUM 1:25 | Walihesabu wanaume 45, 650 kutoka kabila la Gadi. |
3634 | NUM 1:29 | Walihesabiwa wanaume 54, 000 kutoka kabila la Isakari. |
3636 | NUM 1:31 | Walihesabiwa wanume 57, 400 kutoka kabila la Zabuloni. |
3638 | NUM 1:33 | Walihesabiwa wanaume 40, 500 kutoka kabila la Efraimu. |
3642 | NUM 1:37 | Walihesabiwa wanaume 35, 000 kutoka kabila la Benjamini. |
3646 | NUM 1:41 | Walihesabiwa wanaume 41, 500 kutoka ukoo wa Asheri. |
3648 | NUM 1:43 | Walihesabiwa wanaume 53, 400 kutoka kabila la Naftari |
3651 | NUM 1:46 | Walihesabu wanaume 603, 550. |
3665 | NUM 2:6 | Idadi ya kikosi chake ni wanaume 54, 000. |
3667 | NUM 2:8 | Idadi ya kikosi chake ni 57, 400. |
3670 | NUM 2:11 | Idadi ya kikosi chake ni 46, 500. |
3672 | NUM 2:13 | Waliohesabiwa kwenye kikosi chake ni 59, 300. |
3674 | NUM 2:15 | Idadi ya kikosi chake ni 45, 650. |
3675 | NUM 2:16 | Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Reubeni, kulingana na kikosi chake, ni 151, 450. Watakuwa wa pili kuondoka. |
3678 | NUM 2:19 | Hesabu ya kikosi hiki ni 40, 500. |
3682 | NUM 2:23 | Hesabu ya kikosi hiki ni 35, 000 |
3687 | NUM 2:28 | Hesabu ya Kikosi hiki ni 41, 500. |
3689 | NUM 2:30 | Hesabu ya kikosi hiki ni 53, 400. |
3690 | NUM 2:31 | Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Dani ni 157, 600. Hawa watakuwa wa mwisho kuondoka kambini, wakifuata bango lao. |
3691 | NUM 2:32 | Hawa ndio Waisraeli, waliohesabiwa kufuata familia zao. Wote waliohesabiwa kwenye kambi zao, kwa kufuata vikosi vyao ni 603, 550. |
3715 | NUM 3:22 | Wanaume wote wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa na kufikia idadi ya 7, 500. |
3743 | NUM 3:50 | Musa akakusanya zile fedha kutoka kwa hao wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli. Alikusanya jumla ya shekeli 1, 365, zenye kipimo sawa na mahali patakatifu. Musa akamlipa Haruni na wanawe hizo shekeli za wokovu. |
3780 | NUM 4:36 | Waliwahesabu wanaume 2, 750 kwa kufuata koo zao. |
3792 | NUM 4:48 | Waliwahesabu wanaume 8, 580. |
4230 | NUM 16:35 | Kisha moto ukashuka toka kwa BWANA na kuwaangamiza wale wanaume 250 waliokuwa wametoa ubani. |
4501 | NUM 26:10 | Pale ambapo dunia ilifungua kinywa na kuwameza pamoja na Kora wakati ambapo wafuasi wa Kora walikufa. Wakati ule, moto uliteketeza wanaume 250, amboa wlikuwa ishara ya onyo. |
4509 | NUM 26:18 | Hizi ndizo koo za uzao wa Gadi, idadi yao walikuwa wanaume 40, 500. |
4513 | NUM 26:22 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda, idadi yao ilikuwa wanaume 76, 500. |
4518 | NUM 26:27 | Hizi ndizo zilikuwa koo za Zabuloni, idadi y ao ilikuwa wanaume 60, 500. |
4525 | NUM 26:34 | Hizi ndizo koo za Manase, idadi yao ilikuwa wanaume 52, 700. |
4528 | NUM 26:37 | Hizi ndizo koo za uzao wa Efraimu, idadi yao ilikuwa wanaume 32, 500. Huu ndio uzao wa Yusufu, uliohesabiwa toka kila koo zao. |
4532 | NUM 26:41 | Hizi ndizo koo za uzao wa Benjamini. Idadai yao ilikuwa wanaume 45, 600. |
4538 | NUM 26:47 | Hizi ndizo koo za uzao wa Asheri, idadi yao ilikuwa wanaume 53, 400. |
