113 | GEN 5:7 | Baada ya kumzaa Enoshi, akaishi miaka 807 na akawazaa wana wengi waume na wake. |
116 | GEN 5:10 | Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815. Akazaa wana wengi wa ume na wake. |
119 | GEN 5:13 | Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840. Akawazaa wana wengi wa ume na wake. |
122 | GEN 5:16 | Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830. Akazaa wana wengi wa ume na wake. |
123 | GEN 5:17 | Mahalaleli aliishi miaka 895 na kisha akafariki. |
131 | GEN 5:25 | Wakati Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, alimzaa Lameki. |
132 | GEN 5:26 | Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782. Akawazaa wana wengi wa ume na wake. |
134 | GEN 5:28 | Wakati Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. |
351 | GEN 14:14 | Abram aliposikia kuwa maadui wamemteka ndugu yake, akawaongoza wanaume waliofunzwa na kuzaliwa nyumbani mwake 318 na akawaongoza hadi Dani. |
3668 | NUM 2:9 | Idadi yote ya kambi y a Yuda ni 186, 400. Watakuwa wa kwanza kuondoka. |
3683 | NUM 2:24 | Wote waliohesabiwa katika kambi ya Efraimu ni 108, 100. Watakuwa wa tatu kuondoka. |
3721 | NUM 3:28 | Wanaume 8, 600 wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa ili kulinda vitu vya BWANA. |
3792 | NUM 4:48 | Waliwahesabu wanaume 8, 580. |
7220 | 1SA 1:6 | Hasimu wake alimchokoza sana ili kumkasilisha, kwa sababu BWANA alikuwa amelifunga tumbo lake. 8 |
7230 | 1SA 1:16 | Usimchukulie mjakazi wako kama mwanamke duni; nimekuwa nikiongea kutokana na maumivu na masikitiko yangu.” 18 |
7284 | 1SA 3:6 | BWANA akamwita tena, “Samweli.” Saamweli aliamka tena na kwenda kwa Eli na kusema, Niko hapa, sababu umeniita.” Eli akajibu, “Sijakuita, mwanangu; kalale tu tena.” 8 |
7294 | 1SA 3:16 | Kisha Eli akamwita Samweli na kusema, “Samweli, mwanangu.” Samweli akasema, “Niko hapa.” 18 |
7360 | 1SA 7:6 | Wakakusanyika Mispa, wakateka maji na kuyamwaga chini mbele za BWANA. Siku hiyo walifunga na kusema, “Tumemfanyia BWANA dhambi.” Hapo Mispa ndipo Samweli aliwaamu na kuwaongoza watu wa Iraeli. -8 |
7696 | 1SA 18:18 | Daudi akamwambia Sauli, “Mimi ni nani, na maisha yangu yana nini, au hata maisha ya familia ya baba yangu katika Israeli, kiasi cha kuwa mkwe wa mfalme?” 1 Samweli 18-19-19 |
8704 | 2SA 24:9 | Ndipo Yoabu alipotoa taarifa ya hesabu kamili kwa mfalme kuhusu watu wawezao kupigana vita. Katika Israeli kulikuwa na watu 800, 000 jasiri wawezao kutoa upanga, na wale wa Yuda walikuwa watu 500, 000. |
8900 | 1KI 6:1 | Kwa hiyo Sulemani akaanza kulijenga hekalu. Hii ilikuwa mwaka wa 480 baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Sulemani huko Israeli, katika mwezi wa Ziv, ambao ndio mwezi wa pili. |
8905 | 1KI 6:6 | Kile chumba cha chini kilikuwa na upana wa mita 2. 3, kile cha kati kilikuwa na upana wa mita 2. 8. na kile cha tatu kilikuwa na upana wa mita 3. 2. upande wa nje akaupunguza ukuta wa nyumba pande zote, ili boriti zisishikamane ukutani mwa nyumba. |
