43 | GEN 2:12 | Dhahabu ya inchi ile ni nzuri. pia kuna bedola na jiwe shohamu. |
102 | GEN 4:22 | Sila naye akamzaa Tubal Kaini, mfua vyombo vya shaba na chuma. Dada yake na Tubal Kaini alikuwa Naama. |
239 | GEN 10:4 | Wana wa Yavani walikuwa Elisha, Tarshishi, Kitimu, na Dodanimu. |
242 | GEN 10:7 | Wana wa Kushi walikuwa Seba, Havila, Sabta, Raama, na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa Sheba na Dedani. |
262 | GEN 10:27 | Hadoram, Uzali, Dikla, |
351 | GEN 14:14 | Abram aliposikia kuwa maadui wamemteka ndugu yake, akawaongoza wanaume waliofunzwa na kuzaliwa nyumbani mwake 318 na akawaongoza hadi Dani. |
352 | GEN 14:15 | Akawagawanya watu wake dhidi yao usiku na kuwavamia, na kuwafukuza mpaka Hoba, ambayo iko kaskazini mwa Dameski. |
363 | GEN 15:2 | Abram akasema, “Bwana Yahwe, utanipatia nini, kwa kuwa naenda bila mtoto, na mrithi wa nyumba yangu ni Eliezeri wa Dameski?” |
662 | GEN 25:3 | Jokshani akamzaa Sheba na Dedani. Wana wa Dedani walikuwa ni Waashuru, Waletushi, na Waleumi. |
673 | GEN 25:14 | Mishma, Duma, Masa, |
837 | GEN 30:6 | Kisha Raheli akasema, “Mungu ameamua kwa faida yangu. Ameyasikiliza maombi yangu na kunipa mwana.” Kwa sababu hiyo akamwita jina lake Dani |
852 | GEN 30:21 | Baadaye akazaa binti na kumwita jina lake Dina. |
910 | GEN 31:36 | Yakobo akakasirika na kuojiana na Labani. Akamwambia, “Kosa langu ni nini? Dhambi yangu ni ipi, hata ukanifuatia kwa ukali? |
921 | GEN 31:47 | Labani aliliita Yega Saha Dutha, lakini Yakobo akaiita Galeedi |
982 | GEN 34:1 | Basi Dina, Binti wa Lea aliyemzalia Yakobo, akaenda kuwaona wasichana wa nchi. |
984 | GEN 34:3 | Akavutiwa na Dina, binti Yakobo. Akampenda msichana na kuongea naye kwa upole. |
986 | GEN 34:5 | Basi Yakobo akasikia kwamba alikuwa amemchafua Dina binti yake. Wanawe walikuwa pamoja na wanyama uwandani, hivyo Yakaobo akawangoja hata walipokuja. |
994 | GEN 34:13 | Wana wa Yakobo wakamjibu Shekemu na Hamori baba yake kwa hila, kwa sababu Shekemu alikuwa amemnajisi Dina dada yao. |
1006 | GEN 34:25 | Katika siku ya tatu, walipokuwa katika maumivu bado, wawili wa wana wa Yakobo (Simoni na Lawi, kaka zake Dina), wakachukua kila mmoja upanga wake na kuushambulia mji ambao ulikuwa na uhakika wa ulinzi wake, nao wakauwa wanamme wote. |
1007 | GEN 34:26 | Wakamwua Hamori na Shekemu kwa makali ya upanga. Wakamchukua Dina kutoka nyumba ya Shekemu na kuondoka. |
1020 | GEN 35:8 | Debora, mlezi wa Rebeka, akafa. Akazikwa chini kutoka Betheli chini ya mwaloni, hivyo ikaitwa Aloni Bakuthi. |
1037 | GEN 35:25 | Wanawe kwa Bilha, mjakazi wa Raheli walikuwa Dani na Naftali. |
1062 | GEN 36:21 | Dishoni, Ezeri, na Dishani. Hizi zilikuwa koo the Wahori, wenyeji wa Seiri katika nchi ya Edomu. |
1066 | GEN 36:25 | Hawa walikuwa watoto wa Ana: Dishoni na Oholibama, binti Ana. |
1067 | GEN 36:26 | Hawa walikuwa wana wa Dishoni: Hemdani, Eshbani, Ithrani, na Kerani. |
1069 | GEN 36:28 | Hawa walikuwa wana wa Dishani: Uzi na Arani. |
1071 | GEN 36:30 | Dishoni, Ezeri, Dishani: hizi zilikuwa koo za Wahori, kulingana na ukoo ulivyoorodheshwa katika nchi ya Seiri. |