4541 | NUM 26:50 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za uzao wa Naftali, idadi yao walikuwa wanaume 45, 000. |
4698 | NUM 31:32 | Sasa zile nyara zilizokuwa zimebaki ambazo wanajeshi walikuwa wameteka zilikuwa kondoo 675, 000, |
4703 | NUM 31:37 | BWANA ya kondoo ilikuwa kondoo 675. |
4705 | NUM 31:39 | Punda walikuwa 30, 500 ambao sehemu ya BWANA ilikuwa sitini na moja. |
4709 | NUM 31:43 | ile nusu y a watu ilikuwa kondoo 337, 500, |
4711 | NUM 31:45 | punda 30, 500, |
4718 | NUM 31:52 | Vitu vyote vya sadaka ya dhahabu ambavyo walimpa BWANA- sadaka toka kwa makamanda wa maelfu na kutoka kwa makepteni wa mamia - vilikuwa na uzito wa shekeli 16, 750. |
4851 | NUM 35:4 | Hayo malisho yatakayozunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataanzia kwenye maboma kwa ukubwa wa “mita 457” kila upande. |
7091 | JDG 20:35 | Bwana akamshinda Benyamini mbele ya Israeli. Siku hiyo, askari wa Israeli waliwauawa watu wa Benyamini 25, 100. Wote hawa waliokufa walikuwa wale waliokuwa wamejifunza kupigana na upanga. |
8704 | 2SA 24:9 | Ndipo Yoabu alipotoa taarifa ya hesabu kamili kwa mfalme kuhusu watu wawezao kupigana vita. Katika Israeli kulikuwa na watu 800, 000 jasiri wawezao kutoa upanga, na wale wa Yuda walikuwa watu 500, 000. |
8901 | 1KI 6:2 | Hekalu ambalo mfalme Sulemani alimjengea BWANA lilikuwa na urefu wa mita 27, na upana wa mita 9, na kimo cha mita 13. 5. |
8902 | 1KI 6:3 | Na ukumbi uliokuwa mbele ya hekalu ulikuwa na urefu wa mita 9 na upana wa mita 4. 5 sawa na upana wa sehemu kuu ya hekalu. |
8922 | 1KI 6:23 | Sulemani akatengeneza makerubi mawili kwa mbao za mizeituni, kila moja lilikuwa na kimo cha mita 4. 5 kwa ajili ya chumba cha ndani. |
8923 | 1KI 6:24 | Bawa moja la kerubi wa kwanza lilikuwa na urefu wa mita 2. 3. Kwa hiyo kutoka ncha ya bawa moja hadi ncha ya bawa lingine kulikuwa na umbali wa mita 4. 5. Yule |
8924 | 1KI 6:25 | kerubi mwingine naye alikuwa na bawa lenye kipimo cha mita 4. 5 Makerubi hawa walikuwa wanafanana kwa umbo na kwa vipimo. |
8925 | 1KI 6:26 | Kimo cha kerubi mmoja kilikuwa mita 4. 5 na yule wa pili alikuwa hivyo hivyo. |
8952 | 1KI 7:15 | Huramu alizilemba zile nguzo mbili za shaba, kila moja ilikuwa na kimo cha mita 8. 3 na mzingo wa mita 5. 5. |
9077 | 1KI 9:23 | Hawa ndio waliokuwa maakida wakuu waliokuwa wakiwasimamia kazi za Sulemani, watu 550, walikuwa wasimamizi wa watu waliokuwa wakifanya kazi. |
9082 | 1KI 9:28 | Walikwenda kwa Ofri pamoja na watumishi wa Sulemani. Kutoka huko walileta takribani tani 14. 5 za dhahabu kwa Sulemani. |
9092 | 1KI 10:10 | Basi Malikia alimpatia mfalme zaidi ya kilo 4500 za dhahabu na kiasi kikubwa cha mawe ya thamani. Hapakuwahi kutokea kiasi kikubwa cha viungo kama hiki ambacho Malkia wa Sheba alitoa kwa mfalme Sulemani kuwahi kutolewa tena. |
9111 | 1KI 10:29 | Magari yalinunuliwa kutoka Misri kwa shekeli mia sita za fedha kila moja, na farasi kwa shekeli 150 kila moja. Vitu vingi katika hivi baadaye viliuzwa kwa wafalme wote wa Wahiti na Aramu. |