8916 | 1KI 6:17 | Ule ukumbu mkuu, ulikuwa mahali pakatifu amabao ulikuwa mbele ya patakatifu sana, ulikuwa wa mita 18. hapo kulikwa na mbao za mwerezi ndani ya hekalu, zilizokuwa zimechongwa kwa sura ya vibuyu na maua yaliyochanua. |
8947 | 1KI 7:10 | Msingi ulijengwa kwa mawe makubwa sana na ya thamani yenye urefu wa mita 3. 7 na mengine mita 4. 8. |
8952 | 1KI 7:15 | Huramu alizilemba zile nguzo mbili za shaba, kila moja ilikuwa na kimo cha mita 8. 3 na mzingo wa mita 5. 5. |
8956 | 1KI 7:19 | Zile taji kwenye vile vichwa vya nguzo za ukumbi zilikuwa zimepambwa kwa maua, yenye vimo vya mita 1. 8. |
8964 | 1KI 7:27 | Huramu akatengeneza makalio kumi ya shaba. Kila kalio lilkuwa na urefu wa mita 1. 8, upana wa mita 1. 8, na kimo cha mita 1. 3. |
8975 | 1KI 7:38 | Huramu akatengeneza birika kumi za shaba. Birika moja liliweza kubeba bathi arobaini za maji. Kila birika lilikuwa mita 1. 8 toka birika moja hadi jingine na kulikuwa na birika moja katika kila kalio kati ya yale kumi. |
9175 | 1KI 12:21 | Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akawakusanya wote wa nyumba ya Yuda na kabila la Benjamini; walichaguliwa wanaume wanajeshi180, 000 ili wapigane na nyumba ya Israeli, kwa lengo la kurudisha ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Sulemani. |
9310 | 1KI 16:24 | Akakinunua kilima cha Samaria kutoka kwa Shemeri kwa kilo 68 za fedha. Akajenga mji juu ya mlima na ule mji akauita Samaria, kwa sababu ya jina la Shemeri, mmiliki wa awali wa kile kilima. |
10100 | 2KI 19:35 | Ikawa kuhusu usiku huo ambao malaika wa Yahwe alitoka na kuvamia kambi ya Waashuru, akawaua maaskari185, 000. Kisha watu wakaamka asubuhi na mapema, miili ya watu waliokuwa wamekufa ilikuwa imelala kila mahali. |
10749 | 1CH 12:25 | Kutoka Yuda walio beba ngao na mkuki ni 6, 800, tayari kwa vita. |
10755 | 1CH 12:31 | Kutoka kwa Waefraimu palikuwa na wanume wa mapambano 20, 800, wanaume maharufu kwenye familia za baba zao. |
10760 | 1CH 12:36 | Kutoka kwa Wadani palikuwa na wanaume 28, 600 wameandaliwa kwa ajili ya pambano. |
11058 | 1CH 25:7 | Wao na kaka zao walikuwa na uwelewa na walifundishwa kutengeneza muziki kwa Yahweh walikuwa na idadi ya 288. |
11376 | 2CH 9:7 | Wamebarikiwa watu wako, na watumishi wako ambao husimama mbele yako, kwa sababu wanaisikia hekima yako. (Baadhi ya maandiko yanasema, “Wambarikiwa wake zako”, ikidhaniwa kwamba kifungu hicho kinapaswa kusomeka kama ilivyo katika Wafalme 10: 8). |
11420 | 2CH 11:1 | Rehoroboamu alipofiki Yerusalemu, akawakusanya nyumba ya Yuda na Benyamini, wanaume 180, 000 walaiaochaguliwa amabao wliakuwa wanajeshi, kwa ajili ya kupigana dhiidi ya Israeli, ili kuurudisha ufalme kwa Rehoboamu. |
11461 | 2CH 13:3 | Abiya akaingia vitani na jeshi la askari, wenye nguvu, hodari, 400, 00 wanaume waliochaguliwa. Yeroboamu akapanga mistari ya vita dhidi yake yenye 800, 00 wanaume askari waliochaguliwa, wenye nguvu, hodari. |