1073 | GEN 36:32 | Bela mwana wa Beori, alitawala huko Edomu, na jina la mji wake lilikuwa Dinhaba. |
1101 | GEN 37:17 | Yule mtu akasema, “Waliondoka mahali hapa, kwa maana niliwasikia wakisema, 'Haya twende Dothani.” Yusufu akawafuata ndugu zake na kuwaona huko Dothani. |
1253 | GEN 41:57 | Dunia yote ikaja Misri kununua nafaka kutoka kwa Yusufu, kwani njaa ilikuwa kali katika dunia yote. |
1402 | GEN 46:15 | Hawa walikuwa wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padani Aramu, pamoja na na Dina binti yake. Wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu. |
1410 | GEN 46:23 | Mwana wa Dani alikuwa Hushimu. |
1490 | GEN 49:16 | Dani atawaamua watu wake kama mojawapo ya makabila ya Israeli. |
1491 | GEN 49:17 | Dani atakuwa nyoka kando ya njia, nyoka mwenye sumu aumaye visigino vya farasi katika njia, hivyo aongozaye farasi huanguka nyuma. |
1537 | EXO 1:4 | Dani, Naftali, Gadi, na Asheri. |
1559 | EXO 2:4 | Dada yake akasimama kwa mbali ili ajue yatakayompata. |
1830 | EXO 12:13 | Damu itakuwa ishara kwenye nyumba zenu ya kuja kwangu. Nitakapo ona damu, nitapita nitakapo shambulia nchi ya Misri. Ili pigo halitawajia na kuwaharibu. |
2427 | EXO 31:6 | Tena, nimemchagua, awe pamoja naye Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani. Nami nimetia hekima katika mioyo ya wote wenye moyo wa hekima, ili wapate kufanya vyote nilivyokuagiza. Hii ni, |
2566 | EXO 35:34 | Aliiweka kufundisha ndani ya moyo wake, yeye pamoja na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, kutoka kabila la Dani. |
2657 | EXO 38:23 | Na pamoja naye alikuwa Oholiabu mwana wa Ahisamaki wa kabila la Dani, fundi na mtarizi na mfumaji wa uzi wa bluu na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na kitani bora. |
2658 | EXO 38:24 | Dhahabu yote iliyotumiwa kwa ajili ya kazi katika kazi yote ya mahali patakatifu ikawa jumla ya dhahabu ya toleo la kutikisa, + talanta ishirini na tisa na shekeli 730 kulingana na shekeli+ ya mahali patakatifu. |
2826 | LEV 4:30 | Kuhani atachukua kiasi cha damu kwa kidole chake na kuweka katika pembe za madhabahu ya dhabihu ya kuteketezwa. Damu yote iliyobaki ataimwaga chini ya madhabahu. |
3458 | LEV 24:11 | Mwana wa mwanamke Mwisraeli akalikufuru jina la Yahweh na kumlaani Mungu, kwa hiyo watu wakamleta kwa Musa. Jina la mama yake aliitwa Shelomithi, binti wa Dibri, kutoka kabila la Dani. |
3617 | NUM 1:12 | Kutoka kabila la Dan, Ahizeri mwana wa Amishadai; |
3619 | NUM 1:14 | kutoka kabila la Gadi, Eliasafu mwana wa Deuli; |
3643 | NUM 1:38 | Kutoka uzao wa Dani yalihesabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi na mwenye uwezo wa kwenda vitani, Kutoka kwenye hesabu ya ukoo na familia. |
3644 | NUM 1:39 | Walihesabiwa wanaume 62, 000 kutoka kabila la Dani. |
3673 | NUM 2:14 | Kabila la Gadi litafuatia. Kiongozi wa watu wa Gadi ni Eliasafu mwana wa Deuli. |
3684 | NUM 2:25 | Upande wa kaskazini kutakuwa na kambi ya kikosi cha Dani. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai. |
3686 | NUM 2:27 | Watu wa kabila ya Asheri watapanga mbele ya Dani. Kiongozi wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okirani. |
