Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   q    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

22438  AMO 1:5  Nitazivunja komeo za Damaskasi na kumkatilia mbali mtu ambaye aishiye katika Biqati Aveni, na pia yule mtu ashikaye fimbo ya kifalme katika Beth Edeni. Na watu wa shamu watakwenda utumwani hata Kiri,” asema Yahwe.