11488 | 2CH 14:7 | Asa alikuwa na jeshi ambalo lilibeba ngao na mikuki; kutoka Yuda alikuwa na wanaume 300, 000, na kutoka Benyamini, wanaume 280, 000 waliobeba ngao na kuvuta pinde. |
11543 | 2CH 17:15 | akifuatiwa na Yehonani jemedari, na pamoja naye wanaume 280, 00; |
11546 | 2CH 17:18 | akifutiwa na Yehozabadi, na pamoja naye askari 180, 000 waliotayari kwa vita. |
12038 | EZR 2:6 | Wana wa Path-Moabu, kupitia Yeshua na Yoabu: 2, 812. |
12055 | EZR 2:23 | Wanaume wa Anathothi: 128. |
12073 | EZR 2:41 | nne. Waimbaji hekaluni wana wa Asafu: 128. |
12437 | NEH 7:12 | kwa wana wa Yeshua na Yoabu, 2, 818. |
12439 | NEH 7:14 | Wana wa Zatu, 845. Wana wa Zakai, 760. |
12440 | NEH 7:15 | Wana wa Binnui, 648. |
12441 | NEH 7:16 | Wana wa Bebai, 628. |
12446 | NEH 7:21 | Wana wa Ateri, wa Hezekia, 98. |
12447 | NEH 7:22 | Wana wa Hashumu, 328. |
12451 | NEH 7:26 | Watu kutoka Bethlehemu na Netofa, 188. |
12452 | NEH 7:27 | Watu wa Anathothi, 128. |
12469 | NEH 7:44 | Waimbaji wana wa Asafu; 148. |
12470 | NEH 7:45 | Waliofungua mlango wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni; wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, 138. |
12598 | NEH 11:6 | Wana wote wa Peresi waliokaa Yerusalemu walikuwa 468. Walikuwa masujaa. |
12600 | NEH 11:8 | Na baada yake, Gabai na Salai, watu 928. |
12604 | NEH 11:12 | na wenzake waliofanya kazi ya ukoo, watu 822. na Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amzi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya. |
12606 | NEH 11:14 | na ndugu zao, 128 wapiganaji wenye ujasiri, wenye ujasiri; Waziri wao aliyeongoza alikuwa Zabdieli, mwana wa Hageoli. |
12610 | NEH 11:18 | Katika mji wote mtakatifu walikuwa Walawi 284. |
12710 | EST 1:4 | Mfalme akaweka wazi utajiri na utukufu wa ufalme wake na heshima ya ukufu wa ukuu alio upata kwa siku nyingi, kwa siku180. |
18458 | ISA 37:36 | Halafu malaika wa Yahwe alienda nje na kuvamia kambi ya Waasiria, na kuwauwa askari 185, 000. Watu walipoamka asubuhi na mapema, miili iliyokufa imelala kila mahali. |
20374 | JER 52:29 | Katika mwaka wa kumi na nane wa Nebukadneza alichukuwa 832 kutoka Yerusalemu. |
26450 | JHN 7:53 | (Zingatia: Baadhi ya maneno ya Yohana 7: 53 - 8: 11 hayamo katika nakala bora za kale). Kisha kila mtu alienda nyumbani kwake. |
26451 | JHN 8:1 | (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Yesu alienda mlima wa Mizeituni. |
26454 | JHN 8:4 | (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Ndipo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, mwanamke huyu amekamatwa katika uzinzi, katika kitendo kabisa. |
26457 | JHN 8:7 | (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Walipoendelea kumwuliza, alisimama na kuwaambia, “Yeye asiyekuwa na dhambi miongoni mwenu, awe wa kwanza kumponda mawe.” |
26459 | JHN 8:9 | (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Waliposikia hayo, waliondoka mmoja baada ya mwingine, kuanzia aliye mzee. Mwishowe Yesu aliachwa peke yake, pamoja na mwanamke aliyekuwa katikati yao. |