9363 | 1KI 18:19 | Kwa hiyo sasa, Tuma neno na unikusanyie Israeli yote katika mlima Kameli, pamoja na manabii 450 wa Baali na wale manabii 400 wa Ashera wanaokula kwenye meza ya Yezebeli.” |
9366 | 1KI 18:22 | Kisha Eliya akawaambia wale watu, “Mimi, pekee yangu, ndiye niliyebaki kuwa nabii wa BWANA, lakini manabii wa Baali wako 450. |
10100 | 2KI 19:35 | Ikawa kuhusu usiku huo ambao malaika wa Yahwe alitoka na kuvamia kambi ya Waashuru, akawaua maaskari185, 000. Kisha watu wakaamka asubuhi na mapema, miili ya watu waliokuwa wamekufa ilikuwa imelala kila mahali. |
10453 | 1CH 5:21 | Walikamata wanya wao, pamoja na ngamia elfu hamsini, kondoo 250, 000, punda elfu mbili, na wanaume 100, 000. |
10619 | 1CH 8:40 | Wana wa Ulamu walikuwa wanaume wa mapambano na warusha mishale wa zuri. Walikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla ya 150. Wote hawa walikuwa uzao wa Benjamini. |
10628 | 1CH 9:9 | Ndugu zao waliandika kwenye orodha ya namba 956 ya vizazi vyao. Wanaume wote hawa walikuwa viongozi wa koo za mababu zao. |
11216 | 2CH 1:17 | Waliagiza gari kutoka Misiri kwa shekeli mia sita za fedha, na farasi mmoja kwa shekeli 150. Pia walinunua kutoka kwa wafalme wa Wahiti na wafalme wa Washamu. |
11233 | 2CH 2:16 | Selemani akawahesabu watu wageni waliokuwa katika nchi ya Israeli, kwa kutumia njia ya Daudi, baba yake, aliyoitumia kuwahesabu. Walikutwa wako 153, 600. |
11361 | 2CH 8:10 | Pia hawa walikuwa wakuu wa wakuu wakisimamia wasimamizi waliokuwa wa mfalme Selemani, walikuwa 250, waliowasimamia watu walioifanya kazi. |
11369 | 2CH 8:18 | Hiramu akatuma meli zake kupitia watumishi wake ambao walikuwa wana maji wenye uzoefu. Wakasafiri na Selemani na watumishi wa Semani hadi Ofiri. Wakachukua kutoka huko talanta 450 za dhahabu ambazo walimletea Selemani. |
11475 | 2CH 13:17 | Abiya na jeshi lake wakawaua kwa mauji makuu; 500, 000 watu wanaume waliochaguliwa wa Israeli wakaanguka wamekufa. |
11750 | 2CH 26:13 | Chini ya mkono wao kulikuwa na jeshi la watu 307, 500 ambao walifanya vita kwa nguvu ili kumsaidia mfalme idi ya maadui. |
12032 | EZR 1:11 | Kulikuwa na vitu 5, 400 vya fedha na dhahabu. Sheshbaza akavileta vyote wakati wa uhamisho kutoka Babeli kwenda Yerusalem. |
12037 | EZR 2:5 | Wana wa Ara: 775. |
12039 | EZR 2:7 | Wana wa Eliamu: 1, 254. |
12040 | EZR 2:8 | Wana wa Zatu: 945. |
12046 | EZR 2:14 | Wana wa Bigwai: 2, 056. |
12047 | EZR 2:15 | Wana wa Adini: 454. |
12062 | EZR 2:30 | Wanaume wa Magbishi: 156. |
12063 | EZR 2:31 | Wanaume wengine wa Elamu: 1, 254. |
12065 | EZR 2:33 | Wanaume wa Lodi, na Hadidi, na Ono: 725. |
12066 | EZR 2:34 | Wanaume wa Yeriko: 345. |
12069 | EZR 2:37 | Wana wa Imeri: 1, 052. |
12098 | EZR 2:66 | Farasi wao: 736, Nyumbu wao: 245. |
12099 | EZR 2:67 | Ngamia wao: 435. Punda wao: 6, 720. |
12404 | NEH 5:17 | Katika meza yangu walikuwa Wayahudi na maafisa, watu 150, isipokuwa wale waliokuja kwetu kutoka kwa mataifa waliokuwa wakituzunguka. |
12435 | NEH 7:10 | Wana wa Ara, 652. |
12438 | NEH 7:13 | Wana wa Elamu, 1, 254. |
12439 | NEH 7:14 | Wana wa Zatu, 845. Wana wa Zakai, 760. |
12445 | NEH 7:20 | Wana wa Adini, 655. |