3690 | NUM 2:31 | Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Dani ni 157, 600. Hawa watakuwa wa mwisho kuondoka kambini, wakifuata bango lao. |
3893 | NUM 7:42 | Siku ya sita, Eliasafu mwana wa Deuli, kiongozi wa uzao wa Gadi, alitoa sadaka yake. |
3898 | NUM 7:47 | Alitoa maksai wawili, dume watano wa kondoo, beberu watano, na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani. Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Eliasafu mwana wa Deuli. |
3917 | NUM 7:66 | Siku ya kumi, Ahizeri mwana wa Amishadai kiongozi wa Dani alitoa sadaka yake. |
4009 | NUM 10:20 | Eliasafu mwana Deuli aliliongoza jeshi la kabila la uzao wa Gadi. |
4014 | NUM 10:25 | Lile jeshi lililoweka kambi mahali pa bango la uzao wa Dani lilikuwa la mwisho kuondoka. Ahizeri mwana wa Amishadai ndiye aliyeongoza jeshi la Dani. |
4088 | NUM 13:12 | kutoka kabila la Dani, Amieli mwana wa Gemalili; |
4185 | NUM 15:31 | Kwa sababu atakuwa amedharau neno langu na amevunja neno amri yangu, mtu huyo ataondolewa kabisa. Dhambi yake itakuwa juu yake.'” |
4196 | NUM 16:1 | Sasa Kora mwana wa Izihari mwana wa Kohathi mwana wa Lawi, pamoja na Dathani na Abiramu mwana wa Eliabu, na Oni mwana wa Peleti, wa uzao wa Reubeni, waliwakusanya wanaume kadhaa. |
4207 | NUM 16:12 | Kisha Musa akamwita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu, lakini wakasema, “hatutakuja. |
4219 | NUM 16:24 | “Sema na watu wote, uwaaambie, 'Tokeni kwenye hema ya Kora, Dathani, na Abiramu.'” |
4220 | NUM 16:25 | Kisha Musa akaamuka akaenda kwa Dathani na Kwa Abiramu; viongozi wa Israeli wakamfuata. |
4222 | NUM 16:27 | Kwa hiyo watu wote toka pande zote za hema ya Kora, Dathani na Abiramu wakaondoka. Dathani na Abiramu wakatoka nje wakasimama kwenye lango la hema zao, wakiwa na wake wao, wana, na watoto wao. |
4227 | NUM 16:32 | Dunia ikafungua makanwa yake na kuwameza, familia zao na watu wote wa Kora, pamoja na mali zao zote. |
4228 | NUM 16:33 | Wao na kila mmoja kwenye familia zao wakaingia ndani shimoni wakiwa hai. Dunia ikwafunika, na kwa njia hii wakapotea kutoka miongoni mwa ile jamii. |
4371 | NUM 21:30 | Lakini tumempiga Sihoni. Tumeiangsmiza Heshibon mpaka Diboni. Tumewaharibu wote mpaka Nofa, ambayo inafika mpaka Madeba.” |
4500 | NUM 26:9 | Wana wa Eliabu walikuwa ni Nemueli, Dathani. na Abiramu. Hawa ni walewale Dathani na Abiramu waliomfuata Kora waliompinga Musa na Haruni na kumpinga BWANA. |
4533 | NUM 26:42 | Kooo za uzao wa Dani zilikuwa hizi zifuatazo: Kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizi ndizo koo za uzao wa Dani. |
4723 | NUM 32:3 | “Hii ndiyo orodha ya maeneo ambayo tumeyatembelea: Diboni, Jazeri, Nimraha, Heshibonni, Ellealehi, Sebamu, Nebo, na Beoni. |
4754 | NUM 32:34 | Wale wa uzao wa Gadi wakaijenga Diboni, |
4774 | NUM 33:12 | Walisafiri kutoka nyika ya Sini na kuweka kambi Dofka. |
4775 | NUM 33:13 | Wakasafiri kutoka Dofka na kuweka kambi Alushi. |
4807 | NUM 33:45 | Walisafiri kutoka Abarimu na kuweka kambi Diboni Gadi. |
4808 | NUM 33:46 | Walisafiri kutoka Diboni Gadi na kuweka kambi Alimoni Diblathaimu. |
4809 | NUM 33:47 | Walisafiri kutoka Alimoni Diblathaimu na kuweka kambi kwenye milima ya Abarimu mkabala na Nebo. |
4840 | NUM 34:22 | Kiongozi kutoka kabila la uzao wa Dani, Buki mwana wa Jogili. |
4895 | DEU 1:1 | Haya ni maneno ambayo Musa aliyasema kwa Israeli wote ng'ambo ya jangwa la Yordani, katika tambarare ya mto wa Yordani juu ya Suph, katikati mwa Paran, Topheli, Laban, Hazeroth, na Di Zahab. |
5216 | DEU 11:6 | Hawajaona nini Yahwe alichofanya kwa Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu mwana wa Reubeni; namna dunia ilifungua kinywa chake na kuwameza, nyumba zao, mahema yao, na kila kitu hai kilichowafuata, katikati mwa Israeli yote. |
5600 | DEU 27:13 | Haya ni makabila ambayo lazima yasimame juu yam lima Ebali kutamka laana: Rubeni, Gadi, Asheri, Zabuloni, Dan na Naftali. |
5834 | DEU 33:22 | Kuhusu Dani, Musa alisema: Dani ni mwana wa simba arukaye kutoka Bashani. |
5842 | DEU 34:1 | Musa aliondoka kutoka nyanda za Moabu mpaka mlima wa Nebo, hadi kilele cha Pisga, kilicho mkabala na Yericho. Huko Yahwe alimwonyesha nchi yote ya Gileadi kutoka umbali wa Dani, |
6069 | JOS 10:3 | Hivyo Adonizedeki, mfalme wa Yerusalemu, alituma ujumbe kwa Hohamu, mfalme wa Hebroni, na kwa Piramu, mfalme wa Yarimuthi, na kwaYafia, mfalme wa Lakishi, na kwa Debiri, mfalme wa Eguloni: |
6104 | JOS 10:38 | Baada ya hapo, Yoshua alirudi pamoja na jeshi lote la Israeli pamoja naye, wakasafiri kwenda Debiri na kufanya vita dhidi yake. |
6111 | JOS 11:2 | Alituma pia ujumbe kwa wafalme walikuwa katika mlima wa kaskazini mwa nchi, katika bonde la Mto Yordani kusini mwa Kinerethi, katika nchi za tambarare, na katika nchi za milima ya Dori kuelekea magharibi. |
6130 | JOS 11:21 | Kisha Yoshua akaja kwa wakati ule na aliiangamiza Anakimu. Aliyafanya haya katika nchi ya milima, huko Hebroni, Debiri, Anabu, na katika nchi yote ya Yuda, na katika nchi yote ya milima ya Israeli. Yoshua aliwaangamiza kabisa pamoja na miji yao. |
6145 | JOS 12:13 | mfalme wa Debiri, mfalme wa Gederi, |
6155 | JOS 12:23 | mfalme wa Dori katika Nafutali Dori, mfalme Goyimu katika Giligali, na |
6165 | JOS 13:9 | kutoka Aroeri, iliyo katika ukingo wa bonde la mto Arnoni (kujumuisha na mji ambao uko katikati ya bonde), kwa nyanda zote za Medeba hadi Diboni; |
6173 | JOS 13:17 | Wareubeni walipata pia Heshiboni, na miji yake yote zilizo katika uwanda, Diboni, na Bamathi Baali, na Bethi Baalimeoni, |
6182 | JOS 13:26 | kutoka Heshiboni hadi Ramathi - Mizipe na Betonimu, kutoka Mahanaimu mpaka himaya ya Debiri. |
6211 | JOS 15:7 | Basi mpaka ule ulienda hadi Debiri kutoka katika bonde la Akori, kuelekea upande wa kasikazini, kuendelea hadi Giligali, ambayo iko mkabala na mlima Adumimu, iliyo upande wa kusini wa bonde. Kisha mpaka uliendelea hata katika chemichemi za Eni Shemeshi na kufika Eni Rogeli. |
6219 | JOS 15:15 | Alipanda kutoka pale kinyume cha wenyeji wa Debiri (Debiri hapo mwanzo iliitwa Kiriathi Seferi). |
6226 | JOS 15:22 | Kina, Dimona, Adada, |
6242 | JOS 15:38 | Dileani, Mizipa, Yokitheeli, |
6245 | JOS 15:41 | Gederothi, Bethi Dagoni, Naama, Makeda. Hesabu ya miji hii ilikuwa kumi na sita, kujumlisha na vijiji vyao. |
6253 | JOS 15:49 | Dana, Kiriathi Sana (ambayo ndio Debiri), |