124 | GEN 5:18 | Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, alimzaa Henoko. |
126 | GEN 5:20 | Yaredi aliishi miaka 962 na kisha akafariki. |
129 | GEN 5:23 | Henoko aliishi miaka 365. |
133 | GEN 5:27 | Methusela aliishi miaka 969. Kisha akafariki. |
1854 | EXO 12:37 | Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesi kwenda Sakothi. Walikuwa na idadi ya wanaume 600, 000 kwa miguu, kuongezea kwa wanawake na watoto. |
2660 | EXO 38:26 | ile nusu shekeli kwa ajili ya mtu mmoja ilikuwa nusu shekeli kulingana na shekeli ya mahali patakatifu,. Kwa kila mtu aliyekuwa akipita kuingia upande wa wale waliokuwa wameandikishwa kuanzia miaka ishirini na zaidi, jumla ya watu 603, 550. |
3626 | NUM 1:21 | Waliwahesabu wanaume 46, 000 kutoka ukoo wa Reubeni. |
3630 | NUM 1:25 | Walihesabu wanaume 45, 650 kutoka kabila la Gadi. |
3644 | NUM 1:39 | Walihesabiwa wanaume 62, 000 kutoka kabila la Dani. |
3651 | NUM 1:46 | Walihesabu wanaume 603, 550. |
3663 | NUM 2:4 | Idadi ya watu wa Yuda ni 74, 600. |
3668 | NUM 2:9 | Idadi yote ya kambi y a Yuda ni 186, 400. Watakuwa wa kwanza kuondoka. |
3670 | NUM 2:11 | Idadi ya kikosi chake ni 46, 500. |
3674 | NUM 2:15 | Idadi ya kikosi chake ni 45, 650. |
3685 | NUM 2:26 | Hesabu ya kikosi hiki ni 62, 700. |
3690 | NUM 2:31 | Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Dani ni 157, 600. Hawa watakuwa wa mwisho kuondoka kambini, wakifuata bango lao. |
3691 | NUM 2:32 | Hawa ndio Waisraeli, waliohesabiwa kufuata familia zao. Wote waliohesabiwa kwenye kambi zao, kwa kufuata vikosi vyao ni 603, 550. |
3721 | NUM 3:28 | Wanaume 8, 600 wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa ili kulinda vitu vya BWANA. |
3727 | NUM 3:34 | Wanaume 6, 200 wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi walihesabiwa. |
3743 | NUM 3:50 | Musa akakusanya zile fedha kutoka kwa hao wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli. Alikusanya jumla ya shekeli 1, 365, zenye kipimo sawa na mahali patakatifu. Musa akamlipa Haruni na wanawe hizo shekeli za wokovu. |
3784 | NUM 4:40 | Wanaume wote waliohesabiwa kufuata koo na familia za mababu zao walikuwa 2, 630. |
4046 | NUM 11:21 | Kisha Musa akasema, “Mimi nina watu 600, 000, na wewe umesema, “Nitawapa nyama mle kwa mwezi mmoja,' |
4513 | NUM 26:22 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda, idadi yao ilikuwa wanaume 76, 500. |
4516 | NUM 26:25 | Hizi ndizo zilikuwa koo za Isakari, Idadi yao ilikuwa wanaume 64, 300. |
4518 | NUM 26:27 | Hizi ndizo zilikuwa koo za Zabuloni, idadi y ao ilikuwa wanaume 60, 500. |
4532 | NUM 26:41 | Hizi ndizo koo za uzao wa Benjamini. Idadai yao ilikuwa wanaume 45, 600. |
4534 | NUM 26:43 | Idadi ya koo zote za Washuhamu ilikuwa wanaume 64, 400. |
4542 | NUM 26:51 | Hii ndiyo iliyokuwa jumla kuu ya wanaume wa Israeli: 601, 730. |
4698 | NUM 31:32 | Sasa zile nyara zilizokuwa zimebaki ambazo wanajeshi walikuwa wameteka zilikuwa kondoo 675, 000, |
4703 | NUM 31:37 | BWANA ya kondoo ilikuwa kondoo 675. |
4718 | NUM 31:52 | Vitu vyote vya sadaka ya dhahabu ambavyo walimpa BWANA- sadaka toka kwa makamanda wa maelfu na kutoka kwa makepteni wa mamia - vilikuwa na uzito wa shekeli 16, 750. |
6601 | JDG 3:31 | Baada ya Ehudi, mwamuzi aliyefuata alikuwa Shamgari mwana wa Anathi ambaye aliwaua Wafilisti 600 kwa konzo la ng'ombe. Pia aliwaokoa Israeli kutoka kwenye hatari. |
7292 | 1SA 3:14 | Hii ndiyo sababu nimeapa kwa nyumba ya Eli, kwamba dhambi za nyumba yake hazitasahehewa kwa dhabihu au kwa sadaka kamwe.” 16 |
7616 | 1SA 16:19 | Hivyo Sauli akawatuma wajumbe kwa Yese, na kusema, “Nitumie mtoto wako Daudi, anayewatunza kondoo.” 1 Samweli! 6: 20-21 |
8083 | 2SA 2:31 | Lakini watu wa Daudi walikuwa wameua watu 360 wa Benjamini na Abneri. |
8939 | 1KI 7:2 | Aliijenga ikulu iliyoitwa mwitu wa Lebanoni. Urefu wake ulikuwa mita 46, na upanawake ulikuwa mita 23, na kimo chake kilikuwa mita 14. Nayo ilikuwa na safu nne ya nguzo za mierezi na mithili ya mwerezi juu ya nguzo. |
8960 | 1KI 7:23 | Tena akafanya bahari ya kusubu ya, yenye mita 2. 3 kutoka ukingo hadi ukingo, kimo chake kilikuwa mita 4. 6, mziingo wake ulikuwa mita 13. 7. |
9310 | 1KI 16:24 | Akakinunua kilima cha Samaria kutoka kwa Shemeri kwa kilo 68 za fedha. Akajenga mji juu ya mlima na ule mji akauita Samaria, kwa sababu ya jina la Shemeri, mmiliki wa awali wa kile kilima. |
10541 | 1CH 7:2 | Wana wa Tola walikuwa Uzi, Refaia, Yerie, Yamai, Ibisami, Shemueli. Walikua vichwa katika nyumba za baba yao, toka uzao wa Tola na waliorodheshwa kama mashujaa hodari miongoni mwa kizazi chao. Katika siku za Daudi walikua na idadi ya 22, 600. |
10625 | 1CH 9:6 | Kati ya uzao wa Zera alikuwa Yeuli. Uzao wao ulikuwa na namba 690. |
10628 | 1CH 9:9 | Ndugu zao waliandika kwenye orodha ya namba 956 ya vizazi vyao. Wanaume wote hawa walikuwa viongozi wa koo za mababu zao. |
10632 | 1CH 9:13 | Ndugu zao, ambao walikuwa viongozi katika koo za mababu zao, idadi ya 1, 760. Walikuwa ni wanaume wenye uwezo sana wa kufanya kazi katika nyumba ya Mungu. |
10749 | 1CH 12:25 | Kutoka Yuda walio beba ngao na mkuki ni 6, 800, tayari kwa vita. |
10751 | 1CH 12:27 | Kutoka kwa Walawi kulikuwa na wanaume wa mapambano 4, 600. |
10760 | 1CH 12:36 | Kutoka kwa Wadani palikuwa na wanaume 28, 600 wameandaliwa kwa ajili ya pambano. |
11218 | 2CH 2:1 | Selemeni akateua wanaume elfu sabini wabebe mizigo, na wanaume elfu themanini wa kukata mbao katika mlima, na wanaume 3, 600 kwa ajili ya kusimamia. |
11233 | 2CH 2:16 | Selemani akawahesabu watu wageni waliokuwa katika nchi ya Israeli, kwa kutumia njia ya Daudi, baba yake, aliyoitumia kuwahesabu. Walikutwa wako 153, 600. |
11234 | 2CH 2:17 | Miongoni mwao aliwateua sabini elfu ili wabebe mizigo, themanini elfu kuwa wakataji wa mbao katika milima, na 3, 600 kuwa wasimamizi wa kuwasimamia watu wafanye kazi. |
11382 | 2CH 9:13 | Sasa uzito wa dhahabu ambayo ililetwa kwa Selemani ndani ya mwaka mmoja ulikuwa talanta 666 za dhahabu, |
11749 | 2CH 26:12 | Jumla ya wakuu wa nyumba za mababu, watu wa kupigana vita, walikuwa 2, 600. |
11979 | 2CH 35:8 | Viongozi wake wakatoa sadaka za hiari kwa watu, makuhani, na Walawi. Hilki, Zekaria, na Yeieli, viongozi wasimamizi wa nyumba ya Mungu, wakawapa makuhani ndama 2, 600 na maksai mia tatu kwa ajili ya matoleo ya Paska. |
12041 | EZR 2:9 | Wana wa Zakai: 760. |
12042 | EZR 2:10 | Wana wa Binui: 642. |
12043 | EZR 2:11 | Wana wa Bebai: 623. |
12045 | EZR 2:13 | Wana wa Adonikamu: 666. |
12046 | EZR 2:14 | Wana wa Bigwai: 2, 056. |
12058 | EZR 2:26 | Wanaume wa Rama na Geba: 621. |
12062 | EZR 2:30 | Wanaume wa Magbishi: 156. |
12067 | EZR 2:35 | Wanaume wa Senaa: 3, 630. |
12096 | EZR 2:64 | Jumla ya kundi 42, 360, |
12098 | EZR 2:66 | Farasi wao: 736, Nyumbu wao: 245. |
12099 | EZR 2:67 | Ngamia wao: 435. Punda wao: 6, 720. |
12435 | NEH 7:10 | Wana wa Ara, 652. |
12439 | NEH 7:14 | Wana wa Zatu, 845. Wana wa Zakai, 760. |
12440 | NEH 7:15 | Wana wa Binnui, 648. |
12441 | NEH 7:16 | Wana wa Bebai, 628. |
12443 | NEH 7:18 | Wana wa Adonikamu, 667. |
12444 | NEH 7:19 | Wana wa Bigwai, 2, 067. |
12445 | NEH 7:20 | Wana wa Adini, 655. |
12455 | NEH 7:30 | Watu wa Rama na Geba, 621. |
12487 | NEH 7:62 | wana wa Delaya, wana wa Tobia, na wana wa Nekoda, 642. |
12491 | NEH 7:66 | Kusanyiko lote lilikuwa 42, 360, |
12493 | NEH 7:68 | Farasi zao zilikuwa 736 kwa idadi, nyumbu zao, 245, ngamia zao, 435, na punda zao, 6, 720. |
12598 | NEH 11:6 | Wana wote wa Peresi waliokaa Yerusalemu walikuwa 468. Walikuwa masujaa. |
20375 | JER 52:30 | Katika mwaka wa ishirini na tatu wa Nebukadneza, Nebuzaradani, jemedari wa walinzi wa mfalme, aliwahamisha Wayudea 745. Jumla ya watu walioamishwa walikuwa 4, 600. |
24951 | MRK 16:9 | (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Mapema katika siku ya kwanza ya juma, baada ya kufufuka, alimtokea kwanza Mariamu Magdalena, ambaye kutoka kwake alimtoa mapepo saba. |
24954 | MRK 16:12 | (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Baada ya hayo, akajitokeza katika namna tofauti kwa watu wengine wawili, wakati walipokuwa wakitembea kutoka katika nchi. |
24956 | MRK 16:14 | (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Yesu baadaye akajitokeza kwa wale kumi na mmoja walipokuwa wameegama katika meza, na akawakemea kwa kutokuamini kwao na ugumu wa mioyo, kwa sababu hawakuwaamini wale waliomwona baada ya kufufuka kutoka kwa wafu. |
24959 | MRK 16:17 | (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Ishara hizi zitaambatana na wote waaminio. Kwa jina langu watatoa pepo. Watasema kwa lugha mpya. |
27842 | ACT 24:5 | Kwa maana tumempata mtu huyu mkorofi, na anasababisha Wayahudi wote kuasi duniani. Tena ni kiongozi wa madhehebu ya Wanazorayo. (Zingatia: Sehemu ya maneno ya mstari huu 24: 6 |
27960 | ACT 27:37 | Tulikuwa watu 276 ndani ya meli. |
28428 | ROM 16:24 | (Zingatia: Katika nakala halisi za kwanza, mstari huu haupo. Tazama Warumi 16: 20. “Neema ya Bwana Yesu Kristo ikae nanyi nyote. Amina.”) |
30943 | REV 11:3 | Nitawapa mashahidi wangu wawili mamlaka ya kutabiri kwa muda wa siku 1, 260, wakiwa wamevaa magunia.” |
30965 | REV 12:6 | na mwanamke alikimbilia nyikani, mahali ambapo Mungu alikuwa ameandaa eneo kwa ajili yake, ili aweze kuhudumiwa kwa siku 1, 260. |
30995 | REV 13:18 | Hii inahitaji busara. Ikiwa yeyote ana ufahamu, mwache aweze kufanya hesabu ya namba ya mnyama. Maana ni namba ya kibinadamu. Namba yake ni 666. |
31015 | REV 14:20 | Chujio la divai lilipondwapondwa nje ya mji na damu ikamwagika kutoka katika hicho kimo cha hatamu ya farasi, kwa stadia 1, 